SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Sio kweli alert lazima ziwepo kabla hata haijagusa ardhi ya Israel. Pili naomba link ulipoyoa hiyo habari na hiyo picha nijiridhishe maana mimi muda wote nipo kwenye media na pages za pro Iran hazijaweka hiko kitu
Sijasema hakuna alerts nimesema early alerts, alerts ukizipata dk 2 kabla haziwezi kukusaidia kitu. Mimi taarifa nyingi nasaka telegram nyingine ni non official nina ndg zangu Lebanon kupitia wasap wananitumia hivyo taarifa za mazayuni kitegemea .media utalishwa matango mengi Leo Kuna taarifa wamesema gereza watu wametoroka hao ni Mossad si kweli, tafuta telegram utapita tu taarifa angalau hasa magrup ya kuchat maana unachat na real people
 
Attachments

  • FB_IMG_17501237879953171.jpg
    FB_IMG_17501237879953171.jpg
    367.5 KB · Views: 16

Acha maneno mengi weka picha na video hapa
 
Channel 14 ya Israel ndege za USA zimepiga Iran. Afu USA wanajidai kukanusha eti waongo hahaha
 
Alert, Kuna missiles zimerushwa tena Sasa hivi kutoka Iran hivyo watu wameambiwa waingie protected areas
20250617_043235.jpg
 
Channel 14 ya Israel ndege za USA zimepiga Iran. Afu USA wanajidai kukanusha eti waongo hahaha
Vipi huyu MBS waliokamisiwa Makha na Madina ni mtu wa kanisa nae?
 
Attachments

  • FB_IMG_17501237879953171.jpg
    FB_IMG_17501237879953171.jpg
    367.5 KB · Views: 19
Back
Top Bottom