FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,820
Huwa unafuatilia siasa za East Asia ?N. Korea hatishii nchi zingine
Hatari sana mkuu!!Jinsi ambavyo Israel inamlemaza Iran taifa ambalo tulilotegemea sana.
View: https://youtube.com/shorts/AD47GqV9EgQ?si=Y_cKw_BwNkb4Nebd
Hata Iran wamemuwa mkuu wa intelligence wa jeshi la Israel na wafuasi wake leo

Israel mwenyewe kuwashinda, halafu anachotaka Israel ni mzigo wa mabomu na vifaa vya ulinzi wa anga basi vingine atamaliza mwenyewe maana Iran yote ipo chini yakeUSA bado anaishi kwenye status, bado legacy inamsumbua...
Trump anawatishia Iran kwamba "The full strength and might of the U.S. Armed Forces will come down on you at levels never seen before,"
Huyu mzee ni mjinga..
Hivi dunia ya sasa nani utamtishia mikwara mbuzi kama hio, US ilishafeli vita sehemu nyingi tu historia inatuambia...
US ikijitia ujuaji kambi zake zinawashwa zote hapo middle East, hakuna mtu ataamini lakini mtakuja kuamini...
Trump anafikiri hivi sasa anaweza kuwakokota watu na cheap propaganda za early 2000sna late 1990s kushawishi nchi zaidi ya 40 kuivamia Iraq..
F-35 tatu zimepopolewa na Iran, aibu ilioje..
Trump anajitia kwamba US army ikiingia kwenye vita itaipiga Iran kwa siku tatu..
Hakuna aircraft carrier itashindwa kulengwa na Iran, hakuna base middle east itashindwa kufikiwa na hypersonic za Iran...
Hata sasa Iran anapambana na US, EU na Israel, sasa Trump anaposema US army ikiingia, iingie mara ngapi?
Nachotaka kusema ni kwamba vita si rahisi kama Trump anavyoaminisha watu, hii vita hata US akiingia na yeye atakuwa surprised tu.. hakuna cha US wala ushuzi wa US... hizo zama zilipita..
Zimewakimbia kikundi tu cha Wayemeni, zitasogelea Iran?Hana ujanja,akifunga tuu ajue Aircraft Carrier zitakua mlangoni kwake next hour, Iran akili yake ya kutaka kuifuta Israel imemponza na watamfanya walichomfanya Saddam
Unapotosha sababu ya Marekani kuondoa wanajeshi Vietnam siyo hiyo leta ushahidi nikuletee wangu pia.
Kila Mtu atakua kichaa kwa wakati wake 😁😁😁😁
Wewe utakuwa umekula maharage mabovuUSA bado anaishi kwenye status, bado legacy inamsumbua...
Trump anawatishia Iran kwamba "The full strength and might of the U.S. Armed Forces will come down on you at levels never seen before,"
Huyu mzee ni mjinga..
Hivi dunia ya sasa nani utamtishia mikwara mbuzi kama hio, US ilishafeli vita sehemu nyingi tu historia inatuambia...
US ikijitia ujuaji kambi zake zinawashwa zote hapo middle East, hakuna mtu ataamini lakini mtakuja kuamini...
Trump anafikiri hivi sasa anaweza kuwakokota watu na cheap propaganda za early 2000sna late 1990s kushawishi nchi zaidi ya 40 kuivamia Iraq..
F-35 tatu zimepopolewa na Iran, aibu ilioje..
Trump anajitia kwamba US army ikiingia kwenye vita itaipiga Iran kwa siku tatu..
Hakuna aircraft carrier itashindwa kulengwa na Iran, hakuna base middle east itashindwa kufikiwa na hypersonic za Iran...
Hata sasa Iran anapambana na US, EU na Israel, sasa Trump anaposema US army ikiingia, iingie mara ngapi?
Nachotaka kusema ni kwamba vita si rahisi kama Trump anavyoaminisha watu, hii vita hata US akiingia na yeye atakuwa surprised tu.. hakuna cha US wala ushuzi wa US... hizo zama zilipita..
Wanasema wanajibu mashambulizi kutokana na wanavyo chokozwa, ila wako tayari kusitisha iwapo Israel watafanya hivyo.Hawa vichwa vigumu washarusha tena madude yao wao wanapiga usiku.
Hawa wengine ni content creators kina side na yombo msukuma wa Israel,
Hahaha Mtu wa hivyo sio wa kubishana nae YouTube kuna Hadi video za kifo cha kubwa la maadui NetanyahuHahahaha ndio umeanua kuja kujipoza kwa propaganda sio