SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Iran ina 'intelligence' dhaifu sana, yaani wameshindwa kabisa kuwabaini na kudhibiti harakati za mossad ndani ya ardhi yao.

Nadhani kuwepo kwa idadi kubwa ya wananchi wapinzani wasioupenda utawala wa Mamullah unachangia mafanikio ya harakati za Mossad kuihujumu Iran.

T14 Armata
Iran wenye nafasi za juu ni machawa na ni vilaza.

Watu muhimu waliowahi tokea hapo ni Qasem Soleimani mzee wa mbinu za proxy, Hassan Tehrani Moghaddam father of Iranian ballistic missiles, Mohsen Fhakrizadeh baba wa mradi wa nyuklia.

Na hao wote waliuwawa na maadui wa Iran. Hawa wengineo ni kamlete, unajua sana dini na unapendwa na Ayatollah, vigezo. Hata Rais wa Iran na Waziri wa Mambo ya Nje lazima wamsikilize Ayatollah hata kama ni mweupe kwenye jambo fulani. Hata bunge pia. Otherwise IRGC inawamaliza wenye mawazo tofauti.
 
Waambie na Iran nao wafanye mipango ya kutengeneza silaha za Nuclear kisirisiri kama walivyofanya Israel!!!

Nimeshakuambia Iran hatakiwi kuwa na silaha za Nuclear kwa sababu ya ukorofi wake wa kutaka kufadhili magaidi na TANGAZO łąkę la kuifuta Israel kwa sababu hizo Dunia haiwezi kumpa kichaa rungu!!!!!

Israel Ina haki kuwa na silaha hizo kwa sababu ya kujilinda maana inatishiwa na majiranizajirani zake na Iran ilishatangaza kuifuta nchi hiyo hivyo Nuclear kuwa nayo ni sawa kabisa ili kuwa komes ha wahuni hao!!!
Naomba unisadie Iran kapiga na nchi ngapi mpaka sasa na Israel kapigana na nchi ngapi mpaka sasa?
 
We are living in days of biblical proportions!

Is this the end of Iran? Will Israel destroy the Islamic regime, allowing Iran to once again become friends with the west? Can Iran turn this around and surprise the world with a resounding victory against Israel?

If you know biblical prophecy, you know the answers to these questions. What the prophet Ezekiel saw about the Middle East more than 2500 years ago is no longer a distant vision. It’s today’s current events—right here, right now!

The near realities not just of Israel and Iran, but of Russia, Turkey, and other world players, can all be found in the prophetic Word of God. To better understand God’s perfect plan, preorder your copy of Exploring Ezekiel today: Amazon.com
 
Iran wenye nafasi za juu ni machawa na ni vilaza.

Watu muhimu waliowahi tokea hapo ni Qasem Soleimani mzee wa mbinu za proxy, Hassan Tehrani Moghaddam father of Iranian ballistic missiles, Mohsen Fhakrizadeh baba wa mradi wa nyuklia.

Na hao wote waliuwawa na maadui wa Iran. Hawa wengineo ni kamlete, unajua sana dini na unapendwa na Ayatollah, vigezo. Hata Rais wa Iran na Waziri wa Mambo ya Nje lazima wamsikilize Ayatollah hata kama ni mweupe kwenye jambo fulani. Hata bunge pia. Otherwise IRGC inawamaliza wenye mawazo tofauti.
Unafahamu kwanini Netanyahu alimfuta kazi huyo Waziri wa Ulinzi?
Screenshot_2025-06-15-20-24-37-86_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
 
Ukiona vita inaanza viongozi wote wa jeshi ndio wanatangulia kuuliwa basi jua hata hao wadogo watafyekwa tu

Siku zote vita huwa ushindi ni morali na wakubwa namna wanavyoongoza wadogo kupambana sasa leo unaambiwa mkuu wa ujasusi wa Iran na Naibu wake wameuliwa katika jengo la ujasusi walilokuwepo leo

Yaani mnajua kwa nini Iran ni wajinga, huwezi kuwa upo vitani alafu watu wazito wanakaa sehemu zile zile maofisini mwoa wakati unajua mda wowote mnaweza kulengwa

Kitu nachokiona israel analenga watu wazito na sehem nzito kila siku anauwa watu wazito sana jeshini ila Iran anamwaga makombora pasio target ya muhim

Nimejiuliza kama watu wazito kwenye system ya iran wameuliwa kwa vifo vya kikatili je hao wanajeshi wadogo wana.hali gani
 
Upo sahihi. Huwezi kushinda vita kama waongoza vita wameuwawa

Marekani mwenyewe alikimbia kwenye vita ya Vietnam baada ya majenerali wake 9 kuuwawa vitani.

Wanajeshi wadogo wakawa wanatapa tapa hawana viongozi.. marekani akaamua kuondoa wanajeshi wake wote vitani vietnam, sababu huwezi kupigana vita bila viongozi wa jeshi lako
 
Mzee wa MAGA anakuja na mpango wa kuwapatanisha Iran na Israel na kauli mbiu yake ya MAKE MIDDLE EAST GREAT AGAIN.

Huyu mzee anataka kutolewa roho na Netanyahu!!!


View: https://x.com/BRICSinfo/status/1934246724039491993

JUST IN: 🇺🇸🇮🇷 President Trump says "Iran and Israel should make a deal, and will make a deal."

"MAKE THE MIDDLE EAST GREAT AGAIN!"

We pimbi wengine hatutaki matatizo na serikali hatutumii VPN leta source nyingine
 
Back
Top Bottom