SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Chui wa karatasi katandikwa mpas Trump kachanganyikiwa ameamua aje kumuokoa israel ye ndio kaingia vitani sasa hahaha
Iran mweupe kabisa, ana vikombora tu ila kivita bado licha ya kusaidiwa na Urusi kwa vitu vingi. Air defense systems zimepasuliwa sio kawaida. Huyu ndio mlisema akiguswa middle East inawaka moto, tuliwaambieni Iran ni overrated hamkusikia.
 
Lengo ni kutia hofu tu.

Tehran ina watu milioni 15 wataondokaje hao watu usiku huu huku wamelala?

Au wafanye sleep walking to death?
Wengi walikuwa wameshaondoka, kuanzia ile majuzi foleni zilikuwa ndefu sana watu wanakimbia mji.
 
Hakuna lolote Iran ana mtandika vizuri Israel mpaa mda hu Tela Aviv vitu vinashuka Israel anakataza watu wasi records video
Israel wanakataza watu wasirecord lakini wewe huku Tanzania unaona vitu vibavyoshuka?
 
Iran mweupe kabisa, ana vikombora tu ila kivita bado licha ya kusaidiwa na Urusi kwa vitu vingi. Air defense systems zimepasuliwa sio kawaida. Huyu ndio mlisema akiguswa middle East inawaka moto, tuliwaambieni Iran ni overrated hamkusikia.
Hadi mwenye mbwa mwenyewe (USA) kaamua kujitokeza hadharani unadhani anchokifanya Iran ni mzaha?😂😂

Kipigo anachopata Israel kimemtoa machozi mume wake USA ndiyo maana anataka kuingilia amsaidie direct.

Sasa hadi hapo nani dhaifu kati ya Iran na Israel?😆

Iran anakoleza moto na kuongeza dozi kulingana na malengo ya siku hiyo.
 
Israel haina uwezo wa kuhimili mapigo kiasi kile, wananchi wameanza kukimbia nchi Netanyahu anazuia..
Ni rahisi kuigeuza Israel kama Gaza kuliko Iran..
Bro Tehran ndio watu wanakimbilia mji maana hawana sehem za mahandaki foleni ya kukimbia mji imekua kubwa mnoo
 
Kuingia kwenye hii vita kwa USA na msaada anaopewa Israeli kutoka mataifa tofauti tofauti ni dhahiri Israeli hawezi kusimama mwenyewe dhidi ya Iran.

Iran aliyeeishi na vikwazo kwa miaka zaidi ya 40 lakini bado anaweza kuleta madhara zaidi ya 2000km kutoka Tehran basi ni dhahiri waajemi wako vizuri upstairs ndio maana uoga umekuwa mkubwa kwao.

Kwangu katika hii vita IRAN namuona ni mshindi, amekuwa rafiki wa kweli Kwa wapalestina na muumini wa haki sio unafiki.
Viva Iran, may God bless you guys.
 
Back
Top Bottom