SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Jambo la kujiuliza ni kwanini hao wanaomzunguka wawe maadui zake na wasiwe adui wa Israel pia?

Kuna shida mahali

Kwahiyo ukiwa adui wa akina khamenei lazima uwe rafiki wa mazayuni?

Mkuu, wale mashia wanawachukia zile nchi za Kisunni zilizowazunguka kuliko wanavyowachukia mazayuni.

Pia tunajifunza kutokana na historia, mashia walikuwa na wamekuwa wakiwafanyia khiana Waislam kwa kuwa backstab kila Waislam walipodhoofika na kila walipopata upenyo waliutumia dhidi ya Waislam.

Dola ya kishia ya 'Ubaydiyyun ("Fatimids") waliside na crusaders dhidi ya Waislam. Na ukisoma historia, Salahuddin Al Ayyubi (Saladin) alianza kuwabonda mashia wa Fatimids kwanza akawaangusha kabla ya kwenda Al Quds (Jerusalem).

Mashia waliwa backstab Waislam katika wakati mgumu sana wa uvamizi wa waMongols.

Safavid empire (wazee wao akina khamenei) ilikuwa ikiwashambulia Ottoman Empire wakati Ottomans wanapigana na dola za Ulaya na ku conquer territories Ulaya. Ikawalazimisha Ottomans wawe na two front war.

Na mpaka wakina Khomeini walipochukua madaraka mwaka 1979 wakataka kuyasambaza mapinduzi yao katika nchi nyengine za jirani.

Ndio maana nchi za jirani zinakaa nao kwa makini.
 
Unamtisha nani mpumbavu wewe kupigwa apigwe Iran kuumia uumie wewe ? tunataka kichwa cha Ulamaa Khomenei !
Yaani Iran angekuwa anapigwa kama mnavyoaminishwa na propaganda naamini Trump asingekatisha mkutano muhimu wa G7 kurejea nyumbani ili atafakari kuungana kwenye vita dhidi ya Iran.

Vitu vingine sio lazima utegemee akili ya mwenzako ndiyo ukurupuke kuja kuharisha humu.

Jitahidi uwe mtu mwenye kufanya reasoning mwenyewe mkuu.
 
Marekani, Israel na ulaya nzima wanahaha kumdhibiti Muajemi asiendelee kuvumbua teknolojia zaidi halafu wewe unatoa meno nje kama ngiri eti hawana ICT nzuri.

Mtu ambaye tayari anatengeneza makombora yenye kupiga target zaidi ya kilometers 2,000 unambeza?

Kweli wewe mahaba niuwe kwa mashog,a Israel.
Kwa taarifa Yako ISRAEL KWA SASA KATIKA MAMBO YA KIVITA YUKO MBELE SANA KWANZA AMEWEZA KUJITOA KWA MOYO MMOJA ROHO MOJA Iran hawawezi kujitoa Israel wapo wachache kama jeshi la Zanzibar au Rwanda Kwahiyo wanapigana vita vya kufa na kupona
 
Bro kwa Israel hakutegema kama angekutana na mkono wa Chuma pale Iran.
Mbona huko kwingine alikua anabutua chaap na ushindi wa mapema?
Tayari umeshasema huko kwingine na ni kwingine kweli sio Iran.

Israel alisema kabisa, itamchukua wiki mbili kuidhoofisha Iran. Ina maana anaujua mziki wake, na leo ni siku ya 5 tu.

Halafu pia kabla hata ya shambulizi la kwanza la Iran, Israel alitegemea kipigo kikali nadhani kushinda hata alichokipokea mpaka sasa maana alifungia raia wake wote kwenye mahandaki.

Iran ana nguvu bhana, sema kakutana na mjanja mwenzake tu
 
Sasa unataka upinzani gani wa Anga.kwani kuna battle ya anga inaendelea.ndege yoyote ile ikipita anga ya Iran inakutana na SAM.
Ebu lete ushahidi wowote ule wa kuonyesha ndege ya Israel imejiachia kwenye anga ya Iran
Acha ku kuru puka nimeuliza hapo maswali nijibu hayo maswali ndiyo uje na hitimisho lako hapa.

Kwa taarifa yako Anga lote la Tehran linadhibitiwa na Israel na ndiyo maana huwezi kuona Iran inarusha ndege zake ku challenge ndege za Israel. Acha kujitoa ufahamu Kubaliane na hali ilivyo kwenye uwanja wa vita!!!

Unapotaka ushahidi nakushangaa tu maana kila mmoja anaona jinsi Iran ilivyolemewa katika uwanja wa vita Makamanda wake wakuu 30+ wameangamizwa bila huruma vinu vyake vya ki nuclear baadhi vimeangamizwa hilo ni pigo kijeshi.
 

Attachments

  • IRGC General Staff - Packed..mp4
    658 KB
Ohhh...kumekucha tena.

Nakwambiaje hii mbungi hadi mmoja aombe maji na hakuna upenyo wa kumeza hata mate.

Tumeambiwa Iran ameshambuliwa miundombinu yote ya kurushia makombora lakini tunashuhidia vyuma vikiruka daily bila kupingwa.

Propaganda ni kitu kibaya sana.
mwehu hawa wamezima internet, damu inavujia ndani kwa ndani
 
Acha ku kuru puka nimeuliza hapo maswali nijibu hayo maswali ndiyo uje na hitimisho lako hapa.

Kwa taarifa yako Anga lote la Tehran linadhibitiwa na Israel na ndiyo maana huwezi kuona Iran inarusha ndege zake ku challenge ndege za Israel. Acha kujitoa ufahamu Kubaliane na hali ilivyo kwenye uwanja wa vita!!!

Unapotaka ushahidi nakushangaa tu maana kila mmoja anaona jinsi Iran ilivyolemewa katika uwanja wa vita Makamanda wake wakuu 30+ wameangamizwa bila huruma vinu vyake vya ki nuclear baadhi vimeangamizwa hilo ni pigo kijeshi.
Aiseeee ilikuwa wapi weweee!!!
Haujaonekana jukwaani
 
Na Macron, rais wa France anasema leo Trump ameomba kikao tena na Iran warudi mezani.
Hizi habari ukienda blog ya Al Jazeera wameandika.
Hata maseneta wa US wamesema pia kuwa wameshangaa rais wao kurudi USA ghafla na kuitisha kikao.

Taharuki ya USA inajulisha tosha namna Israel ilivyochakazwa.
Ila hapo pa Macron kukataa regime Change Iran na kusema ni makosa ya kimkakati ndipo panaponivuruga Mimi.
 
Kwa taarifa Yako ISRAEL KWA SASA KATIKA MAMBO YA KIVITA YUKO MBELE SANA KWANZA AMEWEZA KUJITOA KWA MOYO MMOJA ROHO MOJA Iran hawawezi kujitoa Israel wapo wachache kama jeshi la Zanzibar au Rwanda Kwahiyo wanapigana vita vya kufa na kupona
Sasa analilia nini kutaka Marekani iingilie?

Jana Netanyahu anamlalamikia USA kwamba 'leo Iran anaishambulia Israel,kesho itakuwa zamu ya New York ' lengo lake kumchochea Marekani aingilie kati.

Una habari muda huu kuna vyuma tena vimeelekezwa Uyahudini?
 
aaaaa1.PNG



mpaka maji muite mma
Ayatollah weee, piga haooo
 
Hizi habari ukienda blog ya Al Jazeera wameandika.
Hata maseneta wa US wamesema pia kuwa wameshangaa rais wao kurudi USA ghafla na kuitisha kikao.

Taharuki ya USA inajulisha tosha namna Israel ilivyochakazwa.
Ila hapo pa Macron kukataa regime Change Iran na kusema ni makosa ya kimkakati ndipo panaponivuruga Mimi.
Hata baraza la usalama huko US wanatofautiana.

Wapo ambao wanasema tuingie vitani. Wapo ambao wanasema ni hatari kuingia vitani na Iran. Kuna mgawanyiko hawajui nini cha kufanya.
 
Israel imeshashindwa vita.

Raia wake wanakimbia!

Hana ulinzi wa anga!

Anapiga kwa kubahatisha moja kwa moja kwa Iran. Njia anayotumia ni kutumia majasusi wake kufanya milipuko ambao wanakamatwa kwa wengi Iran.

Kwa sasa anachokifanya ni kutumia vyombo vya habari ambavyo vipo upande wao na kutengeneza picha anayoitaka mwenyewe.

Picha yenyewe ndiyo kama hiyo! Iran leo katuma makombora machache na hakuna athari yoyote iliyopatikana nchini Israel.

Kwa hiyo anachokifanya Israel sasa hivi ni vita ya psychology ndiyo anacheza nayo.

Ila kipimo halisi cha wao kushinda au kushindwa ni kuangalia jinsi US anavyo react.
Nimekupata vyema, ngoja tuendelee kufuatilia.
 
Back
Top Bottom