SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Iran wanakimbia nchi.

Alisikika yahudi mmoja wa namanyele
Scott Ritter mchambuzi wa masuala ya kivita na mwanajeshi mstaafu aliyekuwa mkubwa katika masuala ya intelligence anasema Israel watu wakianza kukimbia nchi ni ishara kwamba Israel inavunjika, ni dalili za mwanzo kabisa..

Anasema Israel haijawa designed kupigwa na mashambulizi mazito kama inavyopiga Iran..

Kwa kweli naamini maneno yake sasa..
 
Iranian intelligence officer and brigadier general Mohammad Kazemi, and his deputy, are reportedly buried under the rubble of the IRGC intelligence headquarters after an Israeli airstrike hit the complex this afternoon.
 
Tatizo ni Netanyahu!

Huwa kiburi na ni majivuno. Sidhani kama atakubali kushindwa.

Anapambana kwa kila hali ili kuwaingiza USA,France,UK na German wapigane kwa niaba yake dhidi ya Iran.
Hao hawawezi kuingia vita hiyo ambayo hawakutarajia itatoa matokeo hasi (kutoweza kulipua kinu kikubwa cha Nyuklia)

Marekani pekee ndo wenye uwezo wa kulipua kinu hicho kwa bomu lake kuwa la tani 35,000 wana (Bunker Busting bomb) na B2 Spirit Bomber ndege maalum ya kubeba bomu hilo.

Ndo maana France, UK na Germany wametoa offer ya mazungumzo na Iran kuhusu mradi wake wa Nyuklia.

Na pia kama umemsikia raisi Trump amebadili gia angani kwa kupendekeza usuluhishi wa India na Pakistani kwamba ndo utumike kuwapatanisha Israel na Iran.

Iran bado ana silaha kali ambazo anaweza kurudia kulekule alikopiga mwanzo na kama unavyoona sasa nao wamepiga mabomba na miundombinu ya mafuta pale Haifa.
 
Iranian intelligence officer and brigadier general Mohammad Kazemi, and his deputy, are reportedly buried under the rubble of the IRGC intelligence headquarters after an Israeli airstrike hit the complex this afternoon.
Kuna kila sababu ya kuamini ndani ya Iran kuna viongozi na watu wengi hawaitaki Serikali, Israel inajuaje wapo wapi
 
Unachanja Tu hahaha mm nilikua guard night shift jana nikawa natafuta wa kubishana nae ili usiku uwai kuisha

Leo mtanipa update asubuhi nashukuru gallow bird alinipa kampan kwa kubishana sijui amelala saa 10
Nitakua nafuatilia kimyakimya kuupa moyo wangu burudani... Nikiwa nachanja sipendi kuandika napenda kuperuzi tu 😊
 
Russia kawaambia wananchi wake wajiandae kuondoka Iran
 
Kuna kila sababu ya kuamini ndani ya Iran kuna viongozi na watu wengi hawaitaki Serikali, Israel inajuaje wapo wapi
Mossad keshazama mazima sasa anawawinda
na Pia lazima kuna kikundi ambacho ndo kitashika nchi lazima kiandaliwe, hao ndo wanyetishaji
 
Trump anachokifanya kutopeleka mashambulizi ya moja kwa moja ni Iran nikumfanyia ukatili Netanyahu
 
Back
Top Bottom