SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Ndiyo, mbona hata kwenye Biblia imeandikwa kwamba Ashkenazi alikuwa ni mtoto wa Japhet (Baba wa wazungu), na siyo Shem (Baba wa Wayahudi). AU hili hukufundishwa Sunday School ????

"
Hivi ndivyo vizazi vya wana wa Nuhu, Shemu, na Hamu, na Yafethi. Na kwao walizaliwa wana wa kiume baada ya gharika. Wana wa Yafethi ni Gomeri, na Magogu, na Madai, na Yavani, na Tubali, na Mesheki, na Tirasi. Na wana wa Gomeri ni Ashkenazi, na Rifathi, na Togama." Mwanzo 10: 1-4​
we. ni mpumbavu Ashkenazi ni jina sio kabila
Wakati huo hakukuwa na taifa la israel wala ibrahim alikua hajazaliwa
“ndo shida ya madrasa bila elimu”

Taifa la israel limezaliwa baada ya miaka mingi baadae kuanzia uzao wa ibrahim ambapo Ibrahim alizaa mtoto mmoja wa ndoa Isaka nae akamzaa yakobo na esau Yakobo ndo alizaa watoto 12 ambayo ndo makabila 12 ya israel kwa jina lingine Yakobo ndio mwenye jina Israel

mtoto mwingine haramu au wa nje ya ndoa alikua ishmael ambaye ndo alizaa waarabu
(Nadhani unaona wanavosumbua dunia yote haikali)


sasa niambie watoto wa yakobo ambao hawana uhusiano wa moja kwa moja na Nuhu wanaingilianaje
 
we. ni mpumbavu Ashkenazi ni jina sio kabila
Wakati huo hakukuwa na taifa la israel wala ibrahim alikua hajazaliwa
“ndo shida ya madrasa bila elimu”
Mbona hata Israel na Uyahudi nayo ni majina ya watu.

Israel ni jina jingine la Yakobo.

Yahudi ni jina la mtoto wa Yakobo, Yuda.
​
 
Kwanini lisiwezekane?
Mbona una ufinyu kwenye upembuzi mkuu!?
Hao makamanda wanauliwa kwa mashambulizi ya kuvizia na ni jambo ambalo linawezekana.
Kuua kwa kuvizia kupitia mashushushu na kushambulia kwa silaha ni mambo mawili tofauti.
Shida unajadili mambo yalo kuzidi uelewa
😂😂mbona makasiliko wewe ayaa mambo yapo ndani ya uelewa wako unavyo zani unaweza ukakuta hata chanzo cha ugomvi wao na ugomvi ulianza mwaka gani ujui araf unaongelea uelewa
 
Hazikwi na gauni lake mazee dah
1000041934.jpg
 
kwa nini na wao iran wasilipize kwa kuvizia kuua makamanda wa israel kama inawezekana?
Silaha ina thamani kuliko kamanda.kwani wa Iran awakujua kuwa Israel atashambulia, si kila sehemu ilisikika hata sisi huku tulijua lakini wameficha Silaha makamanda wapo front.

Kamanda ni swala la kumteuwa tu mtu siku moja ila silaha kuiteneneza inachukua muda
 
Kuuwa Viongozi kama ndio usindi wangeshinda pale Lebanon Iran ina Wajeda wakubwa kibao unauwa nini mtu au Cheo chake ili Ushinde Vita kama mtu sawa ila tukumbuke Wairan ni kama jamii zengine za Waislam wakijifaamu wanatetea haki basi kufa kwao sio tatizo !!!

JE umeuwa Cheo chake apa unajitanganya Ww umeuwa mtu tu sio Cheo
cheo kipo akifi anapewa mwengine Ata wakiuwa Ayatollah au Rais wa Iran ukweli utabaki uwouwo Vita avitosimama kwa kifo cha Ayatollah!!!

au Mkuu wa Kijeshi yoyote ni ivyoivyo umeuwa mtu sio Cheo cheo kipo kinapewa Mwengine Vita hiii itakuwa Vita Mama Iran sio Wanyonge.. !!!

Israel imedandia mgongo wa Amza kasongo yeye!!!!
 
Ndugu zangu kutokana na majasusi wa IDF kudondosha chini makamanda wa kuu wa kijeshi huko Iran na kuwaacha chakula rasmi cha wadudu , huku kwa dharau wakicheza singeli kwenye anga la Iran kirahisi sana na ndege vita zao pasi na wao kudunguliwa hali inayowafanya iran kurusha makombora hovyo hovyo kwenye makazi ya watu telaviv

Sasa duru zina sema ; USA President Trump amuomba netanyau asimuue ayatollah ali khamenei


 
Vita ina mambo mengi pia, kuna kugeukana, wivu, kusnitchiana, adui wa mtu ni mtu mwenyewe, ayatollah bado ana nafasi ya kupanga safu ya mashambulizi, hao sio mageneral wa nchi nzima waliuawa, HAWEZI KUKOSA BACKUP
 
Back
Top Bottom