Keyboard_Warrior
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 6,381
- 11,296
😂😂😂😂Ah kaka hii kweli au ni AI?
AI Broh!
Ila ninavyowafahamu Waajemi, hawashindwi kufanya huu utundu!
😂😂😂😂Ah kaka hii kweli au ni AI?
Viwanda VIPO Chini mazeh sio juu.Kwa sasa hana kiwanda cha kuyatengeneza hivyo anarusha kwa akili ili kuiumiza Israel
Ni kweli wamejaribu na sasa wanajuta kwanini wameanzisha..Kabla ya vita ulikataa kuwa Israel haina uwezo kuishambulia Iran leo hii imetimia umebadirisha gia angani na kuanza story zingine kabisa hii inaonyesha wazi wewe si mtu makini!! Ni bendera hufata upepo!!
😁😁😁Au Iran ni mchawi kwanini ausubiri usiku ndo arushe hizo hirizi zake
Kafungwa kwenye kombora ambalo Air defence system ya Israel haiwezi ku intercept kwahiyo ana uhakika wa kwenda kupiga target kichwa chake kikitanguliahahaha anaenda tua kwenye zile gas fields za Haifa
Sawa kwa hio leo Iran hata rusha Missiles sio hahaha mwambie Israel aruhusu media watoe live sehemu zinazo pigwa kama vile Iran wanavyo fanya.Mmekuwa kama Wahouthi wao kila siku tumepiga Ben Gulion wakati ni uongo mtupu na wewe sasa unaiga F-35 ulisema imeangushwa na leo tenausema F-35 huo ni uongo mtupu. Anga lote la Tehran liko chini ya udhibiti wa Israel!!
komando wa kiirani huyo akifanya zoezi zito la kummaliza myahudi😀😛😀😛Mmekuwa kama Wahouthi wao kila siku tumepiga Ben Gulion wakati ni uongo mtupu na wewe sasa unaiga F-35 ulisema imeangushwa na leo tenausema F-35 huo ni uongo mtupu. Anga lote la Tehran liko chini ya udhibiti wa Israel!!
Au apate lift hadi kwenye bunker, wenzake wampokee, sijui kama watakubali lakini..Kafungwa kwenye kombora ambalo Air defence system ya Israel haiwezi ku intercept kwahiyo ana uhakika wa kwenda kupiga target kichwa chake kikitangulia
Propaganda za miaka ya 90s ndio mnatuleteaSio nane ni nne zote F35 wa Iran wanasema bora wawatoe live kwenye tv mambo ya Geneva confession wawachane nayo
View attachment 3371936
The Geneva Convention prohibits exposing prisoners of war (POWs) to public curiosity. This includes preventing the public from viewing or photographing POWs in a way that would subject them to ridicule, shame, or potential harm. The convention aims to protect the dignity of captured military personnel and ensure their safety during and after captivity.
Key Points:
- Protection from Public Curiosity:
The Third Geneva Convention (GCIII) of 1949 explicitly prohibits exposing POWs to public curiosity, which includes preventing the public from seeing or photographing them in a way that could be harmful or disrespectful.
- Dignity and Safety:
This protection is intended to preserve the dignity of captured soldiers and ensure their safety during and after their captivity.
- Limited Information:
While POWs are required to provide their name, rank, date of birth, and service number when questioned, they are not required to provide any other information.
- No Discrimination:
POWs must be treated humanely and without discrimination based on factors like race, nationality, religion, or political opinions.
- ICRC Visits:
The ICRC (International Committee of the Red Cross) is authorized to visit POW camps to monitor conditions and ensure compliance with the Geneva Conventions.
Ayatollah anatafutiwa angle moja matata amwagwe samadiMmekuwa kama Wahouthi wao kila siku tumepiga Ben Gulion wakati ni uongo mtupu na wewe sasa unaiga F-35 ulisema imeangushwa na leo tenausema F-35 huo ni uongo mtupu. Anga lote la Tehran liko chini ya udhibiti wa Israel!!
Al Jazeera tu BadoPoleni sana anga la Iran bado sana kulicontrol kuna F35 imeisha angushwa huko na Pilot katiwa mikononi.
Kuna misukule hapa inakuambia anga la Iran linatawaliwa na ndege za Israel..Propaganda za miaka ya 90s ndio mnatuletea
Al Jazeera ndio Kwa mara ya Kwanza wanapost kua kuna uwezekano F 35 moja imedunguliwa nao wanasubili confirmation kwenye media za Iran
Haya nyie tuelezeni izo nne mmezitoa wapiView attachment 3371948
Mkuu ni Marekani pekee wanalo hilo bomu lina uzito wa tani 11 na laenda kimyakimya kadi lifike chini kabisa ndio lalipuka.Je, umewahi, kusikia habari za Natenyahu za hivi karibuni?
Wakati mwingine tujifunze kubakiza hakiba za maneno. Juzi juzi hapa Natenyau alikuwa anamuomba Trump amsadie kuwadhibiti Wairan just in case -sasa kama anajiamini kivile ya nini tena kukimbilia kwa Trump kuomba msaada wa jeshi la Merikani litumie ndege kubwa a kubeba mabom makubwa kubwa, yaani bunker busters ya kulipua reinforced mahandaki ambayo yapo kina cha mita 70 chini ya aridhi, Trump kamkatalia - kwanza hakutaka kujiingiza kwenye vita na Iran, pili Amerika hawana mabombu us kupenya zaidi ya mita 50 chini ya ARIDHI.
Nawambieni majivuno no kieleele chaga Waziri Mkuu wa Israel bwana Natenyau atalingiza kwenye matatizo makubwa taifa LA Israel akumbuke kwamba Iran siyo Hezibolla,Hamasi au Palestina - Israel itakuja kuabika kweli kweli,labda waombe msaada wa kijeshi kutoka Merikani-my OPINION.
Mimi nilikwa namaanisha habari zilizokuwa zinasema kwamba hata yeye Natenyau alikuwa anajificha/analala kwenye mahandaki, halafu hili suala LA kushambulia kituo cha matangazo/radio no TV hizo ni dalili za woga: hataki wananchi wake wajue kinacho endelea maanake Taifa lao halijawahi kupata kipigo Kama wanacho kipata hivi sasa - wanashindwa kuintercept roketi za Iran, muda wote kujifanya ndio super power ya mashariki ya Kati wanakingiwa kifua no Merikani wanaendelea kuvimba kichwa kwa kuwaonea majirani wao dhaifu - enough is enough let what comes may - nani anaweza kuwalahumu WA Iran kujilinda dhidi ya utawala wenye kuua Wapalestina Kama kuku!! Kudhalau maazimio ya umoja WA Mataifa, ambao ulitumika mwaka 1948 kuazishwa kwa Taifa LA Kiyahudi,hayo yote wanajitia kuyasahau!!!Netanyau yupo mara nyingi tu anaonekana akitoa hotuba zake habari zake zipo tu mbona? Wairan wanalalama UN iingilie kati kuistopisha Israel maana inachofanya Iran sasa ni genocide.
Israel is ‘the biggest enemy of truth’, says Iran after IRIB attack
Iranian Foreign Ministry spokesman Esmaeil Baghaei has decried the Israeli attack on Iran’s state broadcaster IRIB earlier today.
In a post on social media, Baghaei called the attack a “wicked act of war crime”, accusing Israel of being “the biggest enemy of truth” and the “killer of journalists”.
He urged the UN Security Council to take immediate action and stop the “genocidal aggressor” from committing further atrocities.
Hio picha sio ya AI kiongozi unaweza kuuliza au kui google..AI generated
Mifumo ya ulinzi Bado inafanya kazi japo inawezekana sio Kwa uimala ulio takiwa either kuna hujuma within ni kama nao wanashangaa what happenedKuna misukule hapa inakuambia anga la Iran linatawaliwa na ndege za Israel..
Haya stealth hio imepigwa..
lahaula lakwata Subhanallah wa ta'alaMimi nilikwa namaanisha habari zilizokuwa zinasema kwamba hats yeye Natenyau alikuwa anajificha/analala kwenye mahanfaki, halafu hili suala LA kushambulia kituo cha matangazo/radio no TV hizo no dalili za woga: hataki wananchi wake wajue kinacho endelea maanake Taifa lao halijawahi kupata kipigo Kama wanacho kipata hivi sasa - wanashindwa kuintercept roketi za Iran, muda wote kujifanya no super power WA mashariki ya Kati wakingiwa mkono no Merikani wanaendelea kuvimba kichwa kwa kuwaonea majirani wao dhaifu - enough is enough let what comes may - nani anaweza kuwalahumu Kia kujilinda dhidi ya utawala wenye kuua Wapalestina Kama kuku!! Kudhalau maazimio us umoja WA Mataifa, ambao ulitumika mwaka 1948 kuazishwa Kia Taifa LA Kiyahudi,hayo yote wanajitia kuyasahau!!!