Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 19,009
- 22,509
Prime Minister Netanyahu:
We are on the path to victory and Iran understands this.
We are on the path to victory and Iran understands this.
Kusafiri umbali wa 1500 kms sio mchezo. Iran wanajitahidi ila waboreshe Air defence yao.Usiku kunakuwa na oxygen ndogo so kunayapa ufanisi makombora kwenye kasi.
Upikaji data hiyo sipingi ipo wazi kwenye uwanja wa vitaMie nilicholenga kukuambia kwanza ni upikaji taarifa.
Pili ulichosema ni sahihi ila sio 100%.
Hapo twaweza tumia probability kupima vifo mkuu.
View attachment 3371802
Hapa muda si mrefu jengo la tv na redio ya taifa Irani vimelipuliwa, Ustadhat wa watu alikuwa live mara mlipuko akakimbia marathoni kujiokoa
Ila Israel kazidi aisee.Upikaji data hiyo sipingi ipo wazi kwenye uwanja wa vita
ndio maana humu kuna watu wamepost mpaka saizi F35 zimeshushwa 8 Hahahaha
Ni saikolojia ya vita kua adui anapoteza na sisi tunashinda
Huwezi taja namba kubwa ukau morali ya wapiganaji wako kua tunachapwa ndio maana habari za vifo kwenye Hivi vita kuanza Hamas Hezbollah houth Iran na Israel wote wana pika data vibaya mnooo
Netanyahu:
No wonder the Iranians want the war to stop, they are being hit. We gave them a chance, but at the same time the dictator Ayatollah tweeted that Israel would be destroyed. We want 3 results: elimination of the nuclear weapons, the axis of terror, and the ability to produce missiles
This guy is a big liar.Prime Minister Netanyahu:
We are on the path to victory and Iran understands this.
uku online mmepoa sana, hatujawazoea ivi wiki hii mpya tulitakiwa kuskia fujo kidogoMahakama.
Nae Kapika vibaya mnoooIla Israel kazidi aisee.
Bora Iran ikitangazwa hakuna anachopinga.
Kwa madai yao walikua wanauawa ofisini na majumbani.Nae Kapika vibaya mnooo
Wale Top officials wote wanakua na kundi kubwa la Askari nyuma yao but huwezi kuziona izo namba