100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,825
- 38,702
Kumbe ile F-35 iliyoshambulia Iran State TV ndio imelengwa na Iran ikaanguka..
Rubani yupo wapiKumbe ile F-35 iliyoshambulia Iran State TV ndio imelengwa na Iran ikaanguka..
Yapo njiai yanakuja, Tel Aviv yote ipo chini ya mahandaki , sasa wanaishi kama Hamas,...Hayo mashambulizi yapo wapi?
Amekaangwa..Rubani yupo wapi
Kumbe kwa mujibu wa marekani huyu huyu aliesema urusi wameishiwa silaha wanatumia makoleo kule Ukraine basi sawa..Iran jumla ana ballistic missile 2k mpaka 3k,kwa mujibu wa Marekani. Sasa piga hesabu tangu vita ianze plus zinazoharibiwa kila siku na Israel kabla hajarusha huko store na kwenye silos zake zitabaki ngapi.
USA hana nia ya kubadili utawala wa nchi anazozivamia yeye anahitaji tu kusiwe na amaniUS imeshindwa kuangusha utawala wa Taliban pale Afghanistan kwa miaka 20..
Leo wanakuambia regime change nchini Iran..
US haina uwezo wa kubadili leadership nchini Iran.
Kwa sasa amefeli..USA hana nia ya kubadili utawala wa nchi anazozivamia yeye anahitaji tu kusiwe na amani
Ina maana leo Israel hawalali, aisee...Iranian official:
- We will launch a series of missiles every hour until dawn.
We will not sleep and we will not let our enemy sleep.
Wajinga awajuiIsrael haina uwezo wa kuhimili mapigo kiasi kile, wananchi wameanza kukimbia nchi Netanyahu anazuia..
Ni rahisi kuigeuza Israel kama Gaza kuliko Iran..
Kwa udogo wa Israel hata ukipiga bila mipango inateketea ni kama gaza ilivyo teketea ...udogo wa nchi una madhara makubwa sana kivitaIsrael anapiga Kwa mipango ila Iran yeye anapiga tu ilimradi amepiga Israel akifanya kama Iran kelele za genocide zitaanza wakati Sasa hivi wote kimya
Vipi mbona hamleti majibu? Iran anawaangusha sana mashabiki wake,siku ya NNE ya vita kashatepeta tayari.Ina maana leo Israel hawalali, aisee...
Hii vita Israel anachapika vibaya sana..
Israel nae aanze kuangusha maghorofa ya Raia ya Tehran?Kwa udogo wa Israel hata ukipiga bila mipango inateketea ni kama gaza ilivyo teketea ...udogo wa nchi una madhara makubwa sana kivita
Vipi bado hayajafika tuu? Watu washaambiwa watoke kwenye mahandakiKwa sasa amefeli..
Unajitoa ufahamu sio,hukuona Urusi anaomba silaha kwa Kiduku,Iran na ChinaKumbe kwa mujibu wa marekani huyu huyu aliesema urusi wameishiwa silaha wanatumia makoleo kule Ukraine basi sawa..
Iran inateremsha vinu, Israel imepiga marufuku picha za mashambulizi ya Iran kuwekwa mitandaoni, waandishi wanafanyiwa raid na police na kukamawa, wananchi wanaopost pia wanakamatwa..Vipi mbona hamleti majibu? Iran anawaangusha sana mashabiki wake,siku ya NNE ya vita kashatepeta tayari.
Israel nae aanze kuangusha maghorofa ya Raia ya Tehran?
Duh unajitoa ufahamu makusudi au hujui lolote? Taliban hawakuangushwa wakaingia wakina Karizai?US imeshindwa kuangusha utawala wa Taliban pale Afghanistan kwa miaka 20..
Leo wanakuambia regime change nchini Iran..
US haina uwezo wa kubadili leadership nchini Iran.