SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Israel haimtambui Yesu wa Ukristo...
Wewe mwehu kwani hapa tunatangaza dini??? Hata kama hawamtambui mimi inanihusu nini??? Na hiyo haiwezi kuondoa ukweli kuwa Iran anatandikwa sawa sawa na leo hii walikuwa wanaaga mizoga ya makamanda wao waliouwawa kizembe huko Tehran
 

Attachments

  • IRGC General Staff - Packed..mp4
    658 KB
Ndugu zangu ULAYA wamenusa uwezo wa MAKOMBORA YA Iran wamegundua Wairan wapo Mbali sana kitechnology !!!

ndio mana wote wameacha Kimbelembele chao Waswahili usema Sumu aiyonjwi kila Mmoja abebe mzigo wake..,
Hakuna kitu pale tusidanganyane...tunajipa moyo Tu muda huu ndege za Israel are swarming over Tehran...Huwezi ukarusha makombora 150+ halafu hakuna target ya maana hata moja. Hapo kuna uhatari gani? ...sema hivi nchi za ulaya zimeona myahudi anamudu vizuri ndo maana hata Trump amesema anaamini wazichape kwanza..
 
ka-ISRAEL ni nchi ka kadogo (1.3% ya Land mass ya IRAN) lakini kapo superior ki-teknolojia intelijensia zaidi, ndyo inayowapa ushindi mpaka sasa
Naweza nikaongea sana ukawa hunielewi..
Unaona hio picha hapo chini, hilo roboti ndio Israel, huyo aliyemo ndani ni USA.. akishirikiana na EU.
JS116735874_Getty-Images-AsiaPac_South-Korean-Robot-Company-Builds-A-Manned-Walking-Robot-xlarge_trans_NvBQzQNjv4Bqn7M-AJoLH9f4cKtx8p6ngQZbVPDH1ttWiV-Q2luRFhU.jpg

Bila huyo controller hilo roboti ni kama skrepa tu..


Hopefully umeelewa vyema, ama kama uliona movie ya JLO inaitwa atlas..
Sasa yule aliyepo ndani ndiye US mwenyewe, huku nje we unaona roboti..
ATLAS1.jpg
 
Wao walitoe tu maana hata Nuclear site zao zimebomolewa. Kwanza hawatakiwi kuwa huko maana hawana big ezo tena!!
Hawajaweza kuzivunja sa wanamuomba USA aingie kwa kudai eti Iran kapiga embassy ya USA.

Walicho fanya Israel ni kuvunja vibanda banda vya station hizo sio kwenye moyo wa hizo Nuclear hahaha Israel hana uwezo huo labda USA tena Labda sio 💯 ataweza.
 
Ndugu zangu ULAYA wamenusa uwezo wa MAKOMBORA YA Iran wamegundua Wairan wapo Mbali sana kitechnology !!!

ndio mana wote wameacha Kimbelembele chao Waswahili usema Sumu aiyonjwi kila Mmoja abebe mzigo wake..,
sasa una makombora ambayo kwako hayakusaidii ya kazi gani?
 
Psychopath mwingine huyu.
Unaleta udini tena Wacha nkuignore nijadiliane na watu wenye uelewa.
Ila kabla sijakuignore nakuacha na elimu ndogo.

Iran ilipigana na Iraq ambayo ilikua inasaidiwa na USA,USSR,UK na France.
Ilisimama kwa miaka nane na ikashinda.
Israel inayosaidiwa na USA mwaka 2006 alipigwa na Hizbollah kikundi Cha Lebanon.
Leo hii uipambanishe na Iran?

Aya toka na upsychopath wako kwaheri.
Anga ya Teheran imesha Tekwa na Yahudi😇😭😭
👇👇
 
Hakuna kitu pale tusidanganyane...tunajipa moyo Tu muda huu ndege za Israel are swarming over Tehran...Huwezi ukarusha makombora 150+ halafu hakuna target ya maana hata moja. Hapo kuna uhatari gani? ...sema hivi nchi za ulaya zimeona myahudi anamudu vizuri ndo maana hata Trump amesema anaamini wazichape kwanza..
Wanapiga stand-off strike, kwa kukaa mbali, hata kupita wanapita kama kiuo cha polisi, maeneo ya mipakani huko..
Ni kama tu misiles za Iran zinavyotamba kwenye anga la Israel..
 
Katika hii vita anachotegemea Iran ni uwezo wake wa makombora tuu na si kingine, ndani ya nchi yake ameshindwa kumdhibiti adui ambae yuko ndani ya nchi, hilo ni kosa kubwa sababu israel hadi leo inasema ishaharibu asilimia 30 uwezo wa iran kurusha makombora, kama ni kweli na iran atashindwa kudhibiti nguvu ya anga ya israel basi apapoteza hii vita
 
UKiwaangalia watu wenye imani ya hizi dini za uislamu na ukristo huwezi kutamani kuwa na imani hizo pia.

Wenyewe kila jambo wanajadili kidini sio kiuhalisia.

Huwa wanajiona wao ndio wenye dini kweli kweli kuliko kwa wale waliozianzisha.

Mimi kwa upande wangu niko tofauti na wale wenzangu wasioamini hizi dini mbili na MUNGU.

Mimi naamini MUNGU yupo ila hizi dini kuna wajanja walizitengeneza namna zilivyo ili waweze kuzitumia.

Waislamu na wakristo kaeni tu kwakuelewana maana wote imani zetu zina mapungufu mengi sana.
 
Back
Top Bottom