Best_Carmine
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 897
- 1,439
ISRAEL BOMBS IRANIAN STATE TV
Israel launches new attacks on Tehran as confrontation escalates and death toll rises.
Click it
Kwa sasa hana kiwanda cha kuyatengeneza hivyo anarusha kwa akili ili kuiumiza IsraelKwa leo iran ametulia au anapanga kushusha mengine tena?
Kituo ni Haifa na Tel Aviv, kama ilivyo adaZimetumwa tena
Kabla ya vita ulikataa kuwa Israel haina uwezo kuishambulia Iran leo hii imetimia umebadirisha gia angani na kuanza story zingine kabisa hii inaonyesha wazi wewe si mtu makini!! Ni bendera hufata upepo!!![]()
Uharibifu unaotokea Israel, hawakutegemea, toka mwaka 1973 , Israel hawajashuhudia kipigo kama hiki, hao vijana wengi jeshini na vyombo vya usalama katika ukuaji wao hawakuwahi kuona nchi yao ikipigwa kwa makombora mazito na yenye nguvu kiasi hiki...
Waliaminishwa kwamba Israel ndio mbabe, na vi hadithi vya uongo na kweli vya six days war.. operation Entebbe n.k
Sasa wameanza kuona vita halisi ina utamu kiasi gani hasa ikitokea kwenye ardhi yako.. mi niwaambie tu hawa Gen Z wa IDF, nyie sio jeshi bora ni kwa sababu watu waliwaheshimu tu na kupenda amani, sio wanawaogopa..
Israel ipo surprised, nani humu alitegemea Israel itapigwa kiasi hiki? nani humu alitegemea makombora yatakua yanatua Tel Aviv na kuiharibu mitaa?
Pro Israel wengi humu walikuwa wana msemo wao "Iran irushe hata kokoto tu waone moto wa Israel"..
Sasa hivi wapo humu tukilumbana nao wanasema "Iran imeua raia 20, makombora meeengi inaua raia 20 tu" 😂 😂 😂 ..
Jamani, Mwanzoni si tulikubaliana kwamba Iran ikirusha kokoto 🤣🤣 basi ndio mwisho wake..
Taratibu tu mtalipata somo, twendeni taratibu muda ni mwalimu mzuri.
Dawa ishawaingia hadi wamezidishiwa doziTehran has asked Qatar, Saudi Arabia and Oman to press US President Donald Trump to use his influence on Israel to agree to an immediate ceasefire, two Iranian and three regional sources told Reuters on Monday (Jun 16).
In return, Iran will reportedly offer flexibility in nuclear negotiations with the US-Aljazeera.com
Aende kwenye bunker moja kwa moja akajiunge na wenzake Tel Aiv..
Basi upo nyuma sana ya muda unatakiwa ujue hakuna mtu asiyepigika mfano mdogo hapo urusi kila siku anapigwa mpaka moscow na muyukrein ambae hana hata ndege ya maana wala silaha ya maana sembuse israel anayetumia kila aina ya silaha tena ni first class weapons,m
mimi binafsi sijategemea kama Iran angepigwa kirahisi hivi maana tuliaminishwa kwamba irani huwezi kurusha hata kijiko kikapita, ila sasa hivi anapigwa kila sehem dah aibu hii
Umeniwahi nilikua niipost hii😂😂Haya sasa mamluki wenu wa Mossad Iran wamemfunga kwenye Kombora anarushwa kutoka Iran had Israel jiandaeni kumpokea
View attachment 3371929
hahaha anaenda tua kwenye zile gas fields za HaifaHaya sasa mamluki wenu wa Mossad Iran wamemfunga kwenye Kombora anarushwa kutoka Iran had Israel jiandaeni kumpokea
View attachment 3371929
Ulivyomuuliza kama vile mleta mada kama yupo Tel aviv kumbe atakuwa kwa bi nyau hapo.Mpaka sasa yameleta athari gani kwa Israel?
Alijiandaa lini?Iran hakujiandaa kivita dhidi ya Israel? Embu kuwa serious basi.
Nimecheka sana mkuu.Izi F-35 ni kwa nchi kama uganda ila sio Iran, zitaisha zote
Kati ya Wewe na Netanyahu Nani tumuamini kwa wewe inavyo ona???Kuna vitu vingine uwa Netanyau anaongea mpaka unashangaa,yani ni uwongo wa kiwango cha rami. Walishindwa kufunga Anga la Syria wakawa wanarusha makombora kutokea mpakani, kipindi icho Syria alikuwa na S-200 missile ambazo ni old, leo hii wafunge Anga la Iran kwa vita ya izi siku Mbili🤣🤣🤣
Ah kaka hii kweli au ni AI?
Iran ni wehu sana wamfunga mamluki wa Israel kitanzi kwenye kombora leo anaenda kuvunja record ya kusafiri umbali mrefu ndani ya muda mfupiUmeniwahi nilikua niipost hii😂😂
Nimeona, but Iran allies wa Iran wanahitajika kufanya jambo kubwa zaidi ya hili analofanya China.
Usiku wa leo na kesho NATO watafanya kila namna kuhakikisha Iran anashindwa, just watch their movements utanielewa.
View: https://x.com/BRICSinfo/status/1934619582901489951
Mmekuwa kama Wahouthi wao kila siku tumepiga Ben Gulion wakati ni uongo mtupu na wewe sasa unaiga F-35 ulisema imeangushwa na leo tenausema F-35 huo ni uongo mtupu. Anga lote la Tehran liko chini ya udhibiti wa Israel!!Poleni sana anga la Iran bado sana kulicontrol kuna F35 imeisha angushwa huko na Pilot katiwa mikononi.
Hio itakuwa imetengenezwa, ukimfunga mtu hapo, hio rocket ikiamka hapo anabaki majivu..Ah kaka hii kweli au ni AI?