SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Nipo na English -swahili dictionary hapa nataka nielewe vema hii "Iran has asked"
Screenshot_20250616-215304~2.png
 
Shekh izi taarifa za 5000+ mbona namba kubwa sana ndio tunajua kuna upishi wa taarifa lakini sio kwa kiwango hiki hapana
Mbona magazeti ya israel yaliandika,kuna hareetz na yedioth ahronoth, ndiyo maana wakaondoa hadi marufuku ya kuwaingiza jeshini dhehebu fulani la kiyahudi,nguvukazi iliyoingia sana
 
Mbona magazeti ya israel yaliandika,kuna hareetz na yedioth ahronoth, ndiyo maana wakaondoa hadi marufuku ya kuwaingiza jeshini dhehebu fulani la kiyahudi,nguvukazi iliyoingia sana
But not 5000+ ingekua between 1000-2000 maybe maana tunajua data nyingine zinabaki classifieds
 
Nipo na English -swahili dictionary hapa nataka nielewe vema hii "Iran has asked"
View attachment 3371993
Hii propaganda israel wanaineza toka jana,walianza eti Iran waliiomba cyprus imwambie israeli aje mezani,leo wanadai Iran kawaambia waarabu, wakati huohuo Trump anataka Iran aje mezani na netanyahu anataka marekani aingie vitani,sasa kama wanashinda haya yote yanatoka wapi!!?
 
Back
Top Bottom