SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Sio kweli, kwa ujasusi alioufanya Israel zingewekwa decoys angejua mapema, na Iran asingeruhusu yanayoendelea katika anga lake, we unahisi kule zilienda ndege tatu Iran ni kubwa mno taarifa za mwisho zilisema kule takriban ndege 200 siku ya kwanza ndizo zilihusika na zikarudi salama
Look, Wayaudi wanasema zilikwenda ndege sijui 200,kesho yake wanasema zilikwenda 50 tu, sasa tuamini nini tuache nini? Kitu kingeni, naona hukunielewa sikusema zilikwenda ndege tatu, mimi hapa nilikuwa namaanisha kwamba kwa ndege zilizotumwa huko Iran zilikuwemo vile vile Aina yo stealth fighters/bombers aina ya F-35.
 
washaona joto
 

Attachments

  • IMG_0318.jpeg
    IMG_0318.jpeg
    396.7 KB · Views: 21
Screenshot_2025-06-16-19-25-32-86.jpg

Hapa muda si mrefu jengo la tv na redio ya taifa Irani vimelipuliwa, Ustadhat wa watu alikuwa live mara mlipuko akakimbia marathoni kujiokoa
 

Attachments

  • Screenshot_2025-06-16-19-31-14-67.jpg
    Screenshot_2025-06-16-19-31-14-67.jpg
    307.4 KB · Views: 17
Back
Top Bottom