Kutokana na mashambulizi ya Israel nchini Iran, watu wapatao 220, tayari wamekwishauawa, wengi wakiwa ni viongozi wa vyombo vya ulinzi na usalama nchini Iran.
Imeelezwa pia kuwa Israel kama ingekuwa inarusha makombora ovyo kama inavyofanya Iran, basi huenda maelfu ya Wairan wangekuwa tayari wamepoteza maisha kwani Iran, tofauti na ilivyo Israel, wananchi hawajajengewa safety shelters.
Taarifa nyingine zinaeleza kuwa baadhi ya viongozi wa nchi na familia zao wameikimbia Iran, na wengine wameukimbia mji mkuu Tehran, kuelekea mashambani, mbali na Tehran. Israel imeteketeza maeneo muhimu ya kijeshi, ikiwa ni pamoja na maghala ya kutunzia silaha na viwanda vya kutengeneza makombora na vinu vya kuzalishia nguvu za nyuklia. Kuangamizwa kwa maghala ya silaha, wachunguzi wa mambo ya kivita, wanasema inaweza kuwa imeathiri sana uwezo wa Iran wa kushambulia. Iran ambayo siku ya kwanza ilirusha makombora 150 kuelekea Israel, jana ilirusha makombora 28 tu, ikielezwa kuwa kupungua kwa idadi ya makombora yaliyorushwa, yawezekana ni kutokana na kupungua kwa akiba yao ya makombora kulikosababishwa na kulipuliwa kwa maghala.
Wakati huo huo, kuna taarifa kuwa Marekani imeiomba Israel isimwue kiongozi mkuu wa Iran, Ayatollah, wakati huu.
Israel inajitahidi kuzuia mauaji ya raia, ikiwahimiza raia kuondoka maeneo yaliyo karibu na maeneo ya kijeshi, ikiwataka wananchi wainuke na kuuondoa utawala wa kidikteta wa Ayatollah.
Nukuu chache toka Aljezeera:
LIVE: Iran launches new attacks on Israel; 3 killed, dozens wounded:
- Iran launches a new wave of attacks on Israel, killing at least three people in Tel Aviv and hitting the port city of Haifa, hours after the Israeli military bombed the Iranian capital, Tehran.
- The death toll in Iran has risen to 224. The intelligence chief of Iran’s Islamic Revolutionary Guard Corps (IRGC) and two other generals were killed in Israeli attacks on Sunday.
How protected are Israelis from air attacks?
We have more from Gideon Levy, the Israeli journalist at the Haaretz newspaper.
He told Al Jazeera that most Israelis are “very well protected” from air attacks.
“First of all, the alarm system is extremely well-functioning. This time, we get alarms much before the siren. We can prepare ourselves. In most parts of Tel Aviv, for example, there are many shelters. All the new buildings have their own shelters and safe homes. So, from this point of view, you have the feeling that the population is protected.”
- Reuters and AP news agencies are reporting that Trump vetoed an Israeli plan to kill Iranian Supreme Leader Ayatollah Ali Khamenei.