SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Weee Kiduku akisema aanze pale South Korea hawataweza jilinda maana hakuna air defence duniani inaweza piga hypersonic 5 zikitumwa kwa pamoja
Tatizo la Iran alitengeneza vikundi, Korea hajafanya hivyo
 
Jerusalem na Tel Aviv zitageuzwa kuwa magofu na kuwa sehemu ya utalii baada ya vita kwisha😆.

Haifa na Bat Yam ndiyo hivyo leo wanajeshi walikuwa na kazi ya kufukua vifusi tu.

Israel alizoea kuuwa watu wa Gaza sasa imefika zamu yake watu wake wanauawa kila siku.

Hakuna pakujificha tena missiles zinawafuata popote pale walipo.
 
Oyaaaaaaah!!!
Tuanze kupandisha mapicha picha au mpo live mnashuhudia wenyewe Myahudi anavyochapika!?
Mkuu nadhani hakuna haja ya picha kwasasa maana watu wanashuhudia vyuma vya Muajemi vinavyoshuka ndani ya ardhi ya Mazayuni.

Hii dozi itaendelea hadi bwana wake na Israel ajitokeze hadharani naye achapike.

Akifanya masihara kambi zake zote middle east zitakaangwa kwa moto wa hypersonic nakupotea mbali.
 
Acheni uzwazwa
 
Haifa inateketea kwa moto wakuu.

Iran kafanya maangamizi yakutisha huko Haifa maana mji unawaka moto kila kona.

Muda huu vyuma vingine vinaendelea kushuka Occupied West Bank.

Aise Iran ni mbabe tuache propaganda za mashog,a kutuaminisha kwamba Israel ana mifumo imara ya ulinzi wa anga.

Imagine kama sio kukua kwa teknolojia maana yake tungekuwa bado tunapigwa kamba na propaganda za maghribi.
 
Acha uongo usifanye hatuoni
 
🚨🔥🚨Iranian ballistic missiles attacked Nevatim Air Base in the Negev Desert, where the Israeli Air Force's fifth-generation F-35I Adir fighter jets are stationed🚨🔥🚨
 
Kuna mtu wakujiita MK254 anakwambia Israel ameharibu miundombinu yote ya kijeshi ya Iran hivyo hana uwezo tena wa kurusha makombora 😆😂.

Namshauri asiangalie kinachoendelea hivi sasa kule Israel maana kama una ugonjwa wa moyo unaweza kuzima mazima.

Miji ya Haifa na West Bank inakaangwa kwa moto vibaya sana.

Siku ya tatu mfululizo Mazayuni hawajapata usingizi kila ikifika usiku ni mwendo wa makombora tu.
 
Nafikiri baada ya mapinduzi ya kiislam Iran ili hitaji one party state mpaka sasa naweza kuwa sahihi ama sio sahihi siasa zao kwa namna fulani naona zina tengeneza division fulani.

Hammaz
Kosugi
baba-mwajuma
Xi Jinping
Iran ilipofeli ni kuwaunda raia wake wawe kama namna kama dola inavyotaka.

Ni kama jamii za Asia ya mashariki ya mbali zilivyo.

Jamii hizo zinaweza kuichukia serikali, lakini zikaipenda nchi yao. Ni jambo la hatari ndani ya nchi baadhi ya watu wako wakiwemo watu wa usalama wanashirikiana na adui wa nchi kutekeleza mauaji.

Vilevile ni lazima iweze kujua jamii hasimu ndani ya nchi yao ambayo inashirikiana na adui.

Kwa uchache kwa muda huu, naweza kuweka kwenye hayo mazingira lakini baadaye nitachangia kwa undani ndugu yangu.
 
IMG_20250615_215052_485.jpg
 
Mzee wa MAGA anakuja na mpango wa kuwapatanisha Iran na Israel na kauli mbiu yake ya MAKE MIDDLE EAST GREAT AGAIN.

Huyu mzee anataka kutolewa roho na Netanyahu!!!

View: https://x.com/BRICSinfo/status/1934246724039491993

JUST IN: 🇺🇸🇮🇷 President Trump says "Iran and Israel should make a deal, and will make a deal."

"MAKE THE MIDDLE EAST GREAT AGAIN!"

Umifustilia Kwa umakini jamaa ni mnafiki yeye ndio kawatuma Israel kufanya wanayo Fanya ili Iran ikae na kwenye meza ya mazungumzo kuhusu nukes
 
Back
Top Bottom