SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Iran wanasema ukweli, Israel wanaficha, hayo unayoona yametokea makazi ya watu ni sehemu ndogo sana, mashambulizi mengi ya Iran yanapiga sehemu za kimkakati..
Hahaha unajidanganya onesha picha ya kambi zilizo pigwa za Iran

Both sides wanadanganya
 
Mbona Iran inazidi kupoteza makamanda, wanasayansi wa nuklia na viongongozi waandamizi? Iran inakwama wapi kuua walau wawili watatu?
 
We umejuaje Kama imepigwa tuanzie apo
1-Kwanini umeme umekatikaTel Aviv tuanzie hapo..
2-Makombora ya Iran ni hypersonic, kuna mfumo wa kuzuia hypersonic missiles?
3-Iran ilishalenga kambi za US pale Iraq, kambi ya jeshi ina ADs bora kabisa, iliwezaje Iran kupiga na bado mapema waliwapa taarifa tunapiga kambi muda fulani..?
4-Kwanini Netanyahu alikimbia nchi?
 
Kwa udogo wa nchi ya Israel hakuna haja ya target kubwa maana kila unapopiga ni target...tofauti na li nchi kubwa kama Iran
Makombora yakirushwa mengi kwa wakati mmoja iron dome haiwezi ku intercept yote...machache lazima yapenye!
% kubwa yanafanikiwa kuwa intercepted, sasa jiulize bila iron dome na ule mfumo david nn sijui hali ingekuwaje huko Israel?!

Kingine nimeona kwenye hii vita Israel wako na target zaidi kuliko Iran...hata jana jpili wameua tena ma generali wa3 wa jeshi la Iran na afisa m1 mkubwa wa intelijesia.
 
Unaoyaona yanatokea Iran basi Israel mara kumi yake.
Asubuhi hii wanatwangwa tena.
Na soon Israel inaonekana kutokukalika tena raia washaanza kutafuta passport zao za uraia pacha wanaikimbia Israel.
Safari hii Israel kayakanyaga.
Na Iran kasema hatoachia bomba ngoo.
Ukiacha shambulio la alfajiri asubuhi hii Israel hajashambuliwa, labda Tehran ndo HQ ya polisi imegeuzwa kifusi dakika chache nyuma, raia wa Israel watabaki sababu serikali yao iliandaa mazingira ya nyakati kama hizi, nasikia Ayatoulah anateua kureplace waliouawa ila anakowateulia hapajulikani maana yuko mafichoni
 
1-Kwanini umeme umekatikaTel Aviv tuanzie hapo..
2-Makombora ya Iran ni hypersonic, kuna mfumo wa kuzuia hypersonic missiles?
3-Iran ilishalenga kambi za US pale Iraq, kambi ya jeshi ina ADs bora kabisa, iliwezaje Iran kupiga na bado mapema waliwapa taarifa tunapiga kambi muda fulani..?
4-Kwanini Netanyahu alikimbia nchi?
Awapi yule anarusha ballistic sema some ni cruise ballistic missiles hajarusha hypersonic we unazisikia hypersonic au wazijua halafu ukileta taarifa kama hizi leta na source mambo ya kujitungia mwenyewe utakula ban
 
1-Kwanini umeme umekatikaTel Aviv tuanzie hapo..
2-Makombora ya Iran ni hypersonic, kuna mfumo wa kuzuia hypersonic missiles?
3-Iran ilishalenga kambi za US pale Iraq, kambi ya jeshi ina ADs bora kabisa, iliwezaje Iran kupiga na bado mapema waliwapa taarifa tunapiga kambi muda fulani..?
4-Kwanini Netanyahu alikimbia nchi?
Hahaha nilivyo ona Tu swali namba four kwa nini Netanyahu alikimbia nchi nimeishiwa na majibu ya maswali yote

Ili uwe analyst mzuri unatakiwa kukusanya taarifa nyingiiiiii kisha uchuje uje na taarifa za uhakika
 
Umemaliza kila kitu wala siwez ongeza wala kupunguza neno
Hata humu ukijifanya unatuma updates zinazoumiza mioyo ya wayahudi unaweza kupotezwa. Jamaa huwa hawana mchezo na mtu yeyote popote duniani.

Mitandao wa X imeanza kufanya censorship ya contents za pro Iran and Iranian accounts zinazotoa update zinazofavour Iran. Hawa ni Israel ila kukifanya hivi KWA US matokeo yake ni mara nua zaidi.
 
Hahaha nilivyo ona Tu swali namba four kwa nini Netanyahu alikimbia nchi nimeishiwa na majibu ya maswali yote

Ili uwe analyst mzuri unatakiwa kukusanya taarifa nyingiiiiii kisha uchuje uje na taarifa za uhakika
Netanyahu mbona yupo Tel Aviv na hata jana alifanya ziara kuwatembelea waathirika, mwambie atupe location ya ayatolah kuna 10 ya vocha
 
Back
Top Bottom