Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 22,496
- 51,721
Yapi yanajiriIran wameshindikana aiseee
Yapi yanajiriIran wameshindikana aiseee
Marehemu wife, alikua mzuri sana,hadi napata uvivu kuoa tena, maana naona wote wabayaIla huyo dada yako kwenye avatar wahuni wanampigia sana nyeto
Iran anapigwa paipu mpaka anatoa pumzi ya motoYapi yanajiri
Umewakuta wapi mkuu nikawashughulikie?Wahuni wanampigia sana nyeeto, RIP in Advance
Ingia kuna machaka fulani hivi Temeke Stereo Keko Machungwa na Magulumbasi utawakuta hukoUmewakuta wapi mkuu nikawashughulikie?
Dah pole sana mkuuMarehemu wife, alikua mzuri sana,hadi napata uvivu kuoa tena, maana naona wote wabaya
Hiyo ruti...kwa mguu au boda!?Ingia kuna machaka fulani hivi Temeke Stereo Keko Machungwa na Magulumbasi utawakuta huko
Bajaj itakufaa zaidiHiyo ruti...kwa mguu au boda!?
Kwanini?Ayatollah aliwe kichwa
Kwasababu ya MdomoKwanini?
Kamdomomdomo kakeKwanini?
Zinadunguliwa decoy sio missiles...Kwanini missiles nyingi za Iran zinadunguliwa angani kabla ya kutua Israel?
Kasome historia ya Iran vyema...Nichangie kidogo tu,. JAMANI Mimi nipo neutral Sina upande wowote kwenye huu mgogoro,sipo kwa Israel au Iran,kiufupi napenda amani, Esreael kufanya baya kuvamia nchi ya watu na Iran anapambana na anajitahidi sana kupambana, Ila Ninavyoona, Na ndivyo itakavyokuwa ni kwamba Iran inaenda kupoteza pambano pia utawala wa Ayatollah unaenda Kuangaka,,,,,
SABABU kuu ni kwamba ndani ya IRAN Kuna hujuma kubwa sana Tena sana,,kiufupi Israel inajua wapi pa kupiga Ila IRAN inabahatisha sehemu za kupiga, Labda ikiwezekana ili mchezo ugeuke ni kama itatokea rafik mwema amsaidie taarifa sahihi na wapi pa kupiga Israel,,Ila naamini Iran inaenda kupoteza pambano, Israel naona mda mrefu sana Tena sana alipandikiza watu wake ndani ya IRAN.
Makamanda wa IranZinadunguliwa decoy sio missiles...
Hao ni decoys tu sio wenyewe yaan hio ni midoliMakamanda wa Iran