bado napata shida na ubora wa Israeli ninapoanza kuona mataifa makubwa yanapoanza kujisogeza kumsaidia.
Uwezo wake tunaoambiwa tunashindwa kuuona sasa ilihali Iran ameishi na vikwazo vikali toka miaka ya 1970 huko.
Waarabu wanapaswa sasa kuacha unafiki na kusimamia kitu kimoja ili hawa jamaa waache kuharibu mataifa yao kwa kulazimisha wanachokiamini.
Iraq, Libya, Syria, Lebanon nk zimeharibiwa sana na kuachwa taabani na hakuna amani tena ilihali huko kwao hawa jamaa wanaishi kwa utulivu na kuendelea.