SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Hizi ni propaganda za mashog,a kama kawaida yao.

Netanyahu anakabiliwa na kashfa za ufisadi nchini mwake hivyo lazima aeneze propaganda ili kuwatuliza wananchi wake maana muda mrefu walikuwa wanaandamana wanataka aachie ngazi.

Yaani utawale anga la Iran halafu ushindwe kuuondoa uongozi wa Iran?

Utawale anga la Iran huku ukilalamika Iran anauwa wanawake na watoto huko Israel?😆
Mbona hasira mzee unalipwa nini humu🤣🤣🤣🤣🤣
 
Israel kwa propaganda wapo vizuri halafu wanavyowachukulia wafuasi wao kama mazwazwa.

Umetawala anga huku ndege yako ghali kabisa isiyoweza kuonekana kwenye rada za mifumo ya ulinzi wa anga F-35 inadunguliwa kirahisi?
 
Israel kwa propaganda wapo vizuri halafu wanavyowachukulia wafuasi wao kama mazwazwa.

Umetawala anga huku ndege yako ghali kabisa isiyoweza kuonekana kwenye rada za mifumo ya ulinzi wa anga F-35 inadunguliwa kirahisi?
Shida nini mzee mbona kama umechanganyikiwa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kimboka ya Tel Aviv haikusalimika.
🥸🥸🥸

GtiiA4nWgAAULYv.jpeg
 
Mbona hasira mzee unalipwa nini humu🤣🤣🤣🤣🤣
Hasira ziko wapi mkuu?

Mbona nimehoji tu maswali hapo juu kama ungekuwa na majibu yake nafikiri ungefanya jambo la msingi kujibu.

Halafu hapo mwisho nimecheka kabisa kuonesha propaganda za kivita za vita vya kwanza vya dunia.
 
ISRAEL ipi ndugu uku unadai Marekani kaingia !!!

ISRAEL inatumia UGAID ana nguvu yoyote ya kupambana na Iran !!!

kama kwa UGAID kweli ISRAEL atashinda ndio Vita anavoweza mwenye nguvu Dunia imemuona anakupiga Live watu wanainjoy sasa ww ata kuaribu mifumo ya Anga adi utumie UGAID !!!

bado naww unajisifia unanguvu haaaaaaaaaaa !!!

IRAN asumbuki na mifumo yako ya Ulinzi Unabutuliwa na mifumo yako Uyu ndio M'BABE.!!!

Miji ya Israel ipo Hoi kwa kipigo kuwa Mkweli kama Sio Msaada wa UGAID ISRAEL isingeweza ata kuingiza ndege apo Iran..
Iran tayari kayumba, ndege vita za Israel zinazurura Tehran huku millitary bases zikiwa zinateketea.
 
Mwaka wa kumi nimejichimbia 'maktaba' nafanya utafifi kama kuna "ELIMU" flani ambayo mayaudi wameificha kwa Watu wengine! Iran na mizigo yote ya siraha nzito kaanza kukata pumzi!
Hawa Akili zao ndogo sana tunawapa tu Sifa ila hamna kitu, kinachowasaidia ni kuwekeza kwenye chokochoko, vurugu ndio utakuta wanajenga nchi yao na kuimarisha mahusiano na wa Magharibi kwanamna yakujikinga zaidi. Hasa ukipigana na mtu ambae hajawekeza kwenye chokochoko utamsumbuwa hasa upande wa Raia wake
 
Israel kwa propaganda wapo vizuri halafu wanavyowachukulia wafuasi wao kama mazwazwa.

Umetawala anga huku ndege yako ghali kabisa isiyoweza kuonekana kwenye rada za mifumo ya ulinzi wa anga F-35 inadunguliwa kirahisi?
Ni jukumu lako kutoa taarifa sahihi na "unazoziamini" muda huu.
 
Katika habari zote zinazonichanganya ni mbili tu.
-China kuwatangazia raia wake waondoke Israel tena HARAKA IWEZEKANAVYO.
-USA kuitisha kikao.

Sanasana hiyo ya China.
Nahisi Kuna kitu kikubwa kinakuja kutokea Israel.
Pia Iran kupooza kimashambulizi tusichukulie kindezi HUWEZI jua Iran ina mpango gani.
 
Dawa ya hio midege ni hii.. Marekani kampa Ukraine hi midude na Russia ameyaokota ya kutosha baada ya wana jeshi wa Ukraine kukimbia na kuyaacha front line.

Tehran aongee na Moscow vizuri.
javelin_hero_lg.jpg
 
Huna hoja ya kujibu mkuu ama ni vipi?

Sijaona ulipojibu hadi sasa zaidi ya kujichekesha tu.

Nimekuuliza ndege ya F-35 imelambishwa mchanga halafu bado unaamini anga imetawaliwa?
Mimi nakuona kama umedata hivi mzee shida nini kwani unalipwa humu🤣🤣🤣🤣🤣
 
Russia vs Ukraine...
Hii vita ilikuwa ya kimkakati ili kumdhoofisha Russia asiweze kuingilia vita nyingine...
Hezbollah paa
Syria paa
Yemen paa
Iran kubaa
Hawa jamaa wapo mbali sana kifikra
 
Baada ya miaka mingi ya ubabe na kuishi kihuni Iran inaonja joto la jua, kipingo na mateso bila kupata wa kumsaidia. Ulimwengu wa kihuni na kushabikia dhuluma ndiyo chanzo Cha kupokea kipondo. Irani mara zote imekuwa ikikaa upande wa mataifa korofi ikiwemo yakiwemo Urusi, china na Korea ya kasikazini. Sasa wale waafrika walioamua kujiamulia kuua raia wao, kuteka na kuzuia Ibadan kwa watu wao siku zao zinahesabika.
Ila kipigo wanachopata Israel umekipa kisogo mkuu?😆

Netanyahu analalamika Iran inauwa wanawake na watoto huko.

Tel Aviv na Haifa umeziona namna zilivyokuwa vifusi?

Na huu ni mwanzo tu bado Iran haja test vyuma ambavyo ni latest hapo ndipo moto utawaka kila kona ya Israel.

Mumewe USA imebidi ajitokeze hadharani tu baada ya kuona mke wake anapondwa kila uchwao bila kupumzishwa.
 
Kipigo cha siku 3 tu kwa Iran imebidi kuomba kusitisha mapigano na kutambua mamlaka ya Israeli

Rais Pezeshkian anasema: "Kwa nini tunashambulia ardhi ya kila mmoja wetu? Waache waishi katika nchi yao wenyewe, na sisi tuishi katika nchi yetu wenyewe"
 

Attachments

  • It_just_took_3_days_for_Iran_to_beg_for_ceasefire_and_recognize.mp4
    500.6 KB
Back
Top Bottom