SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Hapa tunajadili mambo ya kisiasa shehe.
Kama mtu hamuamini Yesu sio Muisrael tukijadili katika window ya kiroho

Mkuu kwamba miye siyo shehe hakunifanyi niwe mwisiraeli.

Kwamba tuko wagogo, wamatumbi Kwa wadengereko, ponjolo wengi tu wakristo, budha kwa baniyani tupo, kuwa katu si waisiraeli hakutufanyi kuwa mashehe yakhe.

Kuwa na mawazo mgando ni aina ya umaskini wa fikra!
 

Ni mapumbavu, yaone vile. Halafu miyahudi mieusi inawatetea makillers kama hawa!!! Wamekunywa damu za watoto, wamama na wazee halafu unakuja kutetea ujinga!

Iran piga babaa, pigaaa


Iran 🇮🇷 🔥🔥🔥
Free palestine 🇵🇸
 
Hawa jamaa ndiyo maana wamesema hawataki kumuua ayatollah kwakuwa anahitajika kusaini makubaliano kama yatakuwepo.
Anaesaini makubaliano ni Masoud sio Ayatollah.
Ayatollah ni kiongozi wa dini sio kisiasa.
Muue Ayatollah uone maafa yake.
 
JUST IN 🔴

Despite closed airspace, U.S. arms shipments to Israel continue, with flights from the U.S. and American bases in Europe delivering hundreds of heavy munitions and bunker busters. - Kann
 
Vita sio kupiga piga Tu majengo vita haipiganwi hivyo

Nilikua nategemea military base,
Maeneo ya kimkakati(office kubwa za gavo viwanja vya ndege,bandari viwanda nk)hapo ningejua wanapiga panapo uma
Fighter jet zingekua zinadumguliwa Israel angetetemeka
Ila unapiga apartment ya watu tena wapo kwenye bunker unajisifu????

Vita ni sanaa Iran sio Tu zuchu ni amber luthi
Imepigwa marufuku kutumia hizo picha unazotaka maana msemaji wa IDF amesema zinawapa morali Iran. Ila kote huko pamepigwa. Kama tunauhakika kombora haliwezi kuzuiliwa hata na Thaad maana yake tunauhakika wa kupiga popote. Zinatolewa za footage za kiraia ili kubrainwash watu na kupandisha hizia za wazungu ili waungane kuichakaza Iran.

Mfano ukiweka picha ya hanger yenye ndge za kisasa kabisa zinaungua au Thaad inachomwa moto waisrael wote wanaweza kukimbia hapo middle east KWA miguu.

Vita ni Asilimia 10 tu, 90 iliyobaki ni propaganda.
 
Anajisumbua tuu
Bro unasema anajisumbua ilhali raia washaanza kutafuta passport zao wahame nchi?
Israel ishaanza kupata wakimbizi wa ndani na nje.
Israel kijiografia ni nchi ndogo haiwezi kuhimili mashambulizi kama haya.
Na hakuna sehemu unakimbilia Israel ikawa salama.
Bora Iran ni kubwa kijiografia.
Raia wanaikimbilia Tehran kwenda miji inayokalika.
 
Mkuu Israel imedhibiti utoaji taarifa Yani uko limited.
Hata BBC correspondents ambao walikua wanapiga hadi picha za mitaani wote washazuiliwa.
HUWEZI ukapata habari ya uhakika.
Ila soon wenyewe wakichoka watageukana.
Mfano vita ya Hamas walidanganya askari waliokufa ni 139 kumbe ni zaidi ya 5000 na walidanganya majeruhi ni 1000+ kumbe sio tu majeruhi Bali ni CRIPPLED SOLDIERS WA IDF NI elfu kumi na mbili .YediothAhronoth ndio walikuja kutoboa Siri
Israel inajitahidi sana kuzuia habari ili kutuliza taharuki.
Ila raia wao soon watamwaga Michele kwenye kuku wengi kama ilivyo vita ya Hamas.
Vita ni propaganda shekh nikuulize Kwani wewe apo umepata video au picha za kilicho ikuta Iran kwenye maeneo yake nyeti??

Ukiona mpaka wametangaza ujue imewafika hapaaa vita ni Sanaa huwez ruhusu waandishi wa habari wakapige picha kambi imepigwa ukasema njoo muone hata Iran tunaambiwa tu nuclear facilities zimepiga hakuna picha ata moja zaid ya zile aerial photography hizo ni Top secret na hio ni sanaa ya vita


Nenda mbweni kapige picha uone
 
Mkuu kwamba miye siyo shehe hakunifanyi niwe mwisiraeli.

Kwamba tuko wagogo, wamatumbi Kwa wadengereko, ponjolo wengi tu wakristo, budha kwa baniyani tupo, kuwa katu si waisiraeli hakutufanyi kuwa mashehe yakhe.

Kuwa na mawazo mgando ni aina ya umaskini wa fikra!
Muisrael ni mtu anayemuamini Yesu
 
Vita sio kupiga piga Tu majengo vita haipiganwi hivyo

Nilikua nategemea military base,
Maeneo ya kimkakati(office kubwa za gavo viwanja vya ndege,bandari viwanda nk)hapo ningejua wanapiga panapo uma
Fighter jet zingekua zinadumguliwa Israel angetetemeka
Ila unapiga apartment ya watu tena wapo kwenye bunker unajisifu????

Vita ni sanaa Iran sio Tu zuchu ni amber luthi
Si kweli, Israel imepigwa sehemu za kimkakati nyingi sana, ni vile media hazionyeshi..
Israel imepigwa vibaya sana.. siku zinavyoenda mengi yatazidi kufunguka..
Imefikia hatua EU na US wanataka maatano, ukishasikia hivyo ujue ngoma ni ngumu..
 
Iran Ina wayahudi wengi sana mkuu ambao ni raia wa hapo Iran.
Nahisi hao hao ndio baadhi Kuna mapandikizi wa Mossad.
Walikamata wahindi 73 wanaspy KWA mossad pia. Naamini wayahudi wa Iran hawawezi kujiingiza kwenye hayo maana wanajulikana ni rahisi kufyekwa
 
Imepigwa marufuku kutumia hizo picha unazotaka maana msemaji wa IDF amesema zinawapa morali Iran. Ila kote huko pamepigwa. Kama tunauhakika kombora haliwezi kuzuiliwa hata na Thaad maana yake tunauhakika wa kupiga popote. Zinatolewa za footage za kiraia ili kubrainwash watu na kupandisha hizia za wazungu ili waungane kuichakaza Iran.

Mfano ukiweka picha ya hanger yenye ndge za kisasa kabisa zinaungua au Thaad inachomwa moto waisrael wote wanaweza kukimbia hapo middle east KWA miguu.

Vita ni Asilimia 10 tu, 90 iliyobaki ni propaganda.
Umemaliza kila kitu wala siwez ongeza wala kupunguza neno
 
Vita ni propaganda shekh nikuulize Kwani wewe apo umepata video au picha za kilicho ikuta Iran kwenye maeneo yake nyeti??

Ukiona mpaka wametangaza ujue imewafika hapaaa vita ni Sana huwez ruhusu waandishi wa habari wakapige picha kambi imepigwa ukasema njoo muone hata Iran tunaambiwa tu nuclear facilities zimepiga hakuna picha ata moja zaid ya zile aerial photography hizo ni Top secret na hio ni sanaa ya vita


Nenda mbweni kapige picha uone
Iran wanasema ukweli, Israel wanaficha, hayo unayoona yametokea makazi ya watu ni sehemu ndogo sana, mashambulizi mengi ya Iran yanapiga sehemu za kimkakati..
 
Si kweli, Israel imepigwa sehemu za kimkakati nyingi sana, ni vile media hazionyeshi..
Israel imepigwa vibaya sana.. siku zinavyoenda mengi yatazidi kufunguka..
Imefikia hatua EU na US wanataka maatano, ukishasikia hivyo ujue ngoma ni ngumu..
We umejuaje Kama imepigwa tuanzie apo
 
Back
Top Bottom