Chinchiler
JF-Expert Member
- Jul 29, 2022
- 2,870
- 3,717
Hawawezi hao kazi Yao kuharibu majengo intelligence Yao ni duni sana Bado inasoma "E" wakati wengine ni 5Gkwa nini na wao iran wasilipize kwa kuvizia kuua makamanda wa israel kama inawezekana?
Hawawezi hao kazi Yao kuharibu majengo intelligence Yao ni duni sana Bado inasoma "E" wakati wengine ni 5Gkwa nini na wao iran wasilipize kwa kuvizia kuua makamanda wa israel kama inawezekana?
Wanawake wote ni Wa mtume wao hawana chaodini yao imetoa upendeleo kwa wanaume, wanawake haijulikani watapewa nini huko
Psychopath mwingine huyu.Kapigana na wajinga wajinga sio ISRAEL watu wenye MUNGU ALIYE HAI hivyo Wacha uone mambo Iran hawezi kumaliza hata mwezi mmoja.. Israel kashapigana na mataifa mengi
SAFI SANA TRUMP ACHA KIZAZI CHA KIGAIDI KIONESHWE YESU NI JIBU HASWAJe, hizo ndizo tabia halisi za Wazungu mabepari wa kiwango cha juu au Trump ana matatizo yake?
Au USA kwa sasa inampiga Iran kupitia Israel ndio maana Trump anashauri waendelee kupigana labda ana uhakika Israel anashinda vita?
Habari kamili;
Rais wa Marekani Donald Trump amezitaka Iran na Israel, ambazo zinashambuliana kufikia makubaliano ya kusitisha mapigano, lakini amependekeza kuwa huenda nchi hizo mbili zinahitaji kupigana kwanza kabla ya kuafikiana.
Akizungumza na waandishi wa habari kabla ya kuelekea Canada katika mkutano wa nchi 7 tajiri kiviwanda za G7, Trump alisema kwamba anafikiri umefika muda kwa nchi hizo mbili kufikia makubaliano, lakini wakati mwingine zinapaswa kupigana kwanza na kuongeza kuwa wataona kitakachofuata.
Trump alikataa kujibu swali iwapo aliitaka Israel kusitisha mashambulizi ya anga dhidi ya Iran. Hapo awali, afisa mmoja mwandamizi wa Marekani aliliambia shirika la habari la AFP kwamba Trump alipinga mpango wa Israel wa kumuua kiongozi mkuu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei.
Mashambulizi kati ya nchi hizo mbili yamezusha hofu ya mzozo mkubwa ambao unaweza kulikumba eneo zima la Mashariki ya Kati.
Chanzo; DW Swahili
Tatizo ubishi mwingi juzi Hezbollah na Israel wamezipiga mpaka Hezbollah ameweka silaha chini na pia MAREKAN iliipendea Israel moyo wake mgumu wa mapambano bila kuchoka kuanzia January to December wao yeyote anayeingilia wao wapo tiyari kwani ISRAEL haijawahi kuzunguka kwa vita na mataifa 6 lakini aliyatandika ndani ya siku 7 kabla ya sabato na wakatulia na tangia siku hiyo Us iliipenda sana ISRAELPsychopath mwingine huyu.
Unaleta udini tena Wacha nkuignore nijadiliane na watu wenye uelewa.
Ila kabla sijakuignore nakuacha na elimu ndogo.
Iran ilipigana na Iraq ambayo ilikua inasaidiwa na USA,USSR,UK na France.
Ilisimama kwa miaka nane na ikashinda.
Israel inayosaidiwa na USA mwaka 2006 alipigwa na Hizbollah kikundi Cha Lebanon.
Leo hii uipambanishe na Iran?
Aya toka na upsychopath wako kwaheri.
Kwahiyo ww nikuulize ww kwako ukristo sio tatizo Tena ninyi kutwa kuusema ukristo na kuwaona wenzenu sio kituWakiristo wa Tanzania huwa wana matatizo sana yan wao kila kitu kwa uislamu ni chukizo kwao hapo tayar washaona hiyo Israel na Iran ni vita ya kidini .
Hao wanaangalia Iran kajeruhiwa wapi ili apate kuandika
Hawa wenzetu akili zao sijui wanaweka tako gani
Iran ina namba kubwa ya hayao makombora n.k, issue imeonekana kuwa quantity si kigezo, ila quality na inteligensia ni muhimu zaidi, ka-ISRAEL ni nchi ka kadogo (1.3% ya Land mass ya IRAN) lakini kapo superior ki-teknolojia intelijensia zaidi, ndyo inayowapa ushindi mpaka sasaNdege dunia ya sasa ni utopolo tu, nani wa kuhangaika na mandege..?
Inachofanya ndege na missiles zinafanya na kwa ufanisi mkubwa..
missiles zinakimbia kuliko ndege, missiles zinapunguza hatari ya maisha ya askari/rubani, missiles ina damage kubwa , missiles ina gharama ndogo...
Hizo ndege ambazo ni interceptors inaweza ku intercept hypersonic?
Kila inachofanya ndege missile inafanya mara mbili yake, Iran imewekeza kwenye drones na Missiles, labda nikupe siri moja, Iran imewekeza kwenye makombora zaidi na wamekuwa wataalamu na wanatisha ile mbaya... Israel hawana missiles kama za Iran ndio maana kutwa kuzunguka na mapipa mwisho marubani wanakamatwa...
Kingine ndege ni biashara za watu, US military industrial complex companies kama boeing, lockheed martin, northrop, general dynamics, raytheon technologies n.k... hao ni wafanya biasharawakubwa ulimwenguni wa biashara za silaha..
Wanazipamba bidhaa zao ambazo ni hizo F-16, F-35 n.k ili wapate wateja... Iran inatengeneza missiles sio kupata wateja bali kujilinda..
F-15,F-16,F22, F-35 n.k zina gharama katika utunzaji na maintenance, usisahau vipuri, zikisafiri umbaliambao makombora ya Iran yanakwenda inabidi ndege zao zifanyiwe refueling angani.. kombora la Iran hakuna cha maintenance cost, hakuna sijui vipuri , hakuna cha refuel, likiwashwa Tehran ni kama ambulance hadi Tel Aiv...
Kumbuka licha ya hizi kampuni za kuuza silaha kuuza ndege, wanauza na vipuri vyake pia, kumbuka ndege ni mashine kama gari.. hivyo wanaingiza faida sana..
Kwanini Iran haihitaji ndege?
1-gharama nafuu ya uendeshaji.
2-gharama nafuu ya utengenezaji
3-range ni kubwa .
4-ni ngumu kudakwa na air defenses.
5-usalama wa muendeshaji.
Sasa Iran inahitaji ndege ili iweje?
Makampuni ya kutengeneza ndege wanakomaa kuonyesha umuhimu wa ndege vita ili kusudi biashara yao iendelee lakini amini kwamba drone na missiles ndio mpango mzima...
hebu elezea ndege itafanya kitu gani missiles haiwezi?
IDF ni wanyama..
Hii ni sehemu IDF inawakamata wale ambao wanashangilia Israel ikipigwa na Iran..
Ni shetani hawa..
View: https://x.com/i/status/1934564630707487160
Usrael kanza kuchanganyikiwa anapiga Hospital haha yake yake ya Gaza. NgojeaczIran amshughulikie sasa afu wakalie UN wamepiguwa hospital
View: https://youtu.be/IY5zwSRuHlM?si=GG2CF4MK635mIlUD
Tatizo lako umekula Maharage ya jana!!!!Iran imeanza mashambulizi makubwa ya makombora dhidi ya Israel, ambayo yamelenga miji mikuu ikiwemo Haifa na Tel Aviv. Viwanda vya mafuta na kemikali, kama Bazan Group, vimeharibiwa vibaya huku moto mkubwa ukiripotiwa.
Wimbi la pili la makombora limeanza kutua, na majengo kadhaa mjini Tel Aviv yamepigwa, watu 15 wakijeruhiwa. Taarifa za vifo pia zimeanza kuripotiwa kutoka maeneo mbalimbali ya Israel.
Pakistan imetangaza kuwa itaishambulia Israel kwa nyuklia endapo Iran itashambuliwa kwa silaha hizo, na iko tayari kuingia vitani upande wa Iran iwapo mataifa ya Magharibi yataingilia moja kwa moja.
Mkuu wa Shirika la Ujasusi la Israel (Shin Bet) ameripotiwa kujiuzulu kufuatia hali hiyo ya taharuki.
UPDATE:Mpaka muda huu miji yote ya Israel imeshambuliwa na Iran na taarifa za vifo huko Israel zimeanza kutoka.
Hali ni mbaya kwa upande wa Israel it seems wamezidiwa
Yeah!Kapiga hospitali ya Iran!??
Lakini wakristo wanasema hilo ni taifa teule lao hahahaIsrael haimtambui Yesu wa Ukristo...
KapigaKapiga hospitali ya Iran!??
Haaaa kapiga saa ngapi?Kapiga
Wewe mwenyewe umepuyanga kwenye hiyo vita Iran alisaidiwa na wengi wakiwemo Israel wenyewe japo Kwa siriPsychopath mwingine huyu.
Unaleta udini tena Wacha nkuignore nijadiliane na watu wenye uelewa.
Ila kabla sijakuignore nakuacha na elimu ndogo.
Iran ilipigana na Iraq ambayo ilikua inasaidiwa na USA,USSR,UK na France.
Ilisimama kwa miaka nane na ikashinda.
Israel inayosaidiwa na USA mwaka 2006 alipigwa na Hizbollah kikundi Cha Lebanon.
Leo hii uipambanishe na Iran?
Aya toka na upsychopath wako kwaheri.