SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Hii vita haida faida yeyote kwa sisi iran aikiamua kifunga njia za bahari basi soko la mafuta dunia nzima litakuwa hatari
Hana ujanja,akifunga tuu ajue Aircraft Carrier zitakua mlangoni kwake next hour, Iran akili yake ya kutaka kuifuta Israel imemponza na watamfanya walichomfanya Saddam
 
Ka
Hizo missile launchers mnazodai zianharibiwa ni zipi?
Mbona Iran inapata uwezo wa kushambulia tena?
Embu punguzeni propaganda.
Mkuu missile launcher zipo nyingi nchini iran sio moja anachokifanya Israel ni kupiga pale ambapo zimerushwa, mwisho wa siku zitapigwa zote tu
 

Israel wamedhamiria kumuondoa Ayatoulah uchebe Khamenei na wanadai wako upande wa raia huku Iran akisagika vibaya, anataka afanye kama alivyofanya Syria aweke serikali mshikaji wake. Taarifa zilizopo hadi sasa mwanamfalme wa enzi izo atachukua nafasi ya Ayatoulah dera Khamenei
 
Upo sahihi. Huwezi kushinda vita kama waongoza vita wameuwawa

Marekani mwenyewe alikimbia kwenye vita ya Vietnam baada ya majenerali wake 9 kuuwawa vitani.

Wanajeshi wadogo wakawa wanatapa tapa hawana viongozi.. marekani akaamua kuondoa wanajeshi wake wote vitani vietnam, sababu huwezi kupigana vita bila viongozi wa jeshi lako
Unapotosha sababu ya Marekani kuondoa wanajeshi Vietnam siyo hiyo leta ushahidi nikuletee wangu pia.
 
Kiduku hana madhara
Kwa sababu unajua ana nyuklia.
ic4bi55y4rh81.jpg
 
Unakosea kaka.
Kabla Iran hajawa adui wa Israel alikua rafiki mkubwa wa Israel,na kiintelijensia vita ya 1980 Israel ndiye aliyekua anamsaidia Iran hadi akashinda.
Silaha za mwisho za mwaka 1980 Iran alinunua Israel.
Baada ya 1988 uadui ukazuka.
Uliwahi kujiuliza uadui ulizukaje?
Hamas wameanza kufadhili na Iran miaka ya hivi karibuni ili Iran iizubaishe Israel na USA kwenye kuifuatilia.
Vivyo hivyo Hizbollah na Houthi.
Kiukweli siasa za ya middle East ni very complicated na ndio maana unaona kugeukana ni kwingi nina pdf file za middle East na Vita zake unasoma mpaka unachoka

Kuna podcast ya madinidotcom ya Gerson wa EARadio inaitwa picha linaanza kawachambua hao wahuni vizuri

Mapinduzi ya Iran kua Taifa la kiislam pia ina impact kwenye huu mgogoro
 
Back
Top Bottom