SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Hii vita Nampa Israel point irani kapoteana ndani ya mda mfupi mno

Watu wameua viongozi bado wanasaidia wananchi wenu wanataka only soldier aisee nyie mnalipua ovya bado amuwapati....

It means israel angekuwa katili angeua hao raia wote....
Israel kajua juu hawezi kupita hivyo anashambulia Kama walivyokua magaidi ya IS yanafanya wanaripua wakiwa ndani baada ya kujipenyeza mashambulizi hayo ya drone hatari Kwa assassination Hata ukiwa taifa Kama US hutoboi. (Refer Ukraine ndani ya Russia) Lakini unafuu wa mashambulizi hayo impact yake ni ndogo kuliko chuma Kama ballistic zenye war head ya 1.5 ton. Hapo muhimu ni kafight ufiche watu wako muhimu government official Kwenye Mabunker lakin I long run watauawa TU Kama mtandao hautadhibitiwa
 
Ilishindikanika 1980-1988 kwa vita ya miaka 8 sembuse leo hii!?
Wacheni matani ninyi.
Mimi pia sioni US akiingilia hii vita kwa sabb ya maslahi yake apo middle East

Pia hii Vita haina muda mrefu maybe one week ikizidi Sanaa mbili wakubwa watakaa kwenye meza za duara waweke mapatano Israel alicho kitaka amekipata Kwa asilimia maybe 50 Ku paralysis nuclear facilities na kuua top nuclear scientist karibu wote

Japo akili za Netanyahu anazijua mwenyew kichaa yule yupo tayali ku sacrifice maisha ya raia wake ili atimize azma yake kama ilivyo Gaza kwa sasa alivyo toa sadaka mateka for great cause

lolote linaweza tokea
 
Hii vita Israel kafeli..
Wananchi wanaiunga mkono Iran, hata wale ambao walikuwa ni wakosoaji wakubwa hivi sasa wapo pamoja..
Aljazeera wanaandika na kusema haikuwahi kutokea muungano kama ilivyo sasa.. watu wanashangaa ... wananchi wana support serikali yao

Na ushindi wa kwanza katika vita ni support ya wanachi...

Hali ni tofauti kwa Israel ambapo wananchi wameanza kuonekana kumkosoa vikali Netanyahu, wengine wanapigana mitaani..

Israel ilitaka kuuza cheap propaganda kwa wanachi wa Iran kwamba wapo katika utawala wa kimabavu kwa zaidi ya miaka 50, na sasa Israel ipo kuwakomboa...

Wananchi wakishakua na solidarity ya namna hio, we kimbia tu


View: https://www.youtube.com/watch?v=He3XUBCYXjM
 
Kila alichojaribu kuitisha hakikuweza patikana sababu ya huyu mazafanta Netanyau Bibi.

Msikilize mwenyewe kama angalau ulisoma soma lugha kuu ya Duniani.
 
Bro mbona Al Jazeera ishafukuzwa tangu mwaka juzi baada ya kua biased kila habari wako upande mmoja wa Hamas wakatimuliwa kwamba ndio umejua leo????
Hapo ndugu unahangaika na KIBWENGO hajui lolote zaidi ya kusifiasifia tu na kuwaramba makalio Iran mwanzonalikuwa bingwa wa kuwaramba makalio Hezbollah wa lipo pigwa na Israel sasa kahamia kuwaramba makalio Iran nao wamepigwa nafikiri sasa ataanza kuwaramba Houth!!
 
Mitaa ya Tehran imekuwa kama Tandale Kwa mtogole full vinyesi barabarani
Screenshot_20250615-175613_1.jpg
 
Awapi leta source, Kijana hayo hayajatengenezwa na maengeneer waliomalizia MUST
Habari zililetwa humu mamia ya raia wakiwa wamenasa wanavutwa.
Nishapost sana aisee.
Pia usitudanganye milipuko imefika Northern Israel nimetizama CBS news jioni hii.
Pia Israel naona wameanza kugeuka Alshabaab wanatega suicide bombs kwenye magari.
 
Mimi pia sioni US akiingilia hii vita kwa sabb ya maslahi yake apo middle East

Pia hii Vita haina muda mrefu maybe one week ikizidi Sanaa mbili wakubwa watakaa kwenye meza za duara waweke mapatano Israel alicho kitaka amekipata Kwa asilimia maybe 50 Ku paralysis nuclear facilities na kuua top nuclear scientist karibu wote

Japo akili za Netanyahu anazijua mwenyew kichaa yule yupo tayali ku sacrifice maisha ya raia wake ili atimize azma yake kama ilivyo Gaza kwa sasa alivyo toa sadaka mateka for great cause

lolote linaweza tokea
Iran Ina nuclear scientist wengi sana mkuu.
Hao waliouliwa hata robo hawafiki.
Pia vinu vya nuke viko salama.
Alichofanya Israel ni kuchelewesha tu process ila sio kuiua kabisa.
 
For just 2 days sio mbaya mwanzo mzuri


🇮🇷 | Iranian media reports that a Mossad-affiliated suicide drone manufacturing workshop was discovered by Iranian intelligence forces in Islamshahr.


🔹@enemywatch
 
Back
Top Bottom