Yoso
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 1,841
- 3,331
Acha upumbavu China aingilia vita ? utakuwa unaumwa mav na story zako kijiweni ... bado siku mbili nyie waarabu koko wa maji mtayaita mma !Katika habari zote zinazonichanganya ni mbili tu.
-China kuwatangazia raia wake waondoke Israel tena HARAKA IWEZEKANAVYO.
-USA kuitisha kikao.
Sanasana hiyo ya China.
Nahisi Kuna kitu kikubwa kinakuja kutokea Israel.
Pia Iran kupooza kimashambulizi tusichukulie kindezi HUWEZI jua Iran ina mpango gani.