Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 11,253
- 15,070
US akingia hi vita atatandikwa tu na Iran hapo Gulf states yatabebwa masanduki ya maiti wakimarekaniBado hawajaingia full, jibu litatoka saa chache zijazo lakini order yake ya watu kuondoka Tehran imechukuliwa kwa uzito na watu wanaondoka usiku huu