SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Alitaka mpaka aone Iran anarusha mabomu ya nyuklia ndio ajue wapo karibu kutengeneza?

Alitaka mpaka aanze kuifuta Israel ndio ajue kuwa anaanzisha vita kuifuta Israel?

Tangazo tu la Iran kuifuta Israel ni ushahidi tosha na ni tangazo la vita. Iran analea na kufadhili makundi ya kuifuta Israel, unategemea

Sikutegemea nchi kama UK inaweza kuwa na balozi kilaza namna hii
Ok
 
Katika vita kati ya Israel na Iran, udhaifu wa mfumo wa Iron Dome unaweza kuonekana zaidi kwa sababu ya aina ya vitisho kutoka kwa Iran, ambavyo ni tofauti na vile vinavyotoka kwa vikundi vya karibu kama Hamas au Hezbollah.

UDHAIFU.
🔻 1. Uwezo Mdogo kwa Makombora ya Masafa Marefu

Iron Dome imeundwa kuzuia makombora ya masafa mafupi na ya kati (km 4–70).
✅ Inafaa kwa kuzuia makombora kutoka Gaza au Lebanon.
❌ Iran hutumia makombora ya masafa marefu (kama Shahab-3, Emad, Fattah), ambayo Iron Dome haiwezi kuyadhibiti.

➡️ Kwa makombora haya ya Iran, Israel hutegemea mifumo mingine kama Arrow 2/3 au David’s Sling.

🔻 2. Shinikizo Kutoka kwa Mashambulizi ya Pamoja (Saturation Attack)

Iran inaweza kurusha mamia ya makombora kwa wakati mmoja kupitia:

Vikosi vyake vya moja kwa moja.

Washirika kama Hezbollah, Hashd al-Shaabi (Iraq), na Houthi (Yemen).

➡️ Iron Dome ina idadi ndogo ya makombora ya kujibu (interceptors) kwa wakati fulani. Ikiwa kutakuwa na mashambulizi mengi kwa wakati mmoja, baadhi ya makombora yatapita na kufanya madhara.

🔻 3. Gharama Kubwa dhidi ya Silaha za Bei Ndogo

Iron Dome hutumia kombora la kulipua (interceptor) linalogharimu hadi $100,000 kwa kila shambulio.
Lakini Iran na washirika wake hutumia makombora au droni ambazo gharama yake inaweza kuwa chini ya $10,000.

➡️ Vita vya muda mrefu vinaweza kulemaza uchumi wa Israel kwa sababu ya gharama kubwa ya kujibu mashambulizi haya.

🔻 4. Udhaifu kwa Droni Zenye Kasi na Akili Bandia

Iran imeongeza uwezo wa droni za kujitoa muhanga (kamikaze drones) kama Shahed-136 ambazo zina:

Kasi ya juu

Njia zisizotabirika

Uwezo wa kuruka chini au kubadilisha njia hewani

➡️ Iron Dome si maalum kwa kuzuia droni nyingi kwa wakati mmoja. Droni zinaweza kupenya na kulenga miundombinu muhimu.

🔻 5. Utegemezi wa Miundombinu na Mtandao
Iron Dome inategemea sana:
Radar, Ufuatiliaji wa satelaiti. mtandao wa internet.

➡️ Iran inaweza kufanya shambulio la kimtandao (cyber attack) au kutumia makombora kulenga rada, vituo vya nguvu au mifumo ya mawasiliano, na kuiathiri Iron Dome.

6. Urefu na Wigo wa Vita
Vita dhidi ya Iran vitakuwa vya masafa marefu na muda mrefu, tofauti na mashambulizi ya haraka kutoka kwa makundi kama Hamas.
➡️ Iron Dome si rahisi kusambazwa kwa haraka na inaweza kuchoka kwa muda ikiwa itaendelea kulinda maeneo kwa wiki au miezi.

🔚 Hitimisho
Katika vita na Iran, Iron Dome haiwezi kuwa ngao pekee ya ulinzi wa anga ya Israel.
Ni muhimu, lakini ina udhaifu mkubwa dhidi ya makombora ya masafa marefu, mashambulizi ya pamoja, droni za kisasa, na vita vya kiteknolojia.
Israel italazimika kutumia mfumo wa ulinzi wa tabaka nyingi (multi-layered defense), kama vile:

Arrow 3 kwa makombora ya mbali

David's Sling kwa makombora ya kati

Iron Dome kwa makombora ya karibu na roketi.
 
Mkuu Waajemi kichwa sana!! Walitafuta mbinu za kuwachota akili Wayahudi wakatengeneza rada ambazo zilikuwa ni Matoyi tu yaani DECOYS, wakahakikisha zinatoa mawimbi ya radio kama RADA alisi kabisa, kumbe hiyo ilikuwa ni gheresha tu, wakajengea na minara ya kushikiria madishi ya kusambaza mawimbi kama ya RADA - sasa ndege za wayahudi zilipokuja no kudetect hayo mawimbi no kuona madishes na minara wakafikiri ni air defense systems za jeshi la anga LA Iran wakadondosha mabomu na pia air to ground missiles,wakajipongeza kwamba kwamba hivi sasa Iran hawana Air defense system zozote, kesho yake wakaingia kichwa kichwa no F-35 wanayo sema no stealth ikatunguliwa, hawakuamini kesho kutwa yake wakaja no F-35 zikatunguliwa mbili, hivyo jeshi la anga la Iran lilifanikiwa kutungua jumla ya ndege 3 aina za F-35, mmoja.wa rubani alikuwa mwanamke.
Sio kweli, kwa ujasusi alioufanya Israel zingewekwa decoys angejua mapema, na Iran asingeruhusu yanayoendelea katika anga lake, we unahisi kule zilienda ndege tatu Iran ni kubwa mno taarifa za mwisho zilisema kule takriban ndege 200 siku ya kwanza ndizo zilihusika na zikarudi salama
 
Alitaka mpaka aone Iran anarusha mabomu ya nyuklia ndio ajue wapo karibu kutengeneza?

Alitaka mpaka aanze kuifuta Israel ndio ajue kuwa anaanzisha vita kuifuta Israel?

Tangazo tu la Iran kuifuta Israel ni ushahidi tosha na ni tangazo la vita. Iran analea na kufadhili makundi ya kuifuta Israel, unategemea

Sikutegemea nchi kama UK inaweza kuwa na balozi kilaza namna hii
Kwamba Sir Richard Dalton ni kilaza na wewe una akili zaidi yake pamoja na udumavu wako wa kukulia ugali wa mahindi ambayo ni chakula cha mifugo kwa wenzako. Kweli nchi imezalisha mbumbumbu wengi sana tangu Mkoloni aondoke.
 
Alieanza mashambulizi ni Israel, hivyo Iran inajibu kwa self defence.

Ndo maana Marekani na West hawawezi kuingia kwenye hiyo vita sanasana wataendelea kutoa msaada wa vifaa.

Lakini mkutano wa G7 umetoa azimio la kusitisha vita.

Ukweli wabakia kuwa hapo Aggressor ni Israel.

Kupiga hadi kituo cha TV ni desperation ya Israel kwamba kwamba Marekani aingine lakini Trump amekataa.

Ipi ni justification ya kupiga kituo cha televisheni?
Uzuri anga la Israel lipo wazi kwa Tehran, kila wanachokifanya watajibiwa..
 
Mkuu Waajemi kichwa sana!! Walitafuta mbinu za kuwachota akili Wayahudi wakatengeneza rada ambazo zilikuwa ni Matoyi tu yaani DECOYS, wakahakikisha zinatoa mawimbi ya radio kama RADA alisi kabisa, kumbe hiyo ilikuwa ni gheresha tu, wakajengea na minara ya kushikiria madishi ya kusambaza mawimbi kama ya RADA - sasa ndege za wayahudi zilipokuja no kudetect hayo mawimbi no kuona madishes na minara wakafikiri ni air defense systems za jeshi la anga LA Iran wakadondosha mabomu na pia air to ground missiles,wakajipongeza kwamba kwamba hivi sasa Iran hawana Air defense system zozote, kesho yake wakaingia kichwa kichwa no F-35 wanayo sema no stealth ikatunguliwa, hawakuamini kesho kutwa yake wakaja no F-35 zikatunguliwa mbili, hivyo jeshi la anga la Iran lilifanikiwa kutungua jumla ya ndege 3 aina za F-35, mmoja.wa rubani alikuwa mwanamke.
Kazi ya hizo rada zinazoruhusu viongozi wa Iran kuwawa wote ni ipi sasa?
 
Check ulivyo muongo we jamaa hakuna media inayoripoti mambo yanayoendelea Gaza?
No media BBC, Sky, CNN, Al Jazeera zote zimezuiwa kuingia GAza kuripoti taarifa ziloshiba.

Hata wale reporters waliopo pale ni media Outlets ambazo zina independent reporters na freelancers ambao wengi taarifa zao zipo censored.
 
Watu wa namna hii huwezi kupigana nao! Huwezi kupigana na watu ambao wapo tayari kufa hali ya kuwa nyinyi mpo tayari kuishi.

Hii dunia bila kuwa na itikadi za dini, sijui ukristo, uislam, uhindu, upagani tukawa na Mungu pekee ingekuwa mahali bora na salama kabisa.

Shida inakuja watu wamejazwa madude ya hovyo kichwani. Kama wewe huogopi kifo, kwanini uwatafitie kifo wanaotaka kuishi?
 
Mkuu Waajemi kichwa sana!! Walitafuta mbinu za kuwachota akili Wayahudi wakatengeneza rada ambazo zilikuwa ni Matoyi tu yaani DECOYS, wakahakikisha zinatoa mawimbi ya radio kama RADA alisi kabisa, kumbe hiyo ilikuwa ni gheresha tu, wakajengea na minara ya kushikiria madishi ya kusambaza mawimbi kama ya RADA - sasa ndege za wayahudi zilipokuja no kudetect hayo mawimbi no kuona madishes na minara wakafikiri ni air defense systems za jeshi la anga LA Iran wakadondosha mabomu na pia air to ground missiles,wakajipongeza kwamba kwamba hivi sasa Iran hawana Air defense system zozote, kesho yake wakaingia kichwa kichwa no F-35 wanayo sema no stealth ikatunguliwa, hawakuamini kesho kutwa yake wakaja no F-35 zikatunguliwa mbili, hivyo jeshi la anga la Iran lilifanikiwa kutungua jumla ya ndege 3 aina za F-35, mmoja.wa rubani alikuwa mwanamke.
F-35 zimetunguliwa?? Hii habari umeitoa wapi? Naomba chanzo chake
 
Back
Top Bottom