Best_Carmine
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 897
- 1,439
Hawa weekend hawafiki b'se ukiondoa launchers hawana namna nyingine ya kufika Israel
Who told youHawa weekend hawafiki b'se ukiondoa launchers hawana namna nyingine ya kufika Israel
Israel kabakisha nini zaidi ya kichwa cha AyatoulahEndeleeni kujidanganya.
Huo utawala ili uangushwe maybe USA and allies waingie Moja kwa Moja vitani kama ilivyo Libya.
Ila sio kwa mtindo huu.
Kwa mtindo huu soon Israel inatema bungo kama nyani.
Uhalisia unaongea maana hawana ndege za kutembea kwenye anga ya IsraelWho told you
Hata wakiwa nazo, haziwezi kufika na kurudi bila kupitia sheli au kujazwa mafuta. Na ili zifike inabidi zipite kwenye anga la nchi kadhaa ambazo pia ni mawakala wa Israel.zitapigiwa njiani.Uhalisia unaongea maana hawana ndege za kutembea kwenye anga ya Israel
KachakaaSema Israel ilikuwaga inamtafutia sababu Iran, ikamkuza kama tishio kumbe Iran wa watu uwezo mdogo
Who told you
View attachment 3371374Who told you
Poleni.Israel kabakisha nini zaidi ya kichwa cha Ayatoulah
Hii vita wasaidizi za Iran kama urusi or china kuingilia ni ngumu au kumuuzia silaha zao sababu watatoa nafasi na reason ya USA na allied wengine wa Israel kuingilia kati na kama ikitokea hivyo basi mashariki ya kati haitakuwa sehemu salama ya binadamu kuishi, na Trump kasema hawa waachiwe wapigane kwanza baada ya hapo ndo wataitwa mezani,
Kila mmoja na uchambuzi wake ila me naona Iran yuko hoi kushinda Israel na hadi wiki hii inaisha basi Israel ataondoka na pointi tatu muhimu.
unajichanganya mwenyewe, WANANCHI WA IRAN WANA CEREBRATE MASHAMBULIO YA ISRAEL KWA UTAWALA WAO, WE MMATUMBI UNASIKITIKA
View: https://www.tiktok.com/@lauren.levy1/video/7515807305179450654?is_from_webapp=1&sender_device=pc
Ni sababu moja tu inayofanya iran kutokupewa support ikiwemo kuuziwa silaha, ni kwasababu akisema anapiga anapiga kweli hatanii... So wanaona huyu jamaa anaweza ichakaza hiyo Israel... SimpleHii vita wasaidizi za Iran kama urusi or china kuingilia ni ngumu au kumuuzia silaha zao sababu watatoa nafasi na reason ya USA na allied wengine wa Israel kuingilia kati na kama ikitokea hivyo basi mashariki ya kati haitakuwa sehemu salama ya binadamu kuishi, na Trump kasema hawa waachiwe wapigane kwanza baada ya hapo ndo wataitwa mezani,
Kila mmoja na uchambuzi wake ila me naona Iran yuko hoi kushinda Israel na hadi wiki hii inaisha basi Israel ataondoka na pointi tatu muhimu.
Supreme leader amesepa, na wananchi wa Teheran wanashangilia mapigo ya Israel, halafu wewe mmatumbi eti uko upande wa Ayatollah na genge lake,
View: https://www.tiktok.com/@lauren.levy1/video/7515807305179450654?is_from_webapp=1&sender_device=pc
Iran silaha haweki juu kijana.Uhalisia unaongea maana hawana ndege za kutembea kwenye anga ya Israel