SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

1000096324.png
 
Iranian intelligence officer and brigadier general Mohammad Kazemi, and his deputy, are reportedly buried under the rubble of the IRGC intelligence headquarters after an Israeli airstrike hit the complex this afternoon.
Duuh hii sasa ni hatari
 
Mchina namuona mjinga sana, huu ndio ulikuwa wakati wakutest vyuma vyake kwenye uhalisia kwa kumpa Iran zile ndege zake zinazofanana na F-35 pamoja na makombora yake kutest perfomance.
Mjinga unaweza kuwa ni wewe usifikiri China inaendeshwa kimihemko kama urefu wa akili zako ama zangu.

China wangekuwa na akili kama zako wasingekuwa hapa walipo duniani naona mihemko inakusumbua.

Utulivu wa mwili na akili ni kitu cha muhimu sana katika duniani hii hasa katika safari ya maendeleo hakuna faida utapata kwa vita vya kipuuzi vya wapuuzi walioshiba walioamua kutunishiana misuli hovyo kama wendawazimu.

Huu mgogoro wa Israel na Iran mpaka sasa ulipo sio mgogoro wa China labda mpaka pale maslahi ya China yatakapo guswa sana na yoyote kati yao utaiona nguvu ya China sio hiki kinacho endelea.

Nchi haiendeshwi kwa mihemko wala haipaswi kuendeshwa kwa mihemko hasa pale mnapokuwa na target ya miaka mirefu kidunia kama China ukitumia tu mihemko unazamisha nchi katika unnecessary wars.
 
Screenshot_20250615-191704.jpg

An Israeli Air Force female combat navigator who took part in this weekend’s unprecedented airstrikes on Iran says it was a historic and emotional mission aimed at neutralizing a major threat to Israel.

“I felt the responsibility in the cockpit to remove a real and existential threat to the State of Israel,” says Maj. Shin, identified only by the first Hebrew initial of her name, in rare public remarks for a female member of an IAF air crew.

“We’re doing this for the peace of tomorrow. For our home. That is our mission,” she adds.

Maj. Shin flew over 1,500 kilometers (about 1,000 miles) from Israel in what she describes as a “complex and powerful aerial operation designed to ensure that our children will have a better and safer future.”
 
Hamjasikia kuwa Iran wameshapandisha bendera nyekundu ? 🚀💣
 
Iran wanakimbia nchi.

Alisikika yahudi mmoja wa namanyele
Safari hii Mtanyooka tu Iran hawana chao tena walikuwa wanasifiwa sana kumbe debe tupu sasa hivi Israel inajipigia tu kama wapendavyo.

Kwa wananchi wa kawaida Tehran hapakaliki wanakimbia mji bila kupenda!!
 

Attachments

  • IMG_7039.mp4
    6.1 MB
Hahahaha kinachofuata nenda kachokoze upande wa pili hahahaha ukipigwa spana usikimbie tafuta fact Rudi kupambania ubigwa
Hii vita watakula hasara wote ila faida itakua kwa wakubwa wa dunia... Itafika wakati mataifa mbalimbali watapeleka silaha zao kutest kwenye kambi za USA ili wajue ubora wake
 
Back
Top Bottom