Best_Carmine
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 897
- 1,439
Nipewe link 🖇️ jamani😀😀😀 Ukiwakuta wanajitamba unaweza sema hawaogopi kufa...
Sema Israel ipunguze sasa

Hahahaha hii habari mnaileta tangu ijumaa kujipoza machungu bila evidence yoyote,na leo alikuwa na Netanyahu wakati ametembelea Airbase.Kalambishwa mchanga major general kikosi cha anga Israel..
View attachment 3371704
Hao hao wanaopigana .naona vitabu vyako vinavyohubiri Amani vimeshindwa kuwapa Amani.Kina nani mashetani wenyewe?
Tunasubiri muanzishe hash tag saves Iranians😂😂😂😂😂😂 Israel kwa mikwara!
Wayahudi wakiwakataza wageni kutoka nchi zingine wasiingie kwenye underground bunker..
Hao ni Asians wanakatazwa, sijui itakuwaje angekuwa Echolima1 ...
Jamaa wana roho mbaya sana.. wanaona wenzao wafe..
View: https://x.com/i/status/1934612250658218086
Navy gani mtaje jinaWatasema tu soon watasema.
Bado hawajasema.
Aaagh, me nikajua umepost picha ya marehemu ili tumjue vizuri.Hajafa. Huyu ni waziri wa nishati anawahakikishia Iran KUWA KWA Kila jengo wanalolibomoa Israel, Israel itakuwa inabomo a 100 ya Iran .
Usishangilie uhuni unofanywa na Israel.🤣🤣🤣🤣 mmeona kituo cha television kilivyopigwa live hadi kakimbia 🤣🤣🤣
Iran inapondeka kila kona😛Waache waendelee kujitekenya.
Iran anahesabu makosa tu.
Waache waendelee kujitekenya.
Iran anahesabu makosa tu.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Iran inavyopiga makazi ya RAIA kule Tel Aviv ni sahihi?Usishangilie uhuni unofanywa na Israel.
Kushambulia hospitali, kituo cha Runinga na sehemu zingine ambazo hakuna mitambo ya Nyuklia ni uhuni.
Na hata hivyo balozi wa zamani wa UK nchini Iran katika assessment yake amesema hakuna ushahidi kwamba Iran ilikuwa karibu kutengeneza bomu la nyuklia.
'No credible evidence' Iran is close to nuclear weaponisation
The UK's former ambassador to Iran says Israel's military action in recent days constitutes an act of illegal aggression.
Sir Richard Dalton tells Leah Boleto that Iran did not present an imminent nuclear threat to Israel, and there is "no credible evidence" that it was planning an imminent attack either.
Benjamin Netanyahu justified last Friday's strikes on Iran's nuclear facilities by claiming Tehran has recently taken steps to weaponize enriched uranium and that Israel "faced the threat of annihilation".
Asked if he believes Iran is really on the brink of nuclear weaponisation, Sir Richard says: "No, and there is no evidence to that effect in the public domain."
He says there has been no change in the basic assessment of the international community that Iran has not taken steps to develop nuclear weapons.
"So we are entitled to disbelieve Netanyahu's claims that there was some recent change in Iranian policy and behaviour. Personally, I don't think that evidence is available."
Kinofanyika ni aggression isokuwa na sababu yoyote zaidi ya uonevu na kujimwambafai huku Israel ikivunja sheria za kimataifa kinyume khasa mkataba wa UN kuhusu nchi kuheshimu mipaka.
Mnatafuta ushahidi wakati mwenyewe alisema hakuna wa kumzuia leo tena anatafuta ushahidi wakati ushahidi ni yeye mwenyewe alisema anaendelea kurutubisha uranium.Usishangilie uhuni unofanywa na Israel.
Kushambulia hospitali, kituo cha Runinga na sehemu zingine ambazo hakuna mitambo ya Nyuklia ni uhuni.
Na hata hivyo balozi wa zamani wa UK nchini Iran katika assessment yake amesema hakuna ushahidi kwamba Iran ilikuwa karibu kutengeneza bomu la nyuklia.
'No credible evidence' Iran is close to nuclear weaponisation
The UK's former ambassador to Iran says Israel's military action in recent days constitutes an act of illegal aggression.
Sir Richard Dalton tells Leah Boleto that Iran did not present an imminent nuclear threat to Israel, and there is "no credible evidence" that it was planning an imminent attack either.
Benjamin Netanyahu justified last Friday's strikes on Iran's nuclear facilities by claiming Tehran has recently taken steps to weaponize enriched uranium and that Israel "faced the threat of annihilation".
Asked if he believes Iran is really on the brink of nuclear weaponisation, Sir Richard says: "No, and there is no evidence to that effect in the public domain."
He says there has been no change in the basic assessment of the international community that Iran has not taken steps to develop nuclear weapons.
"So we are entitled to disbelieve Netanyahu's claims that there was some recent change in Iranian policy and behaviour. Personally, I don't think that evidence is available."
Kinofanyika ni aggression isokuwa na sababu yoyote zaidi ya uonevu na kujimwambafai huku Israel ikivunja sheria za kimataifa kinyume khasa mkataba wa UN kuhusu nchi kuheshimu mipaka.
wairan wa gamboshi wanalia kwa uchungu mkubwa kuwa mbona sasa Israel inapiga kila sehemu ya Iran hawaamini wanachokiona na kukisikiaTunasubiri muanzishe hash tag saves Iranians
Kuua raia wa Israel ni ushujaa sio? Hicho kimama kinaongea kibabe lakini kumbe kinaogopa kifoUsishangilie uhuni unofanywa na Israel.
Kushambulia hospitali, kituo cha Runinga na sehemu zingine ambazo hakuna mitambo ya Nyuklia ni uhuni.
Na hata hivyo balozi wa zamani wa UK nchini Iran katika assessment yake amesema hakuna ushahidi kwamba Iran ilikuwa karibu kutengeneza bomu la nyuklia.
'No credible evidence' Iran is close to nuclear weaponisation
The UK's former ambassador to Iran says Israel's military action in recent days constitutes an act of illegal aggression.
Sir Richard Dalton tells Leah Boleto that Iran did not present an imminent nuclear threat to Israel, and there is "no credible evidence" that it was planning an imminent attack either.
Benjamin Netanyahu justified last Friday's strikes on Iran's nuclear facilities by claiming Tehran has recently taken steps to weaponize enriched uranium and that Israel "faced the threat of annihilation".
Asked if he believes Iran is really on the brink of nuclear weaponisation, Sir Richard says: "No, and there is no evidence to that effect in the public domain."
He says there has been no change in the basic assessment of the international community that Iran has not taken steps to develop nuclear weapons.
"So we are entitled to disbelieve Netanyahu's claims that there was some recent change in Iranian policy and behaviour. Personally, I don't think that evidence is available."
Kinofanyika ni aggression isokuwa na sababu yoyote zaidi ya uonevu na kujimwambafai huku Israel ikivunja sheria za kimataifa kinyume khasa mkataba wa UN kuhusu nchi kuheshimu mipaka.
Ni kweli ni sahihi!!Iran inavyopiga makazi ya RAIA kule Tel Aviv ni sahihi?
Kalambishwa mchanga major general kikosi cha anga Israel..
View attachment 3371704