'Israel imedhibiti anga la Iran' ishia hapa tu mkuu, usiwaze sanaKatika habari zote zinazonichanganya ni mbili tu.
-China kuwatangazia raia wake waondoke Israel tena HARAKA IWEZEKANAVYO.
-USA kuitisha kikao.
Sanasana hiyo ya China.
Nahisi Kuna kitu kikubwa kinakuja kutokea Israel.
Pia Iran kupooza kimashambulizi tusichukulie kindezi HUWEZI jua Iran ina mpango gani.
Kutoka katika chapisho la mtandao wa X, waziri mkuu wa Israel anasema kuwa Israel imefanikiwa kulidhibiti anga la Iran... na sasa ndege za kivita za Israel zinaweza kuingia na kushambulia katika anga la Iran bila shida yoyote.
View attachment 3372414
Fanya kazi mzee humu ulipwi acha kuwa na hasira mpaka mishipa ya shingo inakutoka🤣🤣🤣🤣Hasira ziko wapi mkuu?
Mbona nimehoji tu maswali hapo juu kama ungekuwa na majibu yake nafikiri ungefanya jambo la msingi kujibu.
Halafu hapo mwisho nimecheka kabisa kuonesha propaganda za kivita za vita vya kwanza vya dunia.
Iran kaanza kuomba tokea juzi kuwa yuko tayari kwa mazungumzo, Tehran imekuwa Jehanamu. Kwa sasa Israel hana muda wa mazungumzo, anaisafisha Iran kwanza.Hadi mwenye mbwa mwenyewe (USA) kaamua kujitokeza hadharani unadhani anchokifanya Iran ni mzaha?😂😂
Kipigo anachopata Israel kimemtoa machozi mume wake USA ndiyo maana anataka kuingilia amsaidie direct.
Sasa hadi hapo nani dhaifu kati ya Iran na Israel?😆
Iran anakoleza moto na kuongeza dozi kulingana na malengo ya siku hiyo.
Mbinu iliyotumika kuzima radar ni matata Sana kwasababu Israel waliingiza components za drones miezi mitatu imepita Kwa Siri ndani ya iran hii kazi imefanywa na majasusi wa mossad.RUssia mpaka leo ameshindwa tawala anga la ukraine.
Aaaah, gharama!Bro unajua gharama ya kifedha, kiufundi, kimkakati, kimalengo ya kuvurumisha kombora umbali wa kilometa 1500 kutoka Iran kwenda Israel?
Si kweli,kuna malipo:-Fanya kazi mzee humu ulipwi acha kuwa na hasira mpaka mishipa ya shingo inakutoka🤣🤣🤣🤣
Safi sana mkuu, tafadhali ikikupendeza tunashukuru uki share huo utafiti.Mwaka wa kumi nimejichimbia 'maktaba' nafanya utafifi kama kuna "ELIMU" flani ambayo mayaudi wameificha kwa Watu wengine! Iran na mizigo yote ya siraha nzito kaanza kukata pumzi!
Hizo propaganda na inatakiwa utumie ubongo kufikiri bro.'Israel imedhibiti anga la Iran' ishia hapa tu mkuu, usiwaze sana
Russia vs Ukraine...
Hii vita ilikuwa ya kimkakati ili kumdhoofisha Russia asiweze kuingilia vita nyingine...
Hezbollah paa
Syria paa
Yemen paa
Iran kubaa
Hawa jamaa wapo mbali sana kifikra
Hii habari wizara ya mambo ya nje ya Iran imekanusha
iran ilisema ina uwezo kuifuta israel kwenye ramani ya duniaIran kwishaaaaaa
Unaleta PDF mkuu...uhalisia si unauona, ukraine tu kamtoa jashoRussia ana uwezo wa kwenda vitani na nchi zaidi ya 3 na sizi fue dafu ,Bwana US ana sema russia aja tumia hata zaidi ya 15% ya nguvu zake afu wazungu wa Africa mnabisha
Nani akulipe wewe fanya kazi acha kujidanganya na hizo ngonjera kumbe mnakaa humu kutukana mkisubiri kulipwa Hilo msahauSi kweli,kuna malipo:-
-badge ya member,
-likes,
-utambulisho wa kiwango cha ubishi,
-urahisi wa kuteuliwa kugombea tuzo aina kwa aina,
-na "makazalika wa kazaa"!