SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Kumbe peke yake hawezi hadi asaidiwe? Zile F-35 zilizotunguliwa na Iran na rubani mmoja kakamatwa akiwa hai anasubiri kuchunwa ngozi akiwa hai si ndo mlisema ni ndege hatari zaidi au mmetengeneza zingine muwaponze marubani
 
Zile F-35 zilizotunguliwa na Iran na rubani mmoja kakamatwa akiwa hai anasubiri kuchunwa ngozi akiwa hai si ndo mlisema ni ndege hatari zaidi au mmetengeneza zingine muwaponze marubani
Subiri jibu utalipata giza likiingia
 
Iran imeonyesha udhaifu Sana kwenye intelligence yake kwa namna mauaji ya maafisa wake muhimu yalivyoratibiwa.....tangy kuuawa kwa Hanniyeh mpaka sasa bado hawakujirekebisha

T14 Armata
Udhaifu mkubwa mnooo Kama mossad wameweza pia Ku smuggle kupitisha drone na kufanya shambulio wakiwa ndani ya Iran unategemea kuna ulinzi apo

Kuna footage inawaonesha watu inasadikika mossad wanaenda kuroga mifumo ya ulinzi wa Anga kabla ya lile shambulio la kwanza

Iran anaishi na sleeper agents wa mossad Wengi mno
 
Mji bado umesimama kabisa!?
Subiri usiku ufike Iran aanze kazi yake.
UK kashawakataza raia wasiende Israel.
Kuna waka moto
Screenshot_20250615-155334.png
 

.
​

Chanzo cha picha,Getty Images
Vikosi vya Ulinzi vya Israel vimetoa onyo la dharura kwa Wairani, na kuwaambia wakaazi kuondoka katika eneo lililo karibu na vituo vya kijeshi.
Katika ujumbe kwenye mtandao wa X, akaunti ya IDF ya lugha ya Kifarsi inasema: "Watu wote ... waliopo ndani au karibu na viwanda vya utengenezaji silaha za kijeshi na taasisi zao zinazowasaidia wanapaswa kuondoka mara moja katika maeneo haya na wasirudi hadi watakapopewa taarifa zaidi.
"Uwepo wako karibu na miundombinu hii unaweka maisha yako hatarini."
Picha zaonyesha matokeo ya mashambulizi ya Iran nchini Israel
Ni saa sita asubuhi nchini Israel na sasa tunaona baadhi ya picha za matokeo ya mashambulio ya Iran.
Maeneo ya makazi yameshambuliwa kaskazini na kati mwa Israel baada ya Iran kurusha makombora ya balestiki kuelekea Israel usiku kucha ili kulipiza kisasi kwa mashambulizi ya anga ya Israel kwenye maeneo lengwa ya Iran.
Huduma za dharura za kitaifa za Israel zimeripoti kuwa takriban watu 10 wameuawa, huku zaidi ya watu 100 wakijeruhiwa.
.

Chanzo cha picha,EPA
Maelezo ya picha,Vikosi vya uokoaji vya Israel kwenye eneo la jengo lililoharibiwa huko Rehovot, katikati mwa Israel
.

Chanzo cha picha,EPA
Maelezo ya picha,Katikati mwa Israel asubuhi ya leo, kuna marundo ya vifusi baada ya mashambulizi ya Iran kupiga eneo la makazi
.

Chanzo cha picha,EPA
Maelezo ya picha,Wafanyakazi wa uokoaji wa Israel katika jengo hili ambalo liliachwa wazi kufuatia uharibifu wa mashambulio ya Iran
 
Mbona picha tumeziona mkuu mbona video za vimondo vya Iran vinavyo tua kwa spidi ya mwanga tumeona

Israel haijawai kupigwa Kama alivo pigwa safari hii Kwa mala ya Kwanza ana experience maumivu ya kufukua vifusi ndani ya ardhi yake

But kivita mpaka muda huu kwa mapigo aliyo pigwa Iran, . Israel Bado anaongoza kama ni football ni 10 kwa 1
Media propaganda..
Israel labda kuua makamanda wa Iran.. labda nisme kitu kimoja, Iran ina think tankers hata mossad inawafahamu kwa code names, hao ndio vichwa wanakaa nyuma ya hao makamanda, ndio maana hao makamanda wanaishi kama raia wa kawaida...

Israel kuua hao makamanda haibadili strategy na kupunguza uwezo wa Iran kuipiga Israel, Iran inalinda assets zake za kijeshi kuliko kitu chochote..

Ukishasikia Islamic Republic , kwa imani yao, hao makamanda wanaokufa ni shaheed, hivyo wengine na wenyewe wanaona ni bora wawekwe hio position wafe shaheed..

Iran ilishajipanga miaka, wana utaratibu ambao umepangwa kiasi kwamba hata wewe hapo ambae hujawahi hata kusikia mlio wa baruti ya kupasua mwamba ukiwekwa kweye position ya officer mkubwa , kuna kanuni utafuata 1, 2 ,3.. tunakwenda kupiga hapa, pale na huko... targets dhidi ya Israel wanazo miaka.. kila kitu kimepangwa..

Yaani jamaa wapo very organized...

Israel imeanza kulenga wanasayansi wa Israel toka 2010s au nyuma kama sijasahau, lakini ulishasikia mradi umerudi nyuma?

Ogopa sana..

Tupo hapa na tutashuhudia mengi yajayo.. nakuambia kwamba Israel damage iliyofanyika ni kubwa sana... media za magharibi siku ya kwanza Iran inashambuliwa ilikuwa ni habari media zote... Iran inapojibu sasa hawasemi..

Mbona bado hamjaona uwezo wa muajemi, wenyewe wanakuambia kama mnashangaa missle zao za kizamani, subirini mpya zinakuja...
 
Back
Top Bottom