Frank Wanjiru
Platinum Member
- Apr 12, 2012
- 25,686
- 46,842
Unasubiria meli Morogoro?Hii ndio huwa mida ya muajemi sasa kubonda ,
Unasubiria meli Morogoro?Hii ndio huwa mida ya muajemi sasa kubonda ,
Hamna, halafu msipende kuhusisha upande tunaochagua kusupport na dini, haipo hivyo kwa kila mtu.Mwenzako bado kafunikwa na blanket la mahaba na udini,mwenzake gTurn kashaanza kuona ukweli ulivyo.
Mwenzako kila anaepinga Iran anatuita watu wa kanisa.Hamna, halafu msipende kuhusisha upande tunaochagua kussuport na dini, haipo hivyo kwa kila mtu.
Labda mwenzangu kuna sehemu anafuatilia hii kitu tofauti na mimi.
Lakini upande wangu vyanzo vyangu vyote vya habari vipo KIMYA.
Kuna shida mahali, vita ni game of spirit and morale , usiku wa leo utaamsha spirit na morale ya Mazayuni, kitu ambacho sio kizuri upande wa Iran.
Anacontrol mitandao even from Lebanon!?Anacho fanya israel na washirika ni kupambana na mitandao taarifa zisi toke, propaganda at work
Ndio akili zao hao,hata Aljazeera nayo anaikontrooAnacontrol mitandao even from Lebanon!?
Mkuu Iran wapo vizuri sana sana, lakini usimdogoshe Israel,ISRAEL ipi ndugu uku unadai Marekani kaingia !!!
ISRAEL inatumia UGAID ana nguvu yoyote ya kupambana na Iran !!!
kama kwa UGAID kweli ISRAEL atashinda ndio Vita anavoweza mwenye nguvu Dunia imemuona anakupiga Live watu wanainjoy sasa ww ata kuaribu mifumo ya Anga adi utumie UGAID !!!
bado naww unajisifia unanguvu haaaaaaaaaaa !!!
IRAN asumbuki na mifumo yako ya Ulinzi Unabutuliwa na mifumo yako Uyu ndio M'BABE.!!!
Miji ya Israel ipo Hoi kwa kipigo kuwa Mkweli kama Sio Msaada wa UGAID ISRAEL isingeweza ata kuingiza ndege apo Iran..
China anataka watu wake waondoke IsraelTunaomba utuletee habari kutoka Aljazeera maana tukiomba ya BBC au CNN utasema kuwa watu wa kanisa.
Hawana huo ubavu wa kucontrol taarifa za makombora yaliyopigwa kwao. Kombora likishuka linaonekana na likiwa intercepted linaonekana na watu watachukua video clips na kurusha as much as they want, Ila wale ambao wamekungwa maji ya bendera ndio hawatasambaza lakini wapo wengi tu watazisambazaAnacho fanya israel na washirika ni kupambana na mitandao taarifa zisi toke, propaganda at work
Hamna, kuna watu tunapenda tu kuwa sehemu ya minority, kusupport underdogs na kuwa against the system.Mwenzako kila anaepinga Iran anatuita watu wa kanisa.
China anataka watu wake waondoke Israel
View: https://youtube.com/shorts/riYPV6vC-2E?si=L7xJPTrBr6ZnZZPD
China anataka watu wake waondoke Israel
View: https://youtube.com/shorts/riYPV6vC-2E?si=L7xJPTrBr6ZnZZPD
Missile zimefika wapi Mkuu
Hahahaha mbona jana hawakushikwa,hata Aljazeera nao hawajaziona na wapo hapo Lebanon na west bank?Zinatua tatizo wanakataza kuzionyesha walio kuwa wanatoa video wameshikwa wengi.
Halafu mbona hatumuoni Ayatollah akitembelea manusura wa vita kama afanyavyo Netanyahu mchana kweupe?Zinatua tatizo wanakataza kuzionyesha walio kuwa wanatoa video wameshikwa wengi.
Okay kwa hio Israel kisha shinda vita sio hahahaHalafu mbona hatumuoni Ayatollah akitembelea manusura wa vita kama afanyavyo Netanyahu mchana kweupe?
Jibu swali MkuuOkay kwa hio Israel kisha shinda vita sio hahaha
Tusubiri tuone nani atainua mikono kitu muhimu US akae pembeniJibu swali Mkuu
Hahahaha so ule mpango wa kufuta kambi zote za Marekani middle east haupo tena?Tusubiri tuone nani atainua mikono kitu muhimu US akae pembeni