permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 12,484
- 15,297
Wewe ndio usepe uwaacheEbwana ee wale jamaa wasepe Tu Mimi siwapendi Ile mbaya.
Yesu pengine aone haja ya kurudi kupigania Taifa lake teule.😎😎😎😎😎
Wewe ndio usepe uwaacheEbwana ee wale jamaa wasepe Tu Mimi siwapendi Ile mbaya.
Yesu pengine aone haja ya kurudi kupigania Taifa lake teule.😎😎😎😎😎
Uzuri Israel hailalamiki kama hawa pro Iran...inaasses na kutoa taarifa lakini upande wa pili sasa milio mingi sana...Israel kupiga hospital ni target ya maana, kupiga mfumo wa maji taka ni target ya maana, kupiga kituo cha Luninga ni target ya maana. Iran ikishambulia Haifa refinery imeshambulia haijapata target, kupiga nevatim base haijapata target.
Wote hawa walikadiriana vibaya hawakutegemea mashambulizi ya kutoka upande wa pili. Hii vita kama haitoingiliwa na wakubwa basi bado ipo
Netanyahu mbona analilia sana msaada wa USA!
Kunani!?
View: https://x.com/ShaykhSulaiman/status/1934662222518571471
Uko dunia ya wapi wewe? Usilete habari za msikitini hapa. Dunia nzima inatangaza kinachoendelea huko wewe unaleta ujinga hapa.Wameambiwa kuwa zile sehemu wanazodanganywa kuwa ni salama zitageuka malailoni ya kuwachomea humo humo ndani.
Zile zilikuwa ni kinga kwa ajili ya rocket za Hamas, na Hezbullah tu lakini kwa sasa haziwezi kuwa salama, wala kuokoa maisha yao tena.
Sasa tangazo lishatolewa. Atakaekaidi, isije kupewa lawama Iran kuwa inaua raia kama Netapaka na genge lake wanavyosema. Let's wait to see the hell is going to happen tonight.
Hakika anatuzuga!Hii ni zuga waamerika wapo kazini wapo active zaidi ya wwaisrael wenyewe kwenye hii vita
Na ndiyo source yake kuu ya habari, inamuaminisha Iran anashinda vitaHiko chanzo cha habari unachokinukuu unakiamini?.... huyu ni mtu tu wala sio shirika la habari
Kwa kweli Iran kadhalilisha sana makobaaz mabusha wao kutwa waisifia hapa jukwaani kumbe Iran wenyewe weupe kiasi hiki yaani nchi inapondwa pondwa mpaka TV ya taifa nayo inapoondwa ahh fedhea gani hii sasa, Iran ikiaminika hakuna hata jiwe la myahudi lingetua pale, leo hii anga la Tehran limekuwa mali ya myahudi anafanya anachotaka ah russia tusaidie baba myahudi anatuua, mchina tusaidie baba myahudi mbona kajua kutuvua nguoSasa itakuweje??
Ukubwa wa nchi yangu Iran ndio uko wapi sasa??
Inakera, kwa hiyo Wazayuni watutawale sasa?
Bunker ni handakiSUPREME LEADER KHAMENEI YUKO WAPI?
Kwa sasa, taarifa zinazoaminika zinaonyesha kuwa Ayatollah Ali Khamenei, Kiongozi Mkuu wa Iran, yuko katika bunker (Ni handaki kubwa lenye ulinzi mkali) chini ya ardhi eneo la Lavizan, kaskazini-mashariki mwa Tehran – pamoja na familia yake – kutokana na vitisho vya mashambulizi ya hivi karibuni kutoka Israel. Bunker ni eneo maalum kwa viongozi wakuu wa irani kujifucha kipindi cha hali ya hatari
Yupo mbele ya pazia, usa kasema wasimuue Ayatollah ili asaini kukubali kuacha mipango ya nuclear before it's too late.Nyuma ya pazia mmarekani yupo
Sawa .Wao watabaki Mimi nitasepa.Wewe ndio usepe uwaache
Habari yenyewe imeandikwa na Terrorist Sympathizer Sulaymaniyah Ahmed huyu hakuna asiyemjua ni mpiga Propaganda za kijinga dhidi ya Israel wewe ndiyo unaileta hapa kama habari!!! Acha ujinga!!Hii ni zuga waamerika wapo kazini wapo active zaidi ya wwaisrael wenyewe kwenye hii vita
Sawa naona wewe upo kabisa uwanja wa VitaMmepiga missiles ambazo asilimia tisini na zaidi zimeishia njiani, hamna jipya tupo juu ya anga lenu na tuko live kwa TV yenu😊
Waisiharamu wana upumbavu mkubwa sana siku zote milele daima... toka nizaliwe sijawai kuona muislamu mwenye akili labda wale Waislam majina wasio kwenda misikitini.Lingine hili hapa, linapiga story na wanajeshi wa Israel.
Hii gene ya mwarabu na yetu sisi ni hasara!
View attachment 3371843
mimi binafsi sijategemea kama Iran angepigwa kirahisi hivi maana tuliaminishwa kwamba irani huwezi kurusha hata kijiko kikapita, ila sasa hivi anapigwa kila sehem dah aibu hii![]()
Uharibifu unaotokea Israel, hawakutegemea, toka mwaka 1973 , Israel hawajashuhudia kipigo kama hiki, hao vijana wengi jeshini na vyombo vya usalama katika ukuaji wao hawakuwahi kuona nchi yao ikipigwa kwa makombora mazito na yenye nguvu kiasi hiki...
Waliaminishwa kwamba Israel ndio mbabe, na vi hadithi vya uongo na kweli vya six days war.. operation Entebbe n.k
Sasa wameanza kuona vita halisi ina utamu kiasi gani hasa ikitokea kwenye ardhi yako.. mi niwaambie tu hawa Gen Z wa IDF, nyie sio jeshi bora ni kwa sababu watu waliwaheshimu tu na kupenda amani, sio wanawaogopa..
Israel ipo surprised, nani humu alitegemea Israel itapigwa kiasi hiki? nani humu alitegemea makombora yatakua yanatua Tel Aviv na kuiharibu mitaa?
Pro Israel wengi humu walikuwa wana msemo wao "Iran irushe hata kokoto tu waone moto wa Israel"..
Sasa hivi wapo humu tukilumbana nao wanasema "Iran imeua raia 20, makombora meeengi inaua raia 20 tu" 😂 😂 😂 ..
Jamani, Mwanzoni si tulikubaliana kwamba Iran ikirusha kokoto 🤣🤣 basi ndio mwisho wake..
Taratibu tu mtalipata somo, twendeni taratibu muda ni mwalimu mzuri.