SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Kuna ballistic Iran Malaki na Malaki hizo unazoziona ni za mwaka 78, halafu vita Bado mbichi hii unataka ajimalize watu Wanatumia akili na uzalishaji Bado unaendelea
😂😂😂😂😂 Za mwaka 78
 
Kutoka kurusha makombora 300 hadi 10 😂😂😂
Iran jumla ana ballistic missile 2k mpaka 3k,kwa mujibu wa Marekani. Sasa piga hesabu tangu vita ianze plus zinazoharibiwa kila siku na Israel kabla hajarusha huko store na kwenye silos zake zitabaki ngapi.
 
Kuna ballistic Iran Malaki na Malaki hizo unazoziona ni za mwaka 78, halafu vita Bado mbichi hii unataka ajimalize watu Wanatumia akili na uzalishaji Bado unaendelea
Mshaanza kutafuta vichaka,nilisema hapa Iran hatamaliza wiki kabla hajatepeta. Kwa mwenendo na speed yake ya leo nimeanza kuamini yale maneno ya Trump kuwa Iran anawatumia Oman,Qatar na Saudi kuomba vita visimame warudi mezani.
 
Soma hapo
 
Attachments

  • Screenshot_20250617-000619.png
    Screenshot_20250617-000619.png
    185.6 KB · Views: 24
Iran jumla ana ballistic missile 2k mpaka 3k,kwa mujibu wa Marekani. Sasa piga hesabu tangu vita ianze plus zinazoharibiwa kila siku na Israel kabla hajarusha huko store na kwenye silos zake zitabaki ngapi.
Kila siku zinaundwa mpya zaidi ya 50 viwanda viko chini huko
 
Mshaanza kutafuta vichaka,nilisema hapa Iran hatamaliza wiki kabla hajatepeta. Kwa mwenendo na speed yake ya leo nimeanza kuamini yale maneno ya Trump kuwa Iran anawatumia Oman,Qatar na Saudi kuomba vita visimame warudi mezani.
Subiri uone hapa lengo la Ayatola ni nyie mkeshe hivyo mzigo mtahangaika nao muda ya wanga
 
Kuna ballistic Iran Malaki na Malaki hizo unazoziona ni za mwaka 78, halafu vita Bado mbichi hii unataka ajimalize watu Wanatumia akili na uzalishaji Bado unaendelea
Wajinga kweli hao Israel anachezewa na Iran sasa Air defense zililala mpaa kabla ya dakika.mbili kufika hizo Missiles ndio zikashtuka kama kuna Missiles zinakuja.

Sa akituma nyingi ni vipi hapo.
 
Back
Top Bottom