SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Lakini mkuu tukubali Leo missiles za Iran zimefeli. Jana juzi na siku ya kwanza zilikua successful. Kukubali ukweli sio udhaifu

Hiyo kuchezewa wala si kweli
Siiwezi jua inaweza kua kweli pia maana ndio technology hio na US na Wazungu wako pale you know. Lakini kingine mbona Hata namba ya missile inayokuja nayo ni kidogo mno yaàni Kama missile 5 au 6 tu Tena zile cruise missiles sio ballistic Sana Sana je na wao Kuna kitu wanakitafuta?
 
Naona akili zinaanza kuwarudia taratibu na kuchambua kwa facts badala ya hisia na mihemko ya kidini.
 
Siiwezi jua inaweza kua kweli pia maana ndio technology hio na US na Wazungu wako pale you know. Lakini kingine mbona Hata namba ya missile inayokuja nayo ni kidogo mno yaàni Kama missile 5 au 6 tu Tena zile cruise missiles sio ballistic Sana Sana je na wao Kuna kitu wanakitafuta?
Ni either missiles zimepungua au wamekua defeated huko huko Iran, au wanatunza zilizobaki ili waje wazitumie siku zijazo
 
Siiwezi jua inaweza kua kweli pia maana ndio technology hio na US na Wazungu wako pale you know. Lakini kingine mbona Hata namba ya missile inayokuja nayo ni kidogo mno yaàni Kama missile 5 au 6 tu Tena zile cruise missiles sio ballistic Sana Sana je na wao Kuna kitu wanakitafuta?
Nilishasema hapa kuwa Marekani ilitoa report kuwa Iran ndio nchi yenye ballistic missile nyingi middle east kuliko nchi yoyote ile,ilikadiriwa kuwa wanazo kati ya 2k mpaka 3k. Sasa piga hesabu walizorusha tangu juzi plus sabotage kubwa waliyofanyiwa kabla na baada ya hii vita.
 
Iran imeanza mashambulizi makubwa ya makombora dhidi ya Israel, ambayo yamelenga miji mikuu ikiwemo Haifa na Tel Aviv. Viwanda vya mafuta na kemikali, kama Bazan Group, vimeharibiwa vibaya huku moto mkubwa ukiripotiwa.

Wimbi la pili la makombora limeanza kutua, na majengo kadhaa mjini Tel Aviv yamepigwa, watu 15 wakijeruhiwa. Taarifa za vifo pia zimeanza kuripotiwa kutoka maeneo mbalimbali ya Israel.

Pakistan imetangaza kuwa itaishambulia Israel kwa nyuklia endapo Iran itashambuliwa kwa silaha hizo, na iko tayari kuingia vitani upande wa Iran iwapo mataifa ya Magharibi yataingilia moja kwa moja.

Mkuu wa Shirika la Ujasusi la Israel (Shin Bet) ameripotiwa kujiuzulu kufuatia hali hiyo ya taharuki.

UPDATE:Mpaka muda huu miji yote ya Israel imeshambuliwa na Iran na taarifa za vifo huko Israel zimeanza kutoka.

Hali ni mbaya kwa upande wa Israel it seems wamezidiwa

Tushatoka Ukraine vs Russia now tupo Iran vs Israel
 
Back
Top Bottom