SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

mashoga mavi hayazuiiliki tena

View attachment 3372409
Watu kama awa waoga sana lkn wakipata Nafasi ya kupiga wengine awana hUruma kabisa !!!

Sasa mambo yakiwaendea vibaya wao ndio kama ivyo mtu katika na mavi yake kuwai Shimoni !!!

Vita tusikie tu ndugu. Mbaya zaid Makombora ya Iran yanakelele sana kama una presha unakufa na kiholo..
 
Iran kaomba sizifaya (ceasefire) na kurudi meza ya mazungumzo.

Hili ni jambo la busara zaidi ila naliona kama vile kwa ilipofikia Israel ataona kwenda kwenye mazungumzo ni kupoteza muda na fursa ya kupata sulihisho la kudumu kwa tishio lake kuu mashariki ya kati. Akiiondoa utawala wa Iran ameua makundi yote ya anaowaita magaidi kwake
 
20250617_074333.jpg
 
Tupe source?
 
Mwaka wa kumi nimejichimbia 'maktaba' nafanya utafifi kama kuna "ELIMU" flani ambayo mayaudi wameificha kwa Watu wengine! Iran na mizigo yote ya siraha nzito kaanza kukata pumzi!
Hata mm nawaza kama wewe...kuna elimu ambayo wao wanayo na hawajaitoa kwa dunia, share ulipofikia
 
Hizi ni propaganda za mashog,a kama kawaida yao.

Netanyahu anakabiliwa na kashfa za ufisadi nchini mwake hivyo lazima aeneze propaganda ili kuwatuliza wananchi wake maana muda mrefu walikuwa wanaandamana wanataka aachie ngazi.

Yaani utawale anga la Iran halafu ushindwe kuuondoa uongozi wa Iran?

Utawale anga la Iran huku ukilalamika Iran anauwa wanawake na watoto huko Israel?😆
 
Iran kaomba sizifaya (ceasefire) na kurudi meza ya mazungumzo.

Hili ni jambo la busara zaidi ila naliona kama vile kwa ilipofikia Israel ataona kwenda kwenye mazungumzo ni kupoteza muda na fursa ya kupata sulihisho la kudumu kwa tishio lake kuu mashariki ya kati. Akiiondoa utawala wa Iran ameua makundi yote ya anaowaita magaidi kwake
Ukishaponda kichwa cha octopus hata mikia yake hufa pia.
 
MIMI kwasasa naona Iran atuwadai japo Sijapenda kutokutuma Yale Makombora ya mtawanyiko kuwauwa IDF pale GAZA wangetoka mbio wote !!!!

toka apo misaada ingewafikia Binadam wenzetu Bila kidhingiti !!!

Makombora ma3 tu yangetosha kuwakomboa Binadam na kizuizi cha Chakula kutoka kwa Meshetani awa majambazi na NAGAID wasio na Ubinadam wowote.. .
 
Back
Top Bottom