SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Naamini huyu mwamba
Kyrylo Oleksiiovych Budanov mkuu wa intelligensia wa Ukraine wangeshamuua. Maana wamewahi Hadi kuisambaratisha KWA Kinzhal ofisi yake lakini jamaa Bado anadunda tu na NDIYE wanamtuhumu KWA kuratibu hujuma nyingi ndani ya Russia KWA msaada wa NATO.
Mbinu ya kuua kiongozi mmoja mmoja inakua na faida ndogo au kubwa kwa kutegemea msingi wa mgogoro ulivyo kama urusi wakimuua huyo mtu kesho nafasi yake anapewa mwingine .....hakuna kitu cha maana hapo ...mauaji ya hivyo yanakuwa na tija tu taifa linapokuwa na fitina za kisiasa ndani kwa ndani..... kwa ukrain ni tofauti TAIFA LIPO KATIKQ KITU KINACHOITWA NATO STATE CAPTURE...raia wa Ukraine awana cha kuamua
 
Vita iendelee Iran Hana uwezo wa kuendesha vita kwa miezi 3 hapo hapo waendelee kabisa ili atakomeze kizazi hiki kinacho fadhili Ugaidi DUNIAN NETANYAHU MUNGU AKULINDE PIGA STRONG TARGET kwenye vinu vya nuclear pakisha noga ingiza MAKOMANDO 100 tu ukafanye kile Mossad ilichokwambia
 
naona utofauti wa upigaji wa Isareal na Iran,Israel anapiga military targets Iran anapiga reidential areas..
Mabwawa ya maji ya kunywa na chemba za mavi ni shabaha za kijeshi?..hao raia 200+ waliokufa walikua jeshini?
 
Hao ni Israel,false flag USA aingie mazima, maana wao wameshindwa
Hamna kitu nataman kama makamanda wangu wa US waingie mzigoni apo middle East patachangamka within a week wa Arab watakaoingilia watanyolewa ndevu Kwa chupa
 
Mbinu ya kuua kiongozi mmoja mmoja inafaida ndogo kwa kutegemea msingi wa mgogoro ulivyo kama urusi wakimuua huyo mtu kesho nafasi yake anapewa mwingine .....hakuna kitu cha maana hapo ...mauaji ya hivyo yanakuwa na tija tu taifa linapokuwa na fitina za kisiasa kwa ukrain ni TAIFA LIPO KATIKQ KITU KINACHOITWA NATO STATE CAPTURE...raia wa uirain awana cha kuamua
Kwa mfano kama Israel wanauhakika wa kuuua viongozi wote wenye ushawishi akiwemo Rais na Ayatollah, hapohapo akamaliza magenerali wote na millitary thinktank wa Iran huoni ni rahisi Jeshi kucolapse na hata kikao cha kupachika wapya kikashindikana na Serikali kuanguka.

Mfano nimeona watu kadhaa prominent wanapanda gari ZAO zinawalipukia. Yaani Israel wanatumia ndege, ugaidi, hujuma, assassinations KWA mkupuo huku Iran wao wanatumia njia moja tu ya makombora.
Ingawa impact KWA Israel ni kubwa ila akipata Support ya west Iran inaonekana Iko uchi KWA Israel wataangusha Serikali kabisa.
 
Screenshot_2025-06-16-09-07-12-731_com.instagram.android.jpg

Mtoto mzuri kama huyu anaingia Iran anapiga sehemu nyeti anarudi kwenda kupika au kunyonyesha. Iran inasema inshaaallah angalau inapigwa na watoto warembo si mbaya sana.
Screenshot_2025-06-16-09-07-12-731_com.instagram.android.jpg
 
Kwa mfano kama Israel wanauhakika wa kuuua viongozi wote wenye ushawishi akiwemo Rais na Ayatollah, hapohapo akamaliza magenerali wote na millitary thinktank wa Iran huoni ni rahisi Jeshi kucolapse na hata kikao cha kupachika wapya kikashindikana na Serikali kuanguka.

Mfano nimeona watu kadhaa prominent wanapanda gari ZAO zinawalipukia. Yaani Israel wanatumia ndege, ugaidi, hujuma, assassinations KWA mkupuo huku Iran wao wanatumia njia moja tu ya makombora.
Ingawa impact KWA Israel ni kubwa ila akipata Support ya west Iran inaonekana Iko uchi KWA Israel wataangusha Serikali kabisa.
Israel wamewafuatilia nyendo za hao viongozi muda mrefu,waka improvise njia za kuwaua,lakini siamini ukiua mkurugenzi mkuu TISS,cdf jwtz,raisi,makamu wa rais,wakuu wa vikosi basi tz inakua kwishnehi,si kweli
 
Hiyo mbinu ina faida kwa kutegemea aina ya mgogoro ulivyo ....mfano kwa urusi uwezi kuitumia ukapata faida ya maana kwa kuua viongozi wa urusi maana ukiua wanakuja wabaya na wenye uwezo zaidi ....marekani yenyewe inaogopa putin kuondoka madarakani unajua kwa nini ?
 
Balozi wa Marekani nchini Israel ,Huckabee ametoa taarifa kuwa jengo la ubalozi wa Marekani jijini Tel Avi limeathirika kutokana na mashambulizi ya Iran yanayoendelea.

Balozi huyo daima amekuwa na misimamo mikali dhidi ya Iran na Hamas kama kwamba yeye ni mmoja ya mawaziri wa serikali ya Netanyahu.

Katika taarifa yake hii Huckabee amesema hakuna maafa makubwa kutokana na shambulio hilo.Akaongeza kuwa kutokana na hali hiyo ya vita ubalozi wa nchi hiyo utaendelea kufungwa,

US envoy reports damage to embassy branch in Tel Aviv​

Mike Huckabee says there’s been “some minor damage” to the US Embassy building in Tel Aviv after “concussions of Iranian missile hits” near the structure.
There were no injuries to US personnel, and the country’s embassies and consulates in Jerusalem and Tel Aviv will remain closed today, he added.
aljazeera live
 
Israel wamewafuatilia nyendo za hao viongozi muda mrefu,waka improvise njia za kuwaua,lakini siamini ukiua mkurugenzi mkuu TISS,cdf jwtz,raisi,makamu wa rais,wakuu wa vikosi basi tz inakua kwishnehi,si kweli
Ngoja tuone mwisho wa hii kitu
 
Safi sn ayatolah, kachokora mzingaa. Patam sana apooo, acha tukae mkao wa kulaa..ni rahaa jamanii
 
Hiyo mbinu ina faida kwa kutegemea aina ya mgogoro ulivyo ....mfano kwa urusi uwezi kuitum8a ukapata faida ya maana kwa kuua viongozi wa urusi maana ukiua wanakuja wabaya na wenye uwezo zaidi ....marekani yenyewe inaogopa putin kuondoka madarakani unajua kwa nini ?
Putin anabusara kuliko Medvedev
 
Anaesaini makubaliano ni Masoud sio Ayatollah.
Ayatollah ni kiongozi wa dini sio kisiasa.
Muue Ayatollah uone maafa yake.
Ayatollah ni kiongozi wa kidini na ndiye kiongozi mkuu. Supreme leader.
Atakachosema watu wanatii. Huyo masudi anafufuata orders za ayatollah. Ukimuua, masudi hawezi kusaini makubaliano hadi apatikane ayatollah mwingine.
 
Back
Top Bottom