SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

.
Asante mkuu nimesoma kwa uchache

Soma apo nilipo highlightView attachment 3372007
Soma vizuri article, lengo la article ni ku highlight official figure ni chache, mfano hapo wanasema 5K pekee ndio waliojeruhiwa ila article inasema zaidi ya 10,000

Kuna hii Article pia Soma

Zaidi ya 10K ni vilema, na Total vita vyote Israel wana Askari 100,000 ambao Either ni vilema wa viungo ama wana matatizo ya akili waliyoyapata kwenye Vita.

Hizo ni figure toka rehabilitation hospital ya Israel, sasa za kuambiwa changanya na zako, mpaka Ufikie figure ya 100K ya Vilema wangapi wanakufa hatuambiwi? Kila vita Israel wanaokufa official figure utaambiwa hawafiki 1000.
 
Ameji exile, amejificha kwenye mapango ya Kale, siyo mahandaki ambayo IDF watamsoma na kuumaliza



We ndyo imbecile wa kuzidi, unaijua AIPAC??, hii ndyo most powerful Jewish LOBBY in USA and beyond, hawajawahi kufefeli kwa jambo lao, Israel inasimamiwa na AIPAC
Walokole bana, kejeli za nini!!?..smotrich alikataliwa na wayahudi wa marekani kuingia sinagogi, AIPAC wangekua wanaunga mkono netanyahu kwenye hili basi usingemsikia netanyahu kulialia,akina Bern sanders washamkataa netanyahu
 
.

Soma vizuri article, lengo la article ni ku highlight official figure ni chache, mfano hapo wanasema 5K pekee ndio waliojeruhiwa ila article inasema zaidi ya 10,000

Kuna hii Article pia Soma

Zaidi ya 10K ni vilema, na Total vita vyote Israel wana Askari 100,000 ambao Either ni vilema wa viungo ama wana matatizo ya akili waliyoyapata kwenye Vita.

Hizo ni figure toka rehabilitation hospital ya Israel, sasa za kuambiwa changanya na zako, mpaka Ufikie figure ya 100K ya Vilema wangapi wanakufa hatuambiwi? Kila vita Israel wanaokufa official figure utaambiwa hawafiki 1000.
Tunacho bishana apa ni idadi ya vifo Vya IDF kua ni 5000+ mm ndio napo bisha apo namba ni kubwa kulingana na uhalisia inge range 1000 to 2000 ningekubali

Hatubishani majeruhi na vilema
 
Japo pro Persians mnajitahidi kumtetea ila Iran kaguswa tena sana hadi Mida hii hakuna kombora alijitahidi kurusha ila yamenaswa yote na kale Kandege uchwara ka enzi za mwinyi kametunguliwa ,na huko Israel usiku huu bado anasema naye.
Akirusha nitarudi
 
Huku kunaitwa kubadili gia angani,yaani mbowe mtupu!!
Hahaha come down jasusi la Iran

Mm nimekataa idadi ya vifo vya IDF kua namba ni kubwa kulingana na uhalisia jamaa kasema ni 5000+ mm navyo jua inawezekana ikawa 1000 to 2000 hizo namba zinakua classified

Sasa apo nieleweshe nimemiss wapi na gia nime change wapi
 
Back
Top Bottom