Hammaz
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 7,091
- 15,519
Israel amezima mtandao, hamuwezi mkapata taarifa.
Hii vita imeshamshinda, kwa nini anazima Internet?
Mbona alivyopambana na Gaza hakuzima?
Hizbullah hakuzima!
Houth hakuzima!
Kwa Iran siku 2 tu anazima Internet!
Yeye si anasema anashinda hii vita na yupo kwenye nafasi nzuri, anazima nini sasa Internet?