SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

veeew.PNG


Ayatollah ni mwendo kufumua mishono, hacheki na wowote, hacheki na kima yeyote
 
Iran imeanza mashambulizi makubwa ya makombora dhidi ya Israel, ambayo yamelenga miji mikuu ikiwemo Haifa na Tel Aviv. Viwanda vya mafuta na kemikali, kama Bazan Group, vimeharibiwa vibaya huku moto mkubwa ukiripotiwa.

Wimbi la pili la makombora limeanza kutua, na majengo kadhaa mjini Tel Aviv yamepigwa, watu 15 wakijeruhiwa. Taarifa za vifo pia zimeanza kuripotiwa kutoka maeneo mbalimbali ya Israel.

Pakistan imetangaza kuwa itaishambulia Israel kwa nyuklia endapo Iran itashambuliwa kwa silaha hizo, na iko tayari kuingia vitani upande wa Iran iwapo mataifa ya Magharibi yataingilia moja kwa moja.

Mkuu wa Shirika la Ujasusi la Israel (Shin Bet) ameripotiwa kujiuzulu kufuatia hali hiyo ya taharuki.

UPDATE:Mpaka muda huu miji yote ya Israel imeshambuliwa na Iran na taarifa za vifo huko Israel zimeanza kutoka.

Hali ni mbaya kwa upande wa Israel it seems wamezidiwa


Wewe endelea kubwabwaja ovyo ovyo lakini Iran anapata kipigo ambacho hatakisahau milele!! Maana kwanza ni aibu kubwa Anga lake kudhibitiwa na Israel hapo ameonyesha udhaifu mkubwa kinyume na watu walivyokuwa wanamsifia na yeye alivyo kuwa anaonyesha silaha zake kumbe bure kabisa.

Iran ameonyesha uzembe mkubwa sana sana hata watangazaji wa TV walipokuwa walipokuwa wanasifia Iran lakini ghafla jengo lilipopigwa alitimua mbio na juba lake hadi aibu!!!
 

Attachments

  • IMG_0670.mp4
    2.6 MB
Hawataki tuone wakidundwa... Nilikua nadhani hii mbinu ya kuzima internet ni Burundi na Congo kumbe hata hawa?😃😃
Israel ni watu wa masifa.

Kipindi Hamas wanarusha makombora yao wakawa wanaonyesha ubora wa Iron dome. Tena walifanya kama utalii. Raia wanakaa kwa mbali na viti vyao wanaangalia jinsi rocketi za Hamas zikipanguliwa angani na vyombo vya habari kibao wakichukua tukio zima.

Lengo Israel ni kujionyesha kuwa wapo salama, kiteknolojia ya kivita wameendelea na kuuza silaha zao kuonekana bora.

Kwa Iran hali ni tofauti! Hayo yote hayapo! Netanyahu ni mtu wa sifa sana! Lakini kwa sasa hali ipo tofauti. Kwa nini wasizime Internet 😁?

Taarifa za Israel hatuwezi kuzipata tena! Iran wanafanya msako wa kuwakamata majasusi wa Mossad nchini mwao. Israel naye anafanya msako wa kuwatafuta waandishi wa habari wanaoripoti vyuma vinavyoanguka kwao. Hii ni ajabu!
 
Asilimia kubwa wanasema vita sio ya Marekani na hawataki kuiingiza Marekani kwenye vita.
Raia wa US wanaanza kuamka. Wanahoji hali ya maisha kwetu ni ngumu! Israel ni nani kwenye nchi yetu hali ya kuwa sisi tuna matatizo lukuki?

Sasa hili linawaogopesha sana wanasiasa kwa sasa.

Na raia wengine wa US wamefika mbali, wanataka wale wote wenye uraia pacha na Israel wasiwe kwenye nafasi za juu kwenye serikali yao! Wanawaona wanatanguliza sana maslahi ya Israel kuliko maslahi ya US.
 
Katika chapisho kwenye mtandao wake wa kijamii wa Truth, Rais wa Marekani Donald Trump anasema kwamba "kila mtu anapaswa kuondoka mara moja Tehran".

Kauli yake inakuja baada ya maafisa wa Israel kuwashauri wakazi kuhama maeneo ya kaskazini mashariki mwa Tehran mapema leo, wakisema kuwa inapanga kulenga "miundombinu ya kijeshi".

Trump anaongeza kuwa Iran ilipaswa kutia saini makubaliano ambayo aliweka mbele yao katika duru ya hivi karibuni zaidi ya mazungumzo ya nyuklia ya Marekani na Iran.

"Kwa kifupi, IRAN HAIWEZI KUWA NA SILAHA YA nyuklia," anaandika. "Nilisema tena na tena!

"Kila mtu anapaswa kuondoka mara moja Tehran!"

Mwandishi wa BBC Anthony Zurcher yuko Alberta, Canada, katika mkutano wa G7, ambao Trump anahudhuria. Mwanahabari wetu alimuuliza msaidizi wa rais wa vyombo vya habari kwa ajili ya ufafanuzi kwenye chapisho lake la mtandao wa kijamii.

Zurcher aliagizwa kuwasiliana na timu kuu ya waandishi wa habari wa White House huko Washington kwaajili ya maoni. Endelea kuwa nasi tunapofuatilia hili.
 
Binafsi hata Ayatollah akifa leo kwangu Mimi ndio mshindi wa hii vita, nitamuombea makazi mema akhera kama ninavyowaombea wazazi wangu.

He is the real Man and real friend indeed.

Ayatollah angeweza tu kuwa rafiki wa USA na Israeli akala mema ya dunia yeye na vizazi vyake vyote na bado Iran ingeweza kuwa kama nchi yake na familia yake asibughudhiwe na yeyote yule.

God bless Ayatollah and all Iranians huu defend their country without any support, you have been sanctioned for more than 40yrs yet you still resisting the oppressors.
 
Naamini huyu mwamba
Kyrylo Oleksiiovych Budanov mkuu wa intelligensia wa Ukraine wangeshamuua. Maana wamewahi Hadi kuisambaratisha KWA Kinzhal ofisi yake lakini jamaa Bado anadunda tu na NDIYE wanamtuhumu KWA kuratibu hujuma nyingi ndani ya Russia KWA msaada wa NATO.
Huyu mtu alishakufa mkuu, kwani siku hizi unamsikia tena
 
Hizi habari ukienda blog ya Al Jazeera wameandika.
Hata maseneta wa US wamesema pia kuwa wameshangaa rais wao kurudi USA ghafla na kuitisha kikao.

Taharuki ya USA inajulisha tosha namna Israel ilivyochakazwa.
Ila hapo pa Macron kukataa regime Change Iran na kusema ni makosa ya kimkakati ndipo panaponivuruga Mimi.
Nakushangaa unaposema Israel imechakazwa ki vipi! Yaani wewe unaona Israel imechakazwa waka huoni Iran ilivyopoteza makamanda wake wanasayansi wake na watu wake wengi hayo huyaoni basi itakuwa wewe una makengeza au upo hapa kupiga TAQIYYAH kusema uongo na kupotosha habari.

Hapo chini ni Jengo la shirika la habari la Iran IRIB likiwaka mota baada ya kushambuliwa na ndege-vita za Israel hili wewe huoni ni moja ya Iran kuchakazwa!,!,
 

Attachments

  • IMG_1668.mp4
    3.2 MB
Back
Top Bottom