SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

M
Uzuri Israel hailalamiki kama hawa pro Iran...inaasses na kutoa taarifa lakini upande wa pili sasa milio mingi sana...
Tuache kuchagua upande tuache neutral ground watu wanyukane halafu mwishoni wakishatiana akili tutajua nani mwamba!
Mpaka jioni hii Israel ni mshindi dhidi ya Iran maana anga lote la Iran analimiliki hakuna cha ndege vita za Iran wala mifumo ya ulinzi wa anga!!!
 
GUJsXrrXcAAyzdn

Hivi vyuma leo ndio vinaanza kazi rasmi...
Israel inatetema leo..
 
Acha kukomaza fuvu lako anga la Iran linadhibitiwa na majeshi ya anga ya Israel.
Najua kabisa wewe ulikuwa huku Ali kuwa israel inaweza kumpiga Iran sasa imetimia ndiyo maana una makasiriko mengi sana!!

Na jioni hii kituo cha matangazo ya Tv cha serikali ya Iran kimepigwa wakati mtangazaji alipokuwa akitangaza upuuzi wake baada kuona amepigwa ilibidi atimue mbio.

Nakuwekea video Najua unaumia sana lakini vumilia tu hata 100 others naye huwa anaumia sana kuona post zangu!!
Poleni sana anga la Iran bado sana kulicontrol kuna F35 imeisha angushwa huko na Pilot katiwa mikononi.
 
SUPREME LEADER KHAMENEI YUKO WAPI?

Kwa sasa, taarifa zinazoaminika zinaonyesha kuwa Ayatollah Ali Khamenei, Kiongozi Mkuu wa Iran, yuko katika bunker (Ni handaki kubwa lenye ulinzi mkali) chini ya ardhi eneo la Lavizan, kaskazini-mashariki mwa Tehran – pamoja na familia yake – kutokana na vitisho vya mashambulizi ya hivi karibuni kutoka Israel. Bunker ni eneo maalum kwa viongozi wakuu wa irani kujifucha kipindi cha hali ya hatari
Je, umewahi, kusikia habari za Natenyahu za hivi karibuni?

Wakati mwingine tujifunze kubakiza akiba za maneno. Juzi juzi hapa Natenyau alikuwa anamuomba Trump amsadie kuwadhibiti Wairan just in case -sasa kama anajiamini kivile ya nini tena kukimbilia kwa Trump kuomba msaada wa jeshi la Merikani litumie ndege kubwa a kubeba mabom makubwa kubwa, yaani bunker busters ya kulipua reinforced mahandaki ambayo yapo kina cha mita 70 chini ya aridhi, Trump kamkatalia - kwanza hakutaka kujiingiza kwenye vita na Iran, pili Amerika hawana mabombu us kupenya zaidi ya mita 50 chini ya ARIDHI.

Nawambieni majivuno no kieleele chaga Waziri Mkuu wa Israel bwana Natenyau atalingiza kwenye matatizo makubwa taifa LA Israel akumbuke kwamba Iran siyo Hezibolla,Hamasi au Palestina - Israel itakuja kuabika kweli kweli,labda waombe msaada wa kijeshi kutoka Merikani-my OPINION.
 
M

Mpaka jioni hii Israel ni mshindi dhidi ya Iran maana anga lote la Iran analimiliki hakuna cha ndege vita za Iran wala mifumo ya ulinzi wa anga!!!

Waziri wa mambo ya nchi za nje wa Iran alalama kwa uchungu mkubwa kuwa UN iingilie kati kuistopisha Israel maana inafanya mauaji ya kimbari kwa wairan.​

Iranian Foreign Ministry spokesman Esmaeil Baghaei has decried the Israeli attack on Iran’s state broadcaster IRIB earlier today.
In a post on social media, Baghaei called the attack a “wicked act of war crime”, accusing Israel of being “the biggest enemy of truth” and the “killer of journalists”.
He urged the UN Security Council to take immediate action and stop the “genocidal aggressor” from committing further atrocities.​

 
Umewahi kusikia habari za Natenyahu za hivi karibuni? Wakati mwingine tujifunze kubakiza hakiba za maneno. Juzi juzi hapa alikuwa anamuomba Trump amsadie kuwadhiti Wairan just in case -sasa kama anajiamini kivile ya nini tena kukimbilia Kia Trump kuomba msaada wa jeshi la Merikani itumie ndege kubwa a kubeba mabom makubwa kubwa yaani bunker busters ya kulipua mahandaki ambayo yana kina cha mita 70 chini ya aridhi, Trump kamkatalia - kwanza hakutaka kujiingiza kwenye vita Iran, pili Amerika hawana mabombu kupenyeza zaidi ya mita 50 chini ya ARIDHI-Nawambieni majivuno no kieleele change Waziri Mkuu Natenyau atalingiza kwenye matatizo makubwa taifa LA Israel, Iran siyo Hezibolla,Hamasi au Palestina - Israel itakuja kuabika kweli kweli,labda aombe msaada wa kijeshi kutoka Merikani.
Netanyau yupo mara nyingi tu anaonekana akitoa hotuba zake habari zake zipo tu mbona? Wairan wanalalama UN iingilie kati kuistopisha Israel maana inachofanya Iran sasa ni genocide.

Israel is ‘the biggest enemy of truth’, says Iran after IRIB attack​


Iranian Foreign Ministry spokesman Esmaeil Baghaei has decried the Israeli attack on Iran’s state broadcaster IRIB earlier today.
In a post on social media, Baghaei called the attack a “wicked act of war crime”, accusing Israel of being “the biggest enemy of truth” and the “killer of journalists”.
He urged the UN Security Council to take immediate action and stop the “genocidal aggressor” from committing further atrocities.
 
Kilichobakia Kwa Sasa ni kunisalimisha Kwa Majeshi ya Iran

View: https://www.instagram.com/p/DK90aqCqJ2k/?igsh=MWtrZmNlOTZkcXU0bQ==

Next time nao wafanye ambush ya Nguvu Kwa kutumia ndege, makombora na drones vinginevyo mwisho umefika.

Sawa tumekulelewa mkuu lkn tujibu ww umeelewa vipi kuusu kudhibiti Anga ndio kushinda Vita !!!!

mbona Israel au Saudia Arabia walidhibiti Anga la YEMEN lkn iyo aikufanya YEMEN ashindwe Vita na MAKOMBORA mpaka Kesho Yanaenda ISRAEL !!!

kudhibiti Anga juu akuna maana yoyote ndugu IRAN itaendelea kutoa Vichapo kila siku ikiwemo Usiku wa leo!!!!
 
Hii vita inajulikana wazi kuwa Israel alishafanya maandalizi kamili na ana plan ya kila kitu na misaada yote alishapewa na mabwana zake. Halafu ili kumhadaa Iran wakajidai wanaenda kwenye meza ya mazungumzo kumbe wanakamilisha mipango yao ya kumpiga.

Na walifanya makusudi kabisa Trump aende kwanza middle east akakusanye pesa zao wale washenzi kisha ndio Iran apigwe.

Bahati mbaya sana Iran ni kama amekuwa surprised na hii vita ili wammalize. Lakini just imagine pamoja na surprise yao ona jinsi wanavyo enyeshwa. Imagine kama na Iran angepewa nafasi ya kujiandaa vizuri kama alivyo jiandaa Israel hali ingekuwaje?
 
Naangalia Aljazeera muda huu, wako live. Miji ya Haifa na Tel aviv iko salama. Vikombora 10 vilivyorushwa jioni hii vimefia njiani.
Hakika Israel ni kibokooo.
Sasa ngoja walipe kisasi utaona balaa lao.
 
Back
Top Bottom