SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Kaka YediothAhronoth chombo Cha Israel ndio kilisema kaka.
Sio Mimi.
Na ushahidi nilileta sana kipindi kile Cha vita ya Hamas na Israel.
Maybe but itabidi nikajilizishe pia maana mm kiukweli kubisha kitu ambacho sikijui nashindwaga na ni mwepesi pia kukubali pale ninapo kosorewa na nikajua ukweli waga sikimbii lazima nirudi kutoa credit

Kuna watu humu wanachukulia hii vita too personal mpaka na matusi juu pamoja na kukashifiana dini na miungu Yao kiukweli inachekesha
 
Over 10,000 Israeli soldiers killed or wounded in Gaza war, says military officer

Acheni ubishi wa kimama,hao idf ni hamna kitu field,jaalia Hamas wangekua na robo ya silaha walizonazo idf
Asante mkuu nimesoma kwa uchache

Soma apo nilipo highlight
Screenshot_20250616-221425.png
 
Maybe but itabidi nikajilizishe pia maana mm kiukweli kubisha kitu ambacho sikijui nashindwaga na ni mwepesi pia kukubali pale ninapo kosorewa na nikajua ukweli waga sikimbii lazima nirudi kutoa credit

Kuna watu humu wanachukulia hii vita too personal mpaka na matusi juu pamoja na kukashifiana dini na miungu Yao kiukweli inachekesha
Ndio maana mie Kuna watu kama wanne nimewa ignore/block.
Maana nao wameanza udini hivyo hivyo.
Nimewapa jina la psychopath.
Hii kitu ni geopolitics sio religious.
 
Jaman kibabu ayatollah mbona hakisikiki 😅😅
Ameji exile, amejificha kwenye mapango ya Kale, siyo mahandaki ambayo IDF watamsoma na kuumaliza
Mguu usichokijua unatakiwa ujue umemuuliza mfuasi wa mwamed hawa koroan inawaambia ongea uongo uwezavyo usikubali kushindwa😀😀😀

Relax

Msikilize Trump huko G-7,Iran hawawezi shinda hii vita,waingie makubaliano kabla mambo hayajawa mabaya.. USA inaweza kuingilia,sasa kama Iran anapigwa, USA kwa nini aingilie!?..na kwa nini netanyahu anapambana marekani aingilie?
We ndyo imbecile wa kuzidi, unaijua AIPAC??, hii ndyo most powerful Jewish LOBBY in USA and beyond, hawajawahi kufefeli kwa jambo lao, Israel inasimamiwa na AIPAC
 
Back
Top Bottom