SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

India pia huwa kuna jamii ya wayahudi..
Lakini kuna msako mkali sana unaendelea..
Na inavyoonekana mossad agents wengine wameanza kukimbia..
Nguvu kuu ya Israel ndani ya Iran ni agents wa mossad walikuwa wametapakaa sio poa..
Imagine top generals karibu 30 wanauawa.. ina maana wapo kila kona, wana trace kila kitu..
Mateso watakayopewa lazima watasema...
Moderators wameuua uzi wetu kwa makusudi na wameuleta huku!

Na wamefuta baadhi ya comments zangu.

Mwenye huu mtandano ni nani?
 
Aisee, uzi wetu umepewa hadhi, upo LIVE na badge nyekundu kama ule wa Russia, kongole sana kwa mods na mkuu kimsboy nadhani huu ndio uzi umechangamka kwa sasa kuhusu hili suala la mashariki ya kati vita kati ya Iran na Israel..
 
Idf
 

Attachments

  • IMG_20250616_095825_492.jpg
    IMG_20250616_095825_492.jpg
    82.1 KB · Views: 16
Izo base zina wanajeshi wawili wawili wala zisikutishe, hakuna base yenye hata Balistic moja zote ni kwa ajili ya kupiga umbea.
We hao jamaa wanavyopenda sifa izo base zingekuwa na fikaa ungejua tu
 
Iran imeua wanajeshi wengi na kutungua ndege mbili na kuwakamata mateka marubani wao, mleta mada ni Mpenzi wa wayahudi ndiyo maana kaegemea propaganda za wayahudi kumbe ukweli warabu wamewachakaza sana ni kipigo kweli
 
Iran atachakazwa mdogo mdogo mpaka aishe, subiri revange bab kubwa dunia itashangaa zaidi!
 
Kutokana na mashambulizi ya Israel nchini Iran, watu wapatao 220, tayari wamekwishauawa, wengi wakiwa ni viongozi wa vyombo vya ulinzi na usalama nchini Iran.
Imeelezwa pia kuwa Israel kama ingekuwa inarusha makombora ovyo kama inavyofanya Iran, basi huenda maelfu ya Wairan wangekuwa tayari wamepoteza maisha kwani Iran, tofauti na ilivyo Israel, wananchi hawajajengewa safety shelters.

Taarifa nyingine zinaeleza kuwa baadhi ya viongozi wa nchi na familia zao wameikimbia Iran, na wengine wameukimbia mji mkuu Tehran, kuelekea mashambani, mbali na Tehran. Israel imeteketeza maeneo muhimu ya kijeshi, ikiwa ni pamoja na maghala ya kutunzia silaha na viwanda vya kutengeneza makombora na vinu vya kuzalishia nguvu za nyuklia. Kuangamizwa kwa maghala ya silaha, wachunguzi wa mambo ya kivita, wanasema inaweza kuwa imeathiri sana uwezo wa Iran wa kushambulia. Iran ambayo siku ya kwanza ilirusha makombora 150 kuelekea Israel, jana ilirusha makombora 28 tu, ikielezwa kuwa kupungua kwa idadi ya makombora yaliyorushwa, yawezekana ni kutokana na kupungua kwa akiba yao ya makombora kulikosababishwa na kulipuliwa kwa maghala.
Wakati huo huo, kuna taarifa kuwa Marekani imeiomba Israel isimwue kiongozi mkuu wa Iran, Ayatollah, wakati huu.

Israel inajitahidi kuzuia mauaji ya raia, ikiwahimiza raia kuondoka maeneo yaliyo karibu na maeneo ya kijeshi, ikiwataka wananchi wainuke na kuuondoa utawala wa kidikteta wa Ayatollah.

Nukuu chache toka Aljezeera:

LIVE: Iran launches new attacks on Israel; 3 killed, dozens wounded:​

  • Iran launches a new wave of attacks on Israel, killing at least three people in Tel Aviv and hitting the port city of Haifa, hours after the Israeli military bombed the Iranian capital, Tehran.
  • The death toll in Iran has risen to 224. The intelligence chief of Iran’s Islamic Revolutionary Guard Corps (IRGC) and two other generals were killed in Israeli attacks on Sunday.
  • How protected are Israelis from air attacks?​


    We have more from Gideon Levy, the Israeli journalist at the Haaretz newspaper.
    He told Al Jazeera that most Israelis are “very well protected” from air attacks.
    “First of all, the alarm system is extremely well-functioning. This time, we get alarms much before the siren. We can prepare ourselves. In most parts of Tel Aviv, for example, there are many shelters. All the new buildings have their own shelters and safe homes. So, from this point of view, you have the feeling that the population is protected.”
    • Reuters and AP news agencies are reporting that Trump vetoed an Israeli plan to kill Iranian Supreme Leader Ayatollah Ali Khamenei.
Propaganda ni mbinu za kuwadanganya dunia kuwa iran kaumia sana wakati na yeye kawachakaza kimyama
 

Israelis ‘now realising’ what Palestinians and the Lebanese have been suffering​



Elijah Magnier, a military and political analyst

“I think it’s going to continue escalating because we are just on the first days of the war that Israel declared on Iran,” he told Al Jazeera.

“And also the Israeli officials, the prime minister and the army, have all warned Israeli society that this war is going to be heavy and is going the price is going to be extremely high. But the society that stands behind Benjamin Netanyahu and supports the war on Iran did not expect this level of destruction, because since 1973, Israel has not waged a war on a country and never been attacked in this scale, right in the heart of Tel Aviv,” Magnier said from Paris.

“So now they are realising what the Palestinians have been suffering, what the Lebanese have been suffering, and they see the destruction in front of them, buildings in Tel Aviv, in Haifa destroyed, fire everywhere. The properties no longer exist. Eight people killed, 250 wounded in one day. That’s unheard of since a very long time in Israel. So all that is not something that the Israeli society has been ready for,” he added.



source-aljazeera

Kwamba hata wale ambao walimuunga mkono Neta kwenye hii vita kati yake na Iran, hawakutarajia kama kutakuwa na uharibifu mkubwa kiasi hiki..

Israel sasa wanapata picha halisi ya nini kilikuwa kinawakuta Gaza na Lebanon, next time wakisikia kiongozi wao anataka vita na nchi flani, wataandamana kupinga..
 
Vita iendelee Iran Hana uwezo wa kuendesha vita kwa miezi 3 hapo hapo waendelee kabisa ili atakomeze kizazi hiki kinacho fadhili Ugaidi DUNIAN NETANYAHU MUNGU AKULINDE PIGA STRONG TARGET kwenye vinu vya nuclear pakisha noga ingiza MAKOMANDO 100 tu ukafanye kile Mossad ilichokwambia
Ona huyu!
Iran imepigana vita ya MIAKA 8 kuanzia 1980-1988 ishindwe vita ya miezi??
Embu msome msije kutia aibu humu ndani.
 
Back
Top Bottom