Balozi wa Marekani nchini Israel ,Huckabee ametoa taarifa kuwa jengo la ubalozi wa Marekani jijini Tel Avi limeathirika kutokana na mashambulizi ya Iran yanayoendelea.
Balozi huyo daima amekuwa na misimamo mikali dhidi ya Iran na Hamas kama kwamba yeye ni mmoja ya mawaziri wa serikali ya Netanyahu.
Katika taarifa yake hii Huckabee amesema hakuna maafa makubwa kutokana na shambulio hilo.Akaongeza kuwa kutokana na hali hiyo ya vita ubalozi wa nchi hiyo utaendelea kufungwa,
US envoy reports damage to embassy branch in Tel Aviv
Mike Huckabee says there’s been “some minor damage” to the US Embassy building in Tel Aviv after “concussions of Iranian missile hits” near the structure.
There were no injuries to US personnel, and the country’s embassies and consulates in Jerusalem and Tel Aviv will remain closed today, he added.
aljazeera live