SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Iran inateremsha vinu, Israel imepiga marufuku picha za mashambulizi ya Iran kuwekwa mitandaoni, waandishi wanafanyiwa raid na police na kukamawa, wananchi wanaopost pia wanakamatwa..

Lakini kwa ubishi video na picha zitakuja, stay tuned..
Nenda BBC na Aljazeera muda huu,Raia wameambiwa watoke kwenye mahandani missile zote zimepanguswa.
 
Acha uongo, Iran imesema inashambulia usiku kucha..
Hapa nipo aljazeeralive.. hakuna kitu kama hiko..
So kweli, labda waanze tena mshambulizi baadae. Ila waliofanya kwa leo washapiga japo yalikua machache

Tangazo la walio Israel lishatoka warudi mtaani kama kawaida. Labda hapo baadae Iran wakianzisha tena mshambulizi

Leo usiku Israel muda huu kaanzisha mashambulizi huko Tehran
 
Acha uongo, Iran imesema inashambulia usiku kucha..
Hapa nipo aljazeeralive.. hakuna kitu kama hiko..
Nimekuletea hii,angalia muda hapo juu
 

Attachments

  • Screenshot_20250617-021413.png
    Screenshot_20250617-021413.png
    142.2 KB · Views: 17
Vitoto vya kiyahudi hadi vimeanza kujua kiswahili naskia kinaita mamaa mamaa baada ya kuona vyuma vinatua kikatili
Mashambulizi ya leo ya Iran yalikua machache na wamepiga kwa muda mfupi

Pengine huenda wanajipanga waje na makubwa zaidi baadae, tusubiri japo hadi Sasa hakuna notice iliyotoleaa na IDF kuhusu watu kwenda kwenye shelters. IDF hutoa taarifa mapema kwa watu kabla ya makombora kufika, meanwhile in Iran usiku huu Israel wameanzisha mashambulizi
 
Vitoto vya kiyahudi hadi vimeanza kujua kiswahili naskia kinaita mamaa mamaa baada ya kuona vyuma vinatua kikatili
Pata chuma hicho
 

Attachments

  • FB_IMG_17501165639605132.jpg
    FB_IMG_17501165639605132.jpg
    186 KB · Views: 18
  • Screenshot_20250617-022142.png
    Screenshot_20250617-022142.png
    327.3 KB · Views: 23
Back
Top Bottom