SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Raia wa US wanaanza kuamka. Wanahoji hali ya maisha kwetu ni ngumu! Israel ni nani kwenye nchi yetu hali ya kuwa sisi tuna matatizo lukuki?

Sasa hili linawaogopesha sana wanasiasa kwa sasa.

Na raia wengine wa US wamefika mbali, wanataka wale wote wenye uraia pacha na Israel wasiwe kwenye nafasi za juu kwenye serikali yao! Wanawaona wanatanguliza sana maslahi ya Israel kuliko maslahi ya US.
Trump anajua akisema hadharan kuwa US inaingia Vitani na Iran hilo jambo litaamsha maandamano makubwa kuliko haya ya Los Angles tatizo Us liko kwa Raia hawataki Inchi iingie vitani
 
Ebu toka hapa na dela lako.
Jana hamjashambulia kituo cha habari nyie, hakukuwa na raia kwenye lile jengo!?
Wewe toka hapa na Juba lako wapiga propaganda ni lazima wafe tu maana ndiyo waliotufikisha hapa kwa Propaganda zao!!
 
Dawa ya hio midege ni hii.. Marekani kampa Ukraine hi midude na Russia ameyaokota ya kutosha baada ya wana jeshi wa Ukraine kukimbia na kuyaacha front line.

Tehran aongee na Moscow vizuri. View attachment 3372436
Urusi hawezi muuzia silaha Iran sababu vita itakuwa kubwa zaidi na USA na allied wa ulaya watapata sababu ya kumsaidia Israel
 
Chuki humla anayeitunza.

Wavaa makobasi ukiwasikia sasa utadhani wanajua chochote.
Wameshadadia Hamas
Wakasema Hezbollah siyo hamas
Leo wanasema Iran siyo Hezbollah.

Kiufupi hawa watoto wa iran wamekalishwa chini kwa kichapo hawana hata hamu ki ufupi wapo ICU

Ukiongozwa na chuki mwisho wa siku itakutafuna.

Vipi mzee baba mwenye lake jambo lini anajitupa rasmi field? Au wewe unadhani anayefanyiza ni Bi Nyau? Huyo si katangulizwa tu? Au? Kama akifanzaga P. Diddy
 
Kama Iran ana watu wenye uwezo wa kutengeneza formula za kutengeneza Nuklia, ballistic na hypersonic + drones nk na engineers wakafabricate hizo vitu na zikafanya kazi hii tunayoiona wakiwa na vikwazo vya zaidi ya miaka 40 ndio maana uoga umekuwa mkubwa wa West na Israeli.

Inaonekana hili kizazi cha Waajemi kiakili sio sawa na waarabu wengine kama waadaudia
 
Revelation:16

[12] The sixth angel poured out his flask upon the great River Euphrates and it dried up so that the kings from the east could march their armies westward without hindrance.


Holy Bible (TLB) The Living Bible
The Living Bible - Apps on Google Play
 
Macron kwenye mkutano wa G7 amesema kufanya regime change Iran itakua ni strategical error.
Amelipinga hilo.😂😂😂😂😂
Sasa najiuliza kwanini amepinga mpango wa regime change Iran?
Au amenusa nini?
Wewe endelea kunusa tuu,utanusa mpaka masaburi ya Ayatollah
 
Back
Top Bottom