SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Naunga mkono hoja hapa Iran imepigwa Kofi la uso.

Ila vipi mbona sisikii habari za madege hatari ya kivita vinu vya nuclear mmesha vimaliza.

Au mmeona Hilo suala humu Bora tu muwe magaidi
Tunaendelea sema kule Iran source kama BBC zishapigwa marufuku, na vingine kama al Jazeera ni machawa so kupata taarifa za uhakika ni changamoto kidogo
 
Mchina namuona mjinga sana, huu ndio ulikuwa wakati wakutest vyuma vyake kwenye uhalisia kwa kumpa Iran zile ndege zake zinazofanana na F-35 pamoja na makombora yake kutest perfomance.
 
Giza limeingia tusubiri Iran, akituma mengine ntarudi na atume ballistic missiles so vile vidrone vya Kamikaze vya kurekodia movie
 
Vyombo vya dola vya Israel vinapiga marufuku na kukamata waandishi wanaopiga picha kuonyesha damage hasa kwenye military bases, lakini tutaona hapo mbele..

Aljazeera wamefukuzwa sasa hivi wana report kutokea Jordan, hata raia wanopiga picha za uharibifu haswa maeneo kimkakati wanatafutwa na polisi na kukamatwa..
Wewe acha kulialia kama mtoto!! Hakuna Mwandishi yeyote anayekamatwa kwa kuripoti habari yoyote huko Israel. Na kama unayo taarifa hiyo najua utakuwa umelewa na Mashoga zako Aljazeera tupe hata link na sisi tuione au tuletee video kuonyesha wanakamatwa. Lakini najua huu ni uongo ambao nyinyi Wafuga Midevu na Majini mnauita TAQIYYAH yaani kusema uongo kwa ajili ya mnyazimungu wenu!!!

Aljazeera walifukuzwa huko Israel kwa kuwa walikuwa mstari wa mbele kwenye uvamizi wa Oct 07,2023 na walionekana wakipigana mabusu motomoto na Gaidi Yahya Sinwar na Aljazeera hawajafukuzwa tu Israel bali hata huko Bangladesh,Saudi Arabia, Bahrain, Egypt, Jordan na UAE. Wamepigwa marufuku kuripoti kutoka kwenye nchi hizo kwa sababu ya Upotoshaji walivyo wajinga wakifa watu 2 wao huongeza 0 na kuwa 20. Na ndiyo maana TV hiyo inatumika sana na Magaidi!!
 
Hivi kutag mtu unafanyaje nimtag mwenye uzi?
Weka alama ya @ kisha usiache space, ambatisha jina la mwenye uzi kwa kuanza herufi moja moja, Jamii Forum automatically watakuletea jina hilo! Kisha uta click hilo jina na kisha unakuwa umesham-tag unayetaka. Kisha iachie comment yako hewani!

Ukitaka ujue kama umefanikiwa kum-tag, jina lake litaonekana kwa rangi ya blue kwenye comment uliyoiachia hewani.

Mfano, nakutag wewe
gallow bird
 
Back
Top Bottom