mohamedidrisa789
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 5,615
- 23,751
🚨🚨🚨Iranian Air Defense Forces have destroyed another F-35 fighter plane in the skies over Tabriz in the northwest of the country, reports the Tasnim news agency🚨🚨🚨
Vitu vingine tutumie akili ndogo tu kaka.Hahaha come down jasusi la Iran
Mm nimekataa idadi ya vifo vya IDF kua namba ni kubwa kulingana na uhalisia jamaa kasema ni 5000+ mm navyo jua inawezekana ikawa 1000 to 2000 hizo namba zinakua classified
Sasa apo nieleweshe nimemiss wapi na gia nime change wapi
Mkuu inawezekana Wewe ndio hujaelewa hio namba ina including na majeruhi kumaliza kwa kusema wana uitaji wa manpower 10000 Kufanya replacementKwenye ile article Kuna official figure na Kuna taarifa ya Kamanda aliye vitani.
Official figure ndio Ile uliyoiweka kivuli na taarifa ya kamanda aliye vitani ndio inasema 10000.
Embu nisome vizuri kaka.Mkuu inawezekana Wewe ndio hujaelewa hio namba ina including na majeruhi kumaliza kwa kusema wana uitaji wa manpower 10000 Kufanya replacement
mda ni kuanzia saa 5, usiwe na harakaJapo pro Persians mnajitahidi kumtetea ila Iran kaguswa tena sana hadi Mida hii hakuna kombora alijitahidi kurusha ila yamenaswa yote na kale Kandege uchwara ka enzi za mwinyi kametunguliwa ,na huko Israel usiku huu bado anasema naye.
Akirusha nitarudi
Hii inaonesha Kuna upikaji wa taarifa.Mkuu inawezekana Wewe ndio hujaelewa hio namba ina including na majeruhi kumaliza kwa kusema wana uitaji wa manpower 10000 Kufanya replacement
Hahaha when we're talking about number of deaths we don't make speculationVitu vingine tutumie akili ndogo tu kaka.
Wasome the press tv toka UK.
View attachment 3372048
Wanasema Kuna wanajeshi elfu sabini wamepata ulemavu.
Embu jiulize kama wanajeshi 70000 wamepata ulemavu vifo vitakua vingapi?
Unazikumbuka hesabu za probability kaka?
Ila si kule tunaendelea kumtafuta my wetumda ni kuanzia saa 5, usiwe na haraka
tuna stick na timetable
Usikurupuke kuamini kila unachoambiwa uwe unajiongeza wakati mwingine kutafuta chanzo cha habari ambacho ni credible.Soma humo ndani wamelitaja gazeti la yedioth ahronoth la israel,siyo unakurupuka tu bila kusoma
Imesharudi hewani.Yule Pilot wa kike IDF aliyekamatwa kutubu mbele ya Television ya taifa ya Iran. Sasa naona hiyo TV imeshalipuliwa watamtubishia wapi?
hiyo ni kabla au baada ya Haifa kuwa majivu ?Ila si kule tunaendelea kumtafuta my wetu
Mie nilicholenga kukuambia kwanza ni upikaji taarifa.Hahaha when we're talking about number of deaths we don't make speculation
Fanya speculation kwa vifo vya gaza kwa watu walio chini ya vifusi namba ingekua inasoma 100k saiz
Hatuwezi tukaandika kifo mpaka tu confirm kifo
Vitu vinateremka huko afu anakuijia.mjinga anasema Israel ana control anga ikiwa Air Superiority hana vipi apate Air Supremacy haha kuna watu humu hata ndege vita hawazijui kuna mmoja aliona F16 ime litupa tank akasema Missile ya Iran hahaha.Jeshi la Iran linaomba watu wote wahame Tel Aviv tena KWA haraka.