Imole
JF-Expert Member
- Jan 8, 2021
- 1,546
- 4,327
Hujui kitu kauli ya ayatollah ndo kauli ya mwisho maana yake ninAyatollah mtoa maelekezo sio msainiji.
Msainiji ni rais na viongozi wengine wa kisiasa.
Hujui kitu kauli ya ayatollah ndo kauli ya mwisho maana yake ninAyatollah mtoa maelekezo sio msainiji.
Msainiji ni rais na viongozi wengine wa kisiasa.
Kumbe hata Ukraine na DRC wanakufa kwa "ujinga wao"? Yaani kumbe raia ukivamiwa siku hizi ni ujinga wako?Wakazi waliouawa iran hao 224 ni kwa ujinga wao
Licha ya hivyo, kuna jamii ndogo ya wahindi ambao wanaoishi humo. Ukizingatia wengine waliingia mkataba na nchi ya India kwa wahindi waingie nchini Iran kwa kuheshimu nchini humo kuna raia asili ya wahindi.Hiyo nchi kila mwenye Imani ya kiyahudi alienda, India palikua na wayahudi, Yemen, Iran, Azerbaijan etc,wayahudi wa Ethiopia tu ndo wanawake walikaushwa vizazi
Alipo andika Tu Iran inatumia hypersonic missile nikajua tayali tusha Anza danganyana apa
Kutumia matusi ni dalili tosha kuwa umeishiwa hoja.Nime uliza swali kwa mdau yule we bibie tayari Usha lowa uko nyuma mm sio mfimbaji tafuta bwana mwengine wa kumpitisha uko topeni
Wanalia kibwege kibwege na bado hapo Israel wanatakiwa waishi kama panya muda wote ndani ya mashimo Iran hacheki na kima muda huuView attachment 3371006
—❗️🇮🇱/🇮🇷 WATCH: Zionists cry and scream as Iranian ballistic missile hits their building
Ukitarget Maeneo ya wananchi unaifanya nchi, in this case Israel ipunguze mashambulizi kwako... Second Israel inalinda zaidi maeneo strategic kuliko Maeneo ya Raia Ndio maana inawaambia watu waende kwenye mahandakiYour argument ain't tautology,hazina uhusiano kauli zako
Sasa unakataa nini na unapinga nini?Hujui kitu kauli ya ayatollah ndo kauli ya mwisho maana yake nin
kufa wengi Iran haina maana kwamba residential areas ziko taregeted na Israel,ila kwa uapnde wa Israel wana sheria ya kujenga nyumba na mahandaki ya kuwakinga na nyakati za vita,sidhani kama Iran wanayo,picha zinaonesha makombora ya Iran yanatua kwenye makazi ya watulakini waliokufa huko Iran ni wengi kuliko Israel.Sasa sijui waliokufa wengine si watu watu au vipi
Yaap wana hypersonic midrange ballastic missile zile Fattah 1View attachment 3371110
Hiyo ndo inaitwa hypersoni missile nadhani umeiona
Safi sn ayatolah, kachokora mzingaa. Patam sana apooo, acha tukae mkao wa kulaa..ni rahaa jamanii
View attachment 3371064
View attachment 3371064View attachment 3371066View attachment 3371067View attachment 3371068View attachment 3371069View attachment 3371070View attachment 3371071View attachment 3371072View attachment 3371073View attachment 3371074View attachment 3371075View attachment 3371076View attachment 3371077View attachment 3371078View attachment 3371079View attachment 3371080View attachment 3371081View attachment 3371082View attachment 3371083View attachment 3371085View attachment 3371086View attachment 3371087View attachment 3371088View attachment 3371089View attachment 3371090View attachment 3371091View attachment 3371092
India pia huwa kuna jamii ya wayahudi..Na anaonekana mhindi huyu!
Mbaya zaidi nchini Iran kuna jamii ya wahindi, sasa sijui kwa kinachoendelea wataishi maisha gani!
HII ni mara moja tu tena kwa vile kombora limekwenda upande.Kule Gaza ndio kila siku kwa miaka 2picha zinaonesha makombora ya Iran yanatua kwenye makazi ya watu